Search results

  1. atrash

    Alcatel Linkhub HH41

    habari zenu wakuu Natafuta hiyo routor ya Alcatel Linkhub HH41 inatumia sim card kama kuna mdau Anajua duka linalouza anijuze nimetafuta sana kariakoo na posta hakuna mi nipo Dar-es-salaam
  2. atrash

    my Google Account has been disabled

    hivi hakuna mtu alowahi kupata janga kama hili humu ndani
  3. atrash

    MSAADA TOSHIBA IMEZINGUA

    hapo mkuu inakubidi udownload driver zote za windows seven za hiyo Toshiba yako kwenye pic nyengine na pia tazama kama hiyo windows 7 ni 32bit badili ya 64bit zinaweza kufanya kazi inawezekana hiyo laptop yako designed for win 7 64bit
  4. atrash

    my Google Account has been disabled

    Habari zenu wana jamii naomba msaada wenu account yangu ya google imefungiwa kwa sababu ya kuingiza kwenye simu simu mbili tofauti kila nikijaribu ku sign ina nambia Account has been disabled na nimejaribu kujaza form yao kama inavyo eleza hapo juu nimewatumia hawajibu chochote nimetuma...
  5. atrash

    Antivirus

    Mkuu ina mana hata kwa windows 7 pia haifanyi kazi
  6. atrash

    Antivirus

    Norton nayo kwa run mpaka inafanya computer kuwa slow
  7. atrash

    Antivirus

    Norton nayo kwa run mpaka inafanya computer kuwa slow
  8. atrash

    android x86 for pc

    wakuu habari zenu natumia dell D830 natafuta os ya android x86 inayo support dell yangu mana kila nnayo ipata wireless hai support nimejaribu link hii Downloads - android-x86 - An open source project to provide android support on x86 - Google Project Hosting na hii Download - Android-x86 -...
  9. atrash

    vingamuzi vinavy0rek0di

    mkuu hizo herufi tatu unamaanisha format yake au nini? kama file format ni PVR hata mimmi nilijaribu nikachemsha tupe msaada wako
  10. atrash

    Jinsi ya kubadili PVR videos kwenda formats nyingine

    Habari zenu wana JF, Mimi natumia king'amuzi cha Bahresa, napenda huwa ina sehemu ya record unaweza ku-record movies kwa kutumia USB flash lakini baada ya kurecord hauwezi kuplay kwa kutumia pc una play kwa kutumia kin'gamuzi tu sababu lile file ni PVR format sasa nimejaribu convertor tofauti...
  11. atrash

    hatimaye pd proxy yarudi uwanjani

    ni kweli bi fatma hata mimi kwangu imekubali na speed iko safi sana
  12. atrash

    Microsoft Flight Simulator

    We kajifunze kwa kutumia youtube ukitumia akiliyako utachemka nenda youtube andika how to play microsoft simulator
  13. atrash

    what is wrong with mozilla firefox? kila wakati ina crash down... what should i do?

    Tatizo hilo mara nyingi linasababishwa na adobe flash player ikiwa haipo uptodate na version ya hiyo mozilla. Mfano unatumia Mozilla versin 15 au 16 na adobe flasher player unatumia verion 11. Yani new version hiyo ni sababu ya kwanza. Unachotakiwa kufanya, ) chukua new version ya mozilla...
  14. atrash

    Microsoft Flight Simulator

    habari wana jf natafuta new version ya hiyo game mimi nina ya mwaka 2004 kama kuna mwenye link ya new version anijuze natanguliza shukran
  15. atrash

    Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

    ipo poa sana imekubali mkuu hapa ubuntu anashuka bila matatizo
  16. atrash

    Reliable PC GAMES WeBSiTE

    mkuu unatumia link generator au unatumia username na password za host tupe njia jinsi ya ku download kamauna premium username na password tushushie
  17. atrash

    Version mpya ya guru internet, very stable vpn na bei imepunguzwa elfu 8 tu....

    we umesha sikia kama software ni kwa ajili ya windows halafu unauliza itafanya kazi kwenye ubuntu wakati ubuntu ina software zake labda useme ni software gani ya ubuntu inaweza kutumika kama tunnel guru
  18. atrash

    Msaada wenu nataka wana jamii forums

    fanya hivi tengeneza folder kwenye desktop halafu chomeka modem baada ya hapo copy ile software iliopo kwenye mordem paste ktk folder baada ya hapo chomoa mordem yako halafu fungua ile software ya mordem uliyoiweka ktk folder install kwa kutumia ile software bila ya kuchomeka mordem ikimaliza...
  19. atrash

    jamani nokia asha inanitesa

    habari zenu wakuu mi nina tatizo la jinsi ya kufanya setting ktk hizi simu za nokia asha kwa ajili ya kupata internet nimejaribu kufanya njia zote lakini nimechemka jamani majirani aliokuwa nayo nokia 306 naomba nisaidie jinsi ya kufanya setting ili nitumie internet natanguliza shukran
Back
Top Bottom