Search results

  1. proton pump

    Aina za wanaume wakati kula chakula na matunda

    Wasalaamu dronedrake Intelligent businessman Wanaume wametofautiana sana katika ulaji wa tunda. Wapo wa aina mbalimbali Wapo wale ambao wakati kuandaa chakula tu mara wanajistukia mate yameshuka na hamu ya chakula inakata hapo hapo. Nini kinachosababisha....1. Kukaa mda mrefu bila kula...
  2. proton pump

    Jambo gani ambalo uliwahi kulipania kwa hamu kubwa kulipata baadaye likakushinda?

    Natumaini hamjambo wana jukwaa na mnaendelea vyema Katika harakati za kimaisha kuna mambo mbalimbali ulipania kuyapata au kuyafanya ila baadae yakakushinda na ukaachana nalo kabisa ama ukapambana tu bila kukata tamaa lakini hola. Yapo mambo mengi kama vile, kupata ramani za kwenda abroad...
  3. proton pump

    Yule mwanamke mzuri aliyeumbika, nyumba, gari, mashamba na biashara unayo kama ulivyopanga?

    Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri. Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile ili kupata vizuri halafu ukavikosa ndipo akili inapoanza kuchanganyikiwa. Zipo nyuzi nyingi za...
  4. proton pump

    Tetesi: Usijisikie kukata tamaa sasa karibu humu ndani tupeane moyo kwa kutuma picha na mziki unaojenga ubongo, pia kutoa maoni yanayojenga afya

    Hivi karibu kuna nyuzi nyingi za watu kukata tamaa na kutaka kujiua, kuacha au kuachika katika mahusiano ya me na ke, biashara kugoma, kukosa kazi ya kufanya, kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki n.k Ewe mwanadamu mwenzagu hukuzaliwa kwa bahati mbaya ndani ya ulimwengu huu. Huenda unapitia...
  5. proton pump

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu hayaishi mapema. Tuje kwetu sisi wanaume Unamtafuta mwanamke kwa gharama zote mwisho wa siku...
  6. proton pump

    Duniani kuna binadamu wachache wenye karama za ajabu zinazowatofautisha na wengi

    Nimekaa nikatafakari kuwa usishindane na mtu au watu kwa namna yoyote ile. Watu wametofautiana kutokana na karama aliyotupa Mungu. Kuna wenye akili nyingi za kugundua na kuunda vitu vinavyomvutia mwanadamu mwingine. Nashangaa sana kuona mitambo na mikubwa, kv ndege, mashine za kwenye migodi...
  7. proton pump

    Uzi maalumu wa afya ya akili na wanaoteseka msongo wa mawazo

    Afya ya akili ni muhimu sana, kama akili haipo sawa na mambo mengine hayaendi wapo wanaoteseka kwenye ๐Œ๐š๐ก๐ฎ๐ฌ๐ข๐š๐ง๐จ, ๐ง๐๐จ๐š, ๐ฎ๐œ๐ก๐ฎ๐ฆ๐ข, Wezi, wachawi, magonjwa sugu, ukatili wa kijinsia, Dhuluma, Rushwa, na mengineyo Karibu tupeane tina ya akili iitwayo psychotherapy. Jaribu kujitibu mwenyewe ukiwa...
  8. proton pump

    Kama unataka kulinda uchumi na afya yako acha mambo yafuatayo;

    Kwako Intelligent businessman dronedrake Ewe kijana hasa wa kiume kama unataka kufanikiwa katika maisha yako acha mambo yafuatayo; Kamwe usifanye ngono zembe. Yaani hata kama umeoa fanya kwa ajili ya kuzaa watoto tu si kwa ajili ya starehe. Ngono hukausha mifupa, ngono huleta uvivu, ngono...
  9. proton pump

    Ulishawahi kukataliwa baadae ukagundua ilikuwa sio sehemu sahihi?

    Kuna wakati mambo yanatokea unajiuliza mbona kwangu tu. Kumbe ulikua unaepushwa na majanga makubwa zaidi au utakuja kupata kitu kizuri chenye mafanikio zaidi. Yapo mambo mengi yanaweza kukupata ukafikiri huna thamani lakini baadaye ukashukuru akasema ee Mungu asante. 1. Ulishawahi enda...
  10. proton pump

    Natafuta mwanamke wa kuishi naye tujenge familia

    Wasalaam dronedrake Natafuta mwanamke wa kuoa; Awe na umri kuanzia 18- 28 Awe mrefu, 5+ feet tall Awe amehitimu form six na kuendelea Awe anapenda kufanya kazi Awe Mwafrika, au mzungu. Njooni PM Ahsante
  11. proton pump

    Kuna siku dunia inaweza kuwa bila vita ama mtu yeyote kukosa adui kila aendapo?

    Nilishatafakari kuwa hivi mataifa yote yanaweza kuwa na amani hata siku moja dunia nzima? jibu nililopata ni kuwa haiwezekani kitu kama hicho. Mtu binafsi unaweza kukaa bila adui popote uendapo hata iwe kanisani? Amani kitu kizuri katika maisha ya mwanadamu. Binadamu ana hofu nyingi maishani...
  12. proton pump

    Ulishawahi kukaa chini na kuhisi kama unasindikiza muda huku duniani?

    Ni asubuhi uamkapo kunako pambazuka aa Usiku kabla ya kulala ndio mda ambao mtu ubongo unapata nafasi ya kuwaza au kutafakari unayoyafanya na utakacho kifanya kesho yake. Kuna wakati unaweza fanya mambo yako yakagoma kabisa au yakaenda ndivyo sivyo. Kila unalojaribu linagoma au haliendi jinsi...
  13. proton pump

    Every 7 minutes a man thinks of sex believe it or not

    MEN AND SEX Believe it or not women find it difficult to understand the reason why men love sex. If they want to help you, they will demand for sex. If they say they love you, they want sex. You mistakenly sleep over, they want sex. They want to borrow money from you, they want sex. They want...
  14. proton pump

    Wengi wetu akili zetu hazina afya kutokana mambo mbalimbali

    Kutokana na mihangaiko ya maisha watu wengi hawana afya akili. Japo akili inaweza kutokuwa na afya kwa sababu ya madawa, pombe, magonjwa na kulogwa pia japokuwa watu wengine hawaamini katika uchawi. Dalili zifuatazo zinaweza kukudhihirishia kuwa huwa huna afya ya akili. Kutokuwa na furaha mda...
  15. proton pump

    Hivi kuna ukweli kwamba, mtu anakuwa na hela nyingi halafu hana furaha?

    Wengi wetu ambao hatuna hela za kukidhi mahitaji yetu vuzuri kv. mavazi, mlo kamili, usafiri, kutembea sehemu za starehe, kutalii, kutembea nchi za nje huwa tuna misemo fulani hivi ya kukatisha tamaa. Misemo hiyo ni kama ifuatavyo; Unaweza kuwa na hela nyingi lakini ukawa huna furaha...
  16. proton pump

    Nyuzi za mapenzi na ndoa zimezidi huu ndio utafiti niliokuwa nafanya hapa JF kwa muda fulani

    Wasaalamu, dronedrake kiongozi wa Nyeto baba wa kataa ndoa ni utumwa. I, proton pump baba wa No Fap. Nimechunguza nyuzi nyingi za hivi karibuni zinahusu maumivu ya mapenzi zikiwemo; 1. Vijana kulipa mahari halafu mwanamke anakuacha. 2. Watu wameoa mara mtoto x sio wa kwako 3. Upo kwenye...
  17. proton pump

    Madaktari tusaidiane kwa haya magonjwa

    Kwa nini mtu akiugua haya magonjwa huambata na homa kali na ndoto za kutisha. 1. Typhoid 2.Malaria
  18. proton pump

    Wivu wa mapenzi na maumivu yake

    Thread was deleted
  19. proton pump

    Ukiona hizi dalili bora usioe kabisa utaendeleza kizazi cha utumwa na umasikini

    Naandika haya hasa kwa wale ambao tumetoka familia ambazo hazieleweki na hazina kipato cha kueleweka. Ukiona haya mambo acha kuoa kabisa kwani utaendeleza umaskini kizazi hadi kizazi ( generational poverty). 1. Hakuna hata babu yako mmoja aliwahi kumiliki hela kipindi cha nyuma ama kwa kufanya...
  20. proton pump

    Maajabu ya mkaa wa kifuu na nazi

    ๐Œ๐ค๐š๐š ๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐Ÿ๐ฎ๐ฎ ๐œ๐ก๐š ๐ง๐š๐ณ๐ข ๐ฎ๐ค๐ข๐ฎ๐ฌ๐š๐ ๐š ๐ก๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ค๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐๐š๐ฐ๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ฏ๐ข๐ญ๐ฎ ๐ฏ๐ข๐Ÿ๐ฎ๐š๐ญ๐š๐ฏ๐ฒ๐จ; 1.๐‡๐ฎ๐จ๐ง๐๐จ๐š ๐ฌ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ฅ๐ข ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐š๐ฅ๐ข๐ฒ๐ž๐ค๐ฎ๐ง๐ฒ๐ฐ๐š ๐ฌ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ก๐š๐ฌ๐š ๐›๐š๐š๐๐š ๐ฒ๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐š๐ฉ๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐š. 2.๐‡๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ญ๐š๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐๐š๐ฐ๐š ๐ณ๐š ๐š๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฎ๐ง๐๐จ๐š ๐ฌ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐š ๐ง๐ฒ๐จ๐ค๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฎ๐ฆ๐ž๐ฎ๐ฆ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ง๐ฒ๐จ๐ค๐š 3.๐Š๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ ๐จ๐ง๐ฃ๐ฐ๐š ๐ฐ๐š ๐ฏ๐ข๐๐จ๐ง๐๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐›๐จ ๐ก๐ฎ๐ฐ๐ž๐ณ๐š ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฉ๐จ๐ง๐ฒ๐ž๐ฌ๐ก๐š ๐ค๐š๐›๐ข๐ฌ๐š...
Back
Top Bottom