Search results

  1. ubongokid

    Tuache siasa katika elimu. Tahasusi mpya ni sahihi na zinapaswa kuongezwa zaidi

    Habari za wakati huu; Nimeona watu wakitoa maoni yao mbalimbali kuhusu tahasusi mpya zilizotangazwa na TAMISEMI. Katika kufuatilia mijadala, nimekutana na maoni mengi sana ila nalazimika kusimama hapa na kuiunga mkono serikali kwa uamuzi wake huu. Uamuzi huu ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi...
  2. ubongokid

    Je, inaweza kuwa Rushwa yenye Maslahi kwa Umma?

    Habari za wakti huu? Moja kati ya changamoto tunazokabiliana nazo kama TAIFA ni Tatizo au KERO ya RUSHWA hasa zile RUSHWA kubwa kubwa. Katika Pitapita mitandaoni na tafakari zangu nikakutana aina fulani ya Wala Rushwa ambao kwao wameamua kufanya jambo la kipekee. Jambo hili linaweza kuwa na...
  3. ubongokid

    Maoni Chokonozi:Wabunge Wasiwe Mawaziri

    NImekaa Hapa Baada ya Mapunziko ya Weekend nimeona nilete mjadala mdogo. Mjadala huu unahoji ni kwa nini Wabunge wanateuliwa Kuwa Mawaziri?Kuteu Mbunge kuwa waziri ni matumizi mabaya ya Rasilimali na Yanaondoa kabisa Msingi wa uwakilishi wa wananchi na uwajibikaji wa serikali.Bunge ni Muhimili...
  4. ubongokid

    Je, ni wakati sasa kwa serikali kuanza kupunguza mzigo wa kodi kwa Wananchi?

    Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS. Nimekuwa Katika...
  5. ubongokid

    Tusome kidogo Bajeti ya Serikali yetu ili tunapodai uwajibikaji na haki tujue tunadai nini

    Ni Jumatatu Nyingine Mahususi kabisa ambayo ni ya kwanza kwa mwezi huu wa February wa mwaka 2024.Nikiwa hapa Ofisini kwangu na mshahara ukiwa bado haujatoka. Pamoja na andiko hili naambatanisha link ya ukurasa ambao utakupatia vitabu vya Bajeti vya Serikali yetu ili tujue Pesa yetu inapelekwa...
  6. ubongokid

    Ni nani anasimamia Uchaguzi Tanzania?

    Habari za wakati Huu; Haya ni maoni ambayo pia nimeona niyalete hapa tuyaone. Moja kati ya changamoto kubwa kuliko katika Demokrasia ya Tanzania ni swala zima la Msimamizi wa Uchaguzi. Je Jukumu la Kusimamia Uchaguzi wa Rais, Wabunge n.k. Apewe nani? Wengi wamekuwa wakifikiri kwamba Kitendo cha...
  7. ubongokid

    Nasimama na machangudoa, ni wapiga kura, walipa kodi, watoa huduma, wazalendo ni wana CCM

    Habari za wakati huu; Kwanza niseme nimesikitishwa sana na kitendo cha Polisi wa Mabatini kutumia Excessive Force na kuua Raia asiyekuwa na hatia katika kijiwe pendwa cha the Boardroom pale Sinza Mori mnamo siku kadhaa zilizopita.Kwa kweli kitendo kile kimelifedhehesha jeshi letu...
  8. ubongokid

    Mbwembwe za Makonda na Hatma ya Rais Samia

    Mgema akisifiwa............ Bashite aka Makonda aka kadhaa nyingine Huyu bwana ni mzee wa mbwembwe na kiki.Mbwembwe na kiki zake sasa zimeanza kumcost SAMIA Suluhu,Gharama ya Mbwembwe za Makonda tunaanza kuziona kwenye uchaguzi wa 2024 serikali za mitaa. Hakuna ambaye hafahamu sifa kuu ya...
  9. ubongokid

    Je unajua kinachoendelea katika siasa ya Tanzania?

    Kwa wale ambao hamfahamu leo nataka tuzushe mjada hapa unaoelenga zaidi kuchokoza mjadala zaidi; Kwanza kabisa kuna Operation Maalum ya "Dethronement"ambayo inalenga kuhakikisha kwamba hakuna unpredictable and uncotrollable elements wanaingia katika mfumo wa Uongozi wa nchi. Kitu cha Pili...
  10. ubongokid

    Nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali, hongera Paul Makonda

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vyema na majukumu yenu ya Ujenzi wa Taifa letu hili tukufu la Tanzania. Kwa wale ambao wanaifahamu Siasa sidhani kama hili la Paul Makonda kuwa Mwenezi wa Chama ni Jipya na la kushangaza kwao. Actually, kama wakisoma alama za nyakati...
  11. ubongokid

    Uzi maalum wa kujadili uwezo wa viongozi Tanzania

    Leo siweki Maneno Mengi.Nawaletea tu Skeli ya Kupima IQ ya Viongozi wetu.Skeli itakuwa Vipimo Vitano ambavyo ni hivi hapa Chini: Anaelewa Nafasi na Wajibu wake na anaitumia nafasi yake vizuri kutimiza wajibu Anaelewa Nafasi na Wajibu wake lakini Hatumii nafasi yake kutimiza wajibu wake Haelewi...
  12. ubongokid

    Kwa Hili la Bima ya Afya Kwa watoto-Hapana

    NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/= NHIF Yasajili Wanafunzi 342,933 Bima ya Afya Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa Watasajiliwa Shuleni kwa gharama ileile ya Tsh 50,400 Uzi huu ambao JF waliufuta amba niliandika...
  13. ubongokid

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Naandika andiko hili nikiwa ndani ya Ofisi yangu ya mpya ya Centre for Strategic Intelligence and Clandestine Operation hapa ndani ya kijiji chetu hiki kdogo. Rais wangu Samia Suluhu, najua kazi ya Urais ni Ngumu Sana, ila TRUST me kwamba ni kazi rahisi sana. Tatizo wanoko ni wengi na...
  14. ubongokid

    State Capture and Treason in Tanzania & Tanganyika -The Port Saga

    Habari za Wakati huu; Nimepitia hukumu ya kesi ya IGA ambayo imetolewa na mahakama kuu kanda ya Mbeya. Nimetafakari kwa uchache tu namna ambavyo hukumu hii imeandikwa. Kwanza nimejikuta najiuliza hivi Mahakimu hawa ndio walioandika hii hukumu au hii hukumu iliandikwa na DPW kisha wakatumiwa...
  15. ubongokid

    Je, hili la Bandari likoje?

    Mengi yamesemwa na kujadiliwa kuhusu Bandari, Wanasiasa wamesema yao, Wataalamu wa Sheria wamesema yao, Wabunge wamesema yao na hata Wananchi wamesema yao. Nimewasikia hata Viongozi wa dini wakisema yao. Hata hivyo katika kusikiliza hao wote nimekuwa nikitafuta msimamo ambao unaweza kututoa...
  16. ubongokid

    Je Kuna Vita kati ya Watanganyika na Wazanzibari

    Habari za Wakati huu; Siku za karibuni kila jambo limekuwa likitazamwa mara kwa jicho la Uzanzibari vs Utanganyika,Mara Uislamu vs Ukristo Swali ninalojiuliza Jina kuna Vita ya chini chini kati ya Tanganyika na Zanzibar?Maana kila nikiyatazama yanayojadiliwa nakuta hoja ya Udini au Uzanzibari...
  17. ubongokid

    Tuisheni ya Kitabibu.Madaktari wa Serikali Tanzania Wameruhisiwa kufanya kazi binafsi ndani ya Hospitali za Serikali?

    Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu; Nakuelewa sana as person and as a woman na unajitahidi sana kufanya kazi ila kwa hili ambalo wanasema Umeruhusu Sasa Madaktari wafanye "Tuition ya Kitabibu" Kwa kweli hiki ni Kituko PRO MAX. Hata kama lengo ni kututoa kwenye Mjada wa DP world Basii SISI tunahisi...
  18. ubongokid

    Wosia Wangu Kwako

    Mwanangu Yatazame tu maisha hivi hivi ila asikuambie mtu; Hapa duniani hukuomba uletwe,Ulijikuta tu huko hapa umeunga mstari so inabidi uendelee ila asikuambie mtu maisha yatazame tu.Ila wacha nikwambie ukweli mdogo niliojifunza kuhusu Maisha.Huenda ukakusaidia Kuhusu Siku na Wakati Kila siku...
  19. ubongokid

    Je, Tanganyika Ilifutwa baada ya Muungano? Ilifutwaje?

    Kuna swali najua watu wanajiuliza na mimi pia najiuliza. Je Tanganyika IPO lakini haina Serikali yake au Tanganyika Haipo kabisa? Je Ulipoundwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Tanganyika Ilifutwa kabisa?Ilifutwaje? Naomba kama kuna ambaye ana taarifa za uhakika kabisa maana nikisoma kwenye...
  20. ubongokid

    Kuna Shida gani PAYPAL

    Najribu kufanya Malipo kupitia PAYPAL lakini naona kama kuna shida ambayo siielewi. Je kuna mwingine ambaye anapata shida kwenye kulipa kwa kutumia Paypal?
Back
Top Bottom