Search results

  1. suzie _barbie

    Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

    Mwenyewe napenda mwanaume mwenye sauti nzitoo sauti ya Mamlaka
  2. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Sikutaka kubishana na mjuaji ambaye niliona kabisa ana chuki. I had to save my breath huku na sip wine yangu. Aliongea weee mpaka akanyamaza.
  3. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Kwani Kenyans ndo hakuna wanafiki? Tena kule kulivyo na capitalism, hakuna anayekujali. Bora Tanzanians tunasaidianana bwana. Tuna kale ka socialism .
  4. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Thank you mkuu. Nimejifunza kitu. Sema mimi sipendi mambo ya kubishana bishana na wajuaji
  5. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Niliwatajia pia mbona mabaya yao. Walikua wanne against me. Wakaanza kupaza sauti. Arrrggg nikakereka nikakaa kimya.
  6. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Mwishoni niliwaambia sitaki muongelee nchi yangu tena.
  7. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Roho yangu imeniuma ndio wanavyotudharau.
  8. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sitaki hata kuonana nao tena.
  9. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Siwezi kubishana na mtu mjuaji aise. I'll just watch the person akibwabwaja mpaka atakavyochoka .
  10. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Vigeugeu ndo tabia ya politicians.
  11. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Na pia Zanzibar imelalamikiwa kwa uchafu pia
  12. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Ni kweli mkuu. Ila pia, kwao si kuna maeneo machafu pia. Na pia, hii hii Tanzania kwani yote ni chaffu? Si kuna maeneo mengi tu masafi Ila tunahitaji kulifanyia kazi hili swala la usafi kwa kweli
  13. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Thank you mkuu kwa maoni yako. Walau I feel better.
  14. suzie _barbie

    Najiskia vibaya Watanzania tukidhauriliwa/kusemwa vibaya

    Chuki na dharau mkuu. Tungekua tunaongelea issue za uchumi kama dollar, infrastructure, scarcity ya sukari, umeme hapo sawa. But tabia binafsi za watu halafu ana generalize sikuona kama ni sawa.
Back
Top Bottom