Search results

  1. BAF

    Ndugu yangu ameoneka ana damu nyingi mwilini na kusababisha kichwa kumuuma

    Kuna ndugu yangu ameoneka ana DAMU nyingi MWILINI na kusababisha kichwa kumuuma mara kwa mara Cha ajabu ameenda hospital amepewa ASPIRIN, sijajua uhusiano wa DAMU nyingi na hizo ASPIRIN. Wataalumu wa kujua hii shida inasababishwa na Nini na dawa zake
  2. BAF

    KERO: Kelele usiku huu kutoka nyumba ya jirani

    Jamani hapa ninapoishi kuna kelele za mlinzi anafanya usafi kwenye nyumba ambayo haikaliwi na mtu,Sijajua kama kesho wanahamia au La hasha. Kama ni wewe mwenye nyumba hii basi mpigie Mlinzi wako simu usafi atamakizia kesho adubuhi hakuna haja ya Yeye kutusumbua usiku huu. Hata tunashindwa...
  3. BAF

    NINI TUNAJIFUNZA MAISHA YA HAPA DUNIANI YA DR.MENGI?

    Mimi nimetafakali Vitu vingi wakati Jana mwili wa marehemu Mzee, Lovely dady, Trillion, role model wetu ulipokuwa unapitishwa mitaani. Yale machozi na huzuni ndio nimeamua kuleta hii tread hapa jukwaani,naomba na wewe uandike ulichojifunza kutoka kwa Mzee huyu. 1.Alikuwa anamengi na Kama jina...
  4. BAF

    KIPI BORA KATI YA HIVI?

    Naam,jamani tupeane mawazo mtu asome kwanza Kisha atafute ajira au afanye kazi kwanza kwa level ya elimu ndogo kisha akajiendeleze? Najua Kuna watu watapata majibu yao Leo hapa.
  5. BAF

    Kuuliza si ujinga jamani kirefu Cha MV Nini?

    Kwa Tanzania hii naona Meli nyingi zinaanza na neno MV.....halafu Bukoba,Nyerere, nk.
  6. BAF

    ExCELL PROGRAM KWENYE MAC OS

    Nawezaje kununua au Kupata Excell Maana napata shida sana mpaka kufanya Math activities in my MAC,msaada please?
  7. BAF

    Tujitahidi kulea watoto wetu wenyewe badala ya kuwapeleka kulelewa kwa babu na bibi zao

    Hello wanajamvi, Jamani leo nimepita maeneo fulahani nimejisikia kutoa machozi kabisa kwa hichi nilichokiona Sasa wadau Kuna Bibi alikuwa na wajukuu Kama watatu hivi anawalea yeye baada ya kumuuliza anasema wazazi wao wanaishi mikoa mingine huyu Bibi anapata taabu sana pia mazingira anayoishi...
  8. BAF

    Mabachelor wa JamiiForums!

    Hellow! Rai yangu mwaka huu usiishe bila kuoa maana sisi ndugu zenu tuko tayari kuwachangia kwa chochote mnachohitaji ili kuepukana na huo ubachelor. Wadada tunaendelea kuwaombea ili Mungu awasaidie mwaka huu usiishe Bure. Tuko pamoja sana.
  9. BAF

    Ili tufikie Malengo Nini kifanyike 2018?

    Wadau heri ya Mwaka Mpya! Tungependa kushare vitu vichache ili mwaka 2018 uwe mwaka Wa Mafanikio,Taja Angalau kitu kimoja ambacho kitamsaidia mtu kufikia mafanikio yake 2018. 1.kumtanguliza Mungu ktk kila jambo 2. 3. 4. 5. 6.
  10. BAF

    Yanayonipata ukweni yaani acheni kabisa

    Yaaani acheni Kabisa...kila mtu awe mkubwa au mtoto unasalimia kwa Heshima sasa naona imekuwa Kero maana unashindwa kujua yupi ni yupi unaogopa kuharibu profile yako lazima akipita unampa hey! Na sasa sijui wameambiana waje wote duuh mpaka nikirudi kwangu nitashika Adabu ya maana sana.
  11. BAF

    Kutompa ushirikiano mfanyakazi mgeni sio kitu kizuri

    Wapendwa inakujaje mtu anakuwa mgeni katika ofisi anakuta top Management and other worker inampa ushirikiano mbovu kama hawataka kumsaidia kwa chochote Sasa je mtu Huyu atafanyaje kazi? Hii sio nzuri tulikuwa maofisi tusifanye hivyo hatutajenga taifa
  12. BAF

    Ajira ni kufaulu interview na sio kusingizia chochote

    Vijana mkienda kwenye interview mjiandae vizuri na sasa nimeamini sehemu yoyote waweza kupata kazi hata kwenye zile taasisi za serikali tulizokuwa tunasema hizi kazi zinawenyewe hata ukifanya intiview huwezi pata na sasa. Nimeshuhudi haya kwa macho yangu kwa mtu aliyepata kazi pasipo Julikana...
  13. BAF

    Uhakiki wa vyeti vya board mbalimbali hapa Tanzania utafanyika lini?

    Jamani napenda kuuliza lini uhakiki wa vyeti vinavyotolewa na Board mbalimbali vitahakikiwa maana uhakika uliishia kwenye NECTA..Mimi naomba pia ufike kwenye vyeti ambavyo vinatolewa na Board za taaluma husika kama vile Uhasibu,Ugavi na kada zingine.
  14. BAF

    Tuache sifa za kijinga humu kama unapewa fedha kwa kuandika sifa za itikadi za watu au CV

    Nimeona kuna Tabia ya mtu kupost kitu ambacho kina mgusa mtu mmoja au ITIKADI ya mlengo furani. Hii naona si sawa hata kidogo na kama mnataka hivyo nendeni upande wa pili huko ili mjidai huko na hizo itikadi zenu na CV zenu maana maana Tunatakiwa tuandika vitu vyenye Faida.MTU unafungua kitu...
  15. BAF

    Tunawasaidia vipi Ombaomba ndani ya miji ya Tanzania

    Naona hii hali ya hawa watu wanao omba inaendelea kwa kasi sana na wengi wao wana ndugu na jamaaa zao wa karibu kabisa... Je, vijana tufanyaje na hili katika nchi ya Tanzania tunaweza toa mawazo yakawa dawa kwa nchi yetu ya Tanzania na hawa watu wakafanya vitu vya Msingi vya kufanya kuliko...
  16. BAF

    Ina maana gani kuweka tangazo kwenye Blogs halafu Hilo tangazo Lipo kwenye website husika?

    Naona kama Kero sasa maana unakuta tangazo limetolewa kwenye website husika wakati huo huo unakuta mtu anapost kwenye link ya blog yake. Sijajua wataalam wa IT ndio nini hii maana kama unatangaza blog yako sio kwa style hii maana unaweza kukaa kidogo utaona mtu anatuma tangazo Hilo Hilo ambalo...
  17. BAF

    Ina maana gani ya kuitisha interview wakati mna mtu tayari?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Tanzania imekuwa hali ya kawaida sana taasisi kuitisha intiview wakati muhusika wa kazi yenyewe yupo atakaye pata kuliko kumsumbua mtu kutoka mbali huko haliko mwisho wa siku anatumia gharama nyingi halafu ni non refundanle.Hii dhambi inatutafuna Watanzania.
  18. BAF

    Tujizoeshe kusikiliza wosia wa Mwalimu Nyerere kwenye vipindi vya redio

    Nimeleta kwenu hili ili na sisi tunaweza chukua hatua ya kusikiliza. Wapendwa sijajua viongozi wangapi au wananchi wangapi wanasikiliza WOSIA wa Mwalimu Nyerere maana hivi vipindi vinamambo mazuri kwa ajili ya kujenga taifa letu la Tanzania na kama viongozi au wananchi wakiwa wanasikiliza...
  19. BAF

    Vijana mnao tafuta kazi,fanyeni kazi mkipata kazi!

    VIJANA wengi mnaopata kazi baada ya kutafuta kazi kwa muda mrefu mkiwa ofisini FANYENI kazi hii imekuwa Kero sana Kwani Kijana atapata kazi ukiingia ofisini hufanyi kazi Mpaka inafika wakati tunawachoka sasa maana unaweza kumpa Kijana kazi ndogo mpaka wakati wa kuondoka hiyo kazi bado na...
  20. BAF

    Nini sababu ya watu kuwa na vitambi siku hizi?

    Jamani siku za nyuma kidogo kulikuwa na watu wenye vitambi wachache sana ukilinganisha na sasa maana nimejaribu kuangalia sources nyingi sana za hapa Tz bado inaonyesha kuwa siku za nyuma watu wachache walikuwa na vitambi ila sasa imekuwa kama fashion kwa kila mwanadamu kuwa na kitambi au...
Back
Top Bottom