Search results

  1. J

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    We wish you quick recover our beloved brother TL and we are praying for you. Psalm 23.
  2. J

    TANZIA: Viongozi wa CUF wafariki kwenye ajali wakitokea Dodoma kushuhudia uapishwaji wa Wabunge

    Noah hizo mabati Ni karatasi lakini bado unakuta watu wanakimbiza utafikiri ndege inapaa
  3. J

    Mwijage Kwenda India Kuishafisha Tanzania baada ya Kuibuka kundi la Matapeli

    Hizi kampuni za kitapeli Ni za kutoka India au Tanzania? Mwenye taarifa kamili atujuze
  4. J

    The New York Times on Kenya Election Petition

    New York times tokea uchaguzi WA marekani uishe limekuwa gazeti la hovyo kabisa. Kila siku linamshambulia trump kkwa niaba ya Hillary Clinton,Democrat na establishments wengine mabilionea WA ki liberal. hivi mashambulizi yake hayaishi mpaka trump ang'oke, litatumia Kila sababu ikibidi hata mfano...
  5. J

    MASAKI, DAR: Wayne Lotter, Mwanaharakati aliyekuwa akipambana na ujangili auawa kwa kupigwa risasi

    Sad story , RIP Wayne . Ndani ya selous au Serengeti ungeweza kuwa salama lakini inasikitisha kusema wanadamu Ni wabaya na katili kuliko simba,nyati na other wild beasts.
  6. J

    CIA wamekubali North Korea ana uwezo wa kushambulia Marekani kwa nyuklia

    underdogs ( mnyonge) siku zote anapewa sapoti hata Leo Tanzania ikicheza na ujerumani tutapata sapoti ya mashabiki. napenda ulimwengu ambao mbabe sio mmoja ili kuondoa uonevu na kuleta kuheshimiana, Hitler angekuwa superpower peke yake hali ingekuwa mbaya kwa dunia
  7. J

    CIA wamekubali North Korea ana uwezo wa kushambulia Marekani kwa nyuklia

    Kukubali kwa CIA kunaondoa utata uliojitokeza tangu enzi ya Bill clinton kama kweli North korea ni tishio kwa marekani, sababu hapo awali ilifahamika ni tishio kwa nchi za Japan na South korea. Labda taarifa za hivi karibuni zinasema north korea walinunua injini za makombora ya masafa marefu...
  8. J

    Mwanamke wa kwanza kwenye kozi ya Navy Seals commando asalimu amri

    First woman to join Navy SEAL training pipeline drops out
  9. J

    Mwanamke wa kwanza kwenye kozi ya Navy Seals commando asalimu amri

    First woman to join Navy SEAL training pipeline drops out
  10. J

    Mwanamke wa kwanza kwenye kozi ya Navy Seals commando asalimu amri

    Mwanamke WA kwanza kupeleka maombi na kukubaliwa kujiunga na kozi ngumu ya mafunzo ya ukomando kwenye kikosi cha navy seals ameomba mwenyewe kwa hiari yake kuacha mafunzo hayo na kurudi nyumbani. Hilo liwe fundisho kwa wanawake WA kizungu kupenda kujiweka sawa na wanaume kwa kila jambo. mtoto...
  11. J

    Smartphone ya N/KOREA iitwayo Jindallae 3 inapatikana wapi ili kununua?

    North walikuwa matajiri kuliko south wakati WA Kim Il sung babu yake Kim jong il. Siasa yake Kim jong Ni kuendeleza nyuklia na uchumi vyote vinaenda sambamba. Ili use na uchumi mkubwa lazima use na jeshi imara kuulinda uchumi
  12. J

    WWIII; Marekani yasema ipo tayari muda wowote kuipiga China kwa Nyuklia

    Ni kamanda WA navy pacific fleet alisema wapo tayari kuishambulia north Korea wakipokea amri ya raisi trump muda wowote. sio china Ni north Korea ndugu fanya masahihisho
  13. J

    Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

    upo sawa mkuu. Huyu jamaa ndio ameiwakilisha nchi vyema anatakiwa apewe ufadhili WA nguvu awe na maisha ya ki professional. Utakuta mtu anakatika viuno au anaigiza upuuzi Ana utajiri mwingi wakati international athlete ambae Ni maarufu duniani Ana maisha ya kawaida vodacom,airtel,tigo leteni ela...
  14. J

    Mtanzania, Alphonce Simbu ashika nafasi ya tatu Marathon IAAF LONDON

    Huyo mkenya apimwe mkojo kama ametumia dawa za kuongeza nguvu au la. maana wakenya wamekumbwa na kashfa ya kutumia madawa ya kuongeza nguvu kwa muda mrefu
  15. J

    Dawa za kuua wadudu wa mazao nyingi feki

    Tunaomba mamlaka za kudhibiti dawa wachunguze na kufanyia upekuzi WA Mara kwa Mara kwenye viwanda vya dawa za kuua wadudu (pesticides/insecticides) haswa viwanda vya arusha. Wananchi tunapoteza gharama kubwa kununua dawa ambazo hazina kiwango cha kupambana na wadudu.Tfda shughulikie Hilo msikae...
  16. J

    Kapteni Hilda, Rubani mwanamke wa kwanza Tanzania kurusha Boeing

    Marubani wazuri Ni wale waliondesha ndege za jeshi maana wanakuwa na tricks nyingi na ujasiri.Ndio maana mashirika kama British airways,klm,American airlines marubani wake wengi wanatokea airforce. hata rubani WA america air force one na Russia airforce one Ni wanajeshi. Kuna tukio lilitokea la...
  17. J

    Kapteni Hilda, Rubani mwanamke wa kwanza Tanzania kurusha Boeing

    tunamtakia mafanikio zaidi afike mbali. labda mtoa taarifa ungetuelewesha ni boeing na airbus ipi alirusha na ni za shirika gani?maana boeing na airbus zipo aina nyingi.asante
  18. J

    Hivi ndivyo marehemu Nicola mmiliki wa Slipway na Coastal Aviation alivyoagwa na wafanyakazi wake

    Inaonyesha alikuwa sleeping giant hawavumi lakini wamo alikuwa na utajiri mwingi na hardworker amewaajiri watu wengi halafu vilevile ni humble. tunapaswa kujifunza kitu kwa nicola, hata uwe na utajiri vipi unapaswa kuwa mkarimu,upendo na kujishusha na kutambua mali si kitu siku moja utaziacha...
  19. J

    Sakata la Ukwepaji Kodi: Barrick kuanza Mazungumzo na Tanzania wiki ijayo

    Waje tuwachinje waache kutoa ahadi za uongo na kitapeli, hawa wazungu matapeli Sana . Mali yetu bado watuibie wakitupa misaada masharti kibao riba ya kutisha . miaka ya nyuma walikuwa na vibaraka wao sasahivi hakuna tena Moto unawawakia
Back
Top Bottom