Search results

  1. N

    Baada ya kumtolea mahari, kejeli na kiburi vimeonekana wazi

    Binafsi nakushauri achana naye huyo make hawezi kubadilika.Watu wengi hujifariji kuwa mchumba atabadilika baadae kitu ambacho si kweli.Hicho ni kilio chako maisha yako yote.Hivi kama hujamuoa yuko hivyo akivaa gauni jeupe na pete ajue kakumiliki atakufanyia makubwa zaidi ya hayo.Kuacha kunauma...
  2. N

    Ukweni wanakatalia mtoto wangu, nisaidieni mawazo wakuu

    Kweli kabisa.Kumlea mtoto ni gharama kubwa hata hiyo milioni ni ndogo sana.Cha kufanya watafute wazee wakaongee angalau wakupunguzie ila hakikisha unamchukua mwanao ili akue na wenzie na apate mahitaji yake ya msingi na upendo wa baba.Ila mwakikishie mtoto ulinzi pale atakapokuja kwako ili step...
  3. N

    Utajuaje kuwa mpenzi, mchumba, kimada, hawala,demu wako si kahaba?

    Hiyo science yako ya wapi baba? Usipotoshe umma
  4. N

    Hii tabia ya baadhi ya wanaume sio nzuri, badilikeni

    Mimi naweza kumlaumu huyo mwanamke wa Jackson sababu angekuwa mke mwema angemshauri mpenzi wake na angefanya juu chini kuleta mabadikiko.Ndio maana Mungu akamuita msaidizi.Tunapoolewa tunakuta mambo mengi pengine yasiyopendeza lakini taratibu kwa ushauri na kumwonyesha mume wako upendo...
  5. N

    Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

    Kitila ni mnyiramba so hawezi gombea kwa wanyaturu.Hawa watu wana ukabila
  6. N

    Sakata la Dk Shika latua Bungeni urusi

    Nimecheka stress zote zimeisha
  7. N

    Niko njia panda, mpenzi aliyenifanyia visa amerudi na mimi nimepata mwingine nampenda

    Yaani ukitaka kufanya ujinga mrudie huyo mshenzi.Anakupenda sababu kakuona una pesa.Alikudharau ulipokuwa huna kitu.Hana mapenzi ya dhati kwako.Kaja kiusanii.Utalia machozi ya damu atakapokuja kukuumiza tena hasa pale ukikosa kazi tena.Utatafuta shimo uingie hautalipata.Binafsi nakushauri...
Back
Top Bottom