Search results

  1. M

    Spika awataka Freeman Mbowe na Halima Mdee wafike mbele ya Kamati ya Maadili. Matusi yawagharimu

    Kwani kumwambia mtu unatembea kama "kobe" neno hilo si kumtusi mtu. Au ya mdee ndio matusi? Yote ni matusi wote wafikishwe kwenye kamati ya maadili
  2. M

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Mungu amweke mahari pema peponi. Mtu jasili, mfia utaifa.
  3. M

    Jimbo la MTAMA UKAWA ushindi wa mapema mkifanya hivi;

    Amechelewa sana majimbo na wahombea tayari wamechaguliwa.
  4. M

    Lema: Tutapokea kigogo wa CCM

    Karibu sana lowasa. Tunakusubili kwa hamu kubwa. Ccm si mungu wa kuogopwa, muogope mungu tu mweza wa yote
  5. M

    CCM yabwagwa Iringa

    We pokea taarifa. Acha mihemuko yako iwe asubuhi au jioni.ccm bana mmeguswa sehemu mbaya eeee. Pokeeni tu hizo sindano si mlizitaka wenyewe. Mnapinga matokeo wakati hata evidence hamnazo poleni sana. Na bado. Kwa taarifa yako wiki nzima hii na ijayo hukumu zinaendelea kutolewa. Kila kukicha ccm...
  6. M

    CCM yabwagwa Iringa

    Katika hari ya taharuki kwa wanaccm na viunga vyake hapa mkoani iringa. Jana zile kesi walizo fungua, zimeaza kutolewa hukumu moja baada ya moja. Wenyeviti wa chadema wanaendelea kuibuka washindi katika pingamizi hizo. Poleni sana wana ccm. Jaribuni kukubari kuwa mlishindwa. Kuliko aibu hii...
  7. M

    Mkutano kujadili Mahakama ya Kadhi: Viongozi wa dini ya Kikristo watoka nje ya kikao

    Safi sana wachungaji.msimamo wenu nimeupenda.Na msikubari. huo uupuzi.serikali haina dini.
  8. M

    Updates za kesi ya mauaji ya Daudi Mwangosi

    poa kamanda.tutakuwa pamoja.
  9. M

    Barua hizi zinaonyesha Wahusika wakuu wa wizi wa ESCROW funds,l tuzichambue kwa umakini

    nimekupata mkuu.Mambo yanaleta haya hasila
  10. M

    Serikali yafilisika, yahaha kupata mkopo kulipa wabunge

    msalani sijamuona vipi hujaona hii taarifa.
  11. M

    CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

    we ritz.kaulize pikipiki za nyinyiemu zilizo kuwa zinakimbia mkoa kwa mkoa (Kampuni gani ilipewa zabuni na pikipik moja imewaghalimu kiasi gani na pes zimetoka wapi.) na baba yako amepewa kiasi gani km 10%.
  12. M

    CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

    Haikuhusu. kwani wewe ni auditor wa cdm? kawaulize ccm. pikipiki walizo kuwa watembelea kuzunguka mikoa yote wamenunua tsh.ngapi?
  13. M

    Tanganyika imerudi

    ndiyo - TANGANYIKA HURU IRUDI
  14. M

    Chadema yatikisa iringa mjini.

    Kama kawaida. Leo jioni kuanzia saa tisa, makamanda wa anga walitua mjini iringa wakiongozwa NA mboe, then lema, msigwa, n.k. Wamewahutubia wananchi na kuwataka siku ya j2 kujitokeza ukumbi wa siasa kusubilia na kulinda kula za kalenga. Watu walikuwa wengi ajabu.kweli mungu yu pamoja na...
  15. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Tarehe 12 Machi 2014 - Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Bunge Maalum

    Hongera zake. Ni mtu makini na wa haki. Mungu amtangulie katika kazi hii nzito na ya kiistoria.
Back
Top Bottom