Search results

  1. BAF

    Naondoka mkoa X baada ya Mkuu wa Mkoa mpya kuwa kilaza na alikuwa classmate wangu

    Hauko sahihi hata kidogo Mkuu, mh.Mkuu wa Mkoa sio mtu mdogo na kumbuka raisi wa nchi hii amemuamini na hizi joking zako hazita kufikisha kokote,ukibaki huo Mkoa ur will enjoy mema ya nchi Kanisa. All the best huko unakokeenda na mwache Mh.mkuu wa Mkoa aje kufanga kazi Ili alete maendeleo kwa...
  2. BAF

    Mhitimu afariki akiwa anajitolea kiwanda cha Sukari Bagamoyo

    Mtaalam na wewe ungeandika vizuri Kwa kutoa taarifa vizuri na jua na wewe umesoma,Poleni sana kiongozi
  3. BAF

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Almond nut,ukienda kwenye supermarket au maduka ya wahindi ya vyakula mara nyingi wanauza.Almond nut ni kama karanga vile,unatafuna.Hizi ni nzuri sana
  4. BAF

    Ni muda wakuziacha taasisi ziajiri zenyewe ili kuokoa muda wa kuajiri

    Sikubali hicho kitu hata mara Moja,ni heri pawepo na mfumo wa kuajiri kama sasa wanavyo Fanya secretary ya ajira.Ukitaka Kila taasi kuajiri Kuna mambo mengi sana ndugu.
  5. BAF

    Ndugu yangu ameoneka ana damu nyingi mwilini na kusababisha kichwa kumuuma

    Kuna ndugu yangu ameoneka ana DAMU nyingi MWILINI na kusababisha kichwa kumuuma mara kwa mara Cha ajabu ameenda hospital amepewa ASPIRIN, sijajua uhusiano wa DAMU nyingi na hizo ASPIRIN. Wataalumu wa kujua hii shida inasababishwa na Nini na dawa zake
  6. BAF

    Tatizo hili suluhu yake ni nin wakuu

    Pole mkuu,kama walivyosema jamaa begginer wote wanaanza mazoezi mepesi then utaanza kwenda Long distance.Kama inauma sana nenda hospital ukapate ushauri wa Daktari
  7. BAF

    Mtazamo wangu juu ya ujio wa TIN kwa Waajiriwa

    Kwasasa hivi hakuna non business na business Tin,Tin inakuwa moja isipokuwa,hiyo moja kama ulifungua Non business unaibadilisha inakuwa Business.Reg. ya Tin inatumia NIDA kwahiyo itagoma kwenye system hakuna Tin namba mbili kwa mtu mmoja.
  8. BAF

    Kuna Mlipuko wa Homa na Mafua makali jijini Dar

    Poleni sana,ila Mungu ameshaliponya Taifa letu la Tanzania.
  9. BAF

    Hivi kuna Mortuary Attendant ambaye Akili zake kweli ziko sawa sawa 100%?

    Wanasema ile kazi ni kama kazi nyingine ,mfano bank Teller au na hizo zingine.
  10. BAF

    Mwanamke wa bar anafananaje?

    Iko shida pande zote mbili kati yenu.Cha msingi tubuni na ni wapi mliko anguka wapendwa.Ni kweli kabisa inauma kupita maelezo ila Mungu wa mbinguni atawasaidia na mrudi ktk upendo ule wa kwanza,hadi jamaaa akachukua hatua ya kukuapproach kwa mwembwe zote.Tafuteni muda wa kuongea kwa kumaanisha...
  11. BAF

    Ndugu yangu kachanganyikiwa baada ya kufata ushauri wa kuacha kazi Serikalini kwenda Sekta Binafsi

    Hapo issue ni ndugu yako na sio private sectors...watu wote wanaoganya private sector ambao wanalipwa mishahara mikubwa
  12. BAF

    Kamwe sitomsahau huyu mama aliyeninunulia chakula pale babati(HOTEL) nilipokuwa natoka Dodoma to Arusha

    Amezipata kaka,worry out. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. BAF

    Wakili Msomi Evod Mmanda aombwa kugombea Ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CCM

    RIP Sent using Jamii Forums mobile app
  14. BAF

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    DECODER YA DISH! Msaada watoto wameprogram Kichina sijui jinsi ya kubadilishi in English Sent using Jamii Forums mobile app
  15. BAF

    GPSA: Tuhuma za ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka na mengineyo

    Sio kweli Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  16. BAF

    Rugemalila atoa notisi kwa taasisi 6 akiomba aondolewe kwenye kesi ya Uhujumu Uchumi

    Kama ni hivyo,Mungu atasimama juu yake na ipo siku mtashangwazwa na mengi pindi atakapo toka gerezani. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. BAF

    Kusikiliza radio kwenye Computer

    TuneIn Radio
  18. BAF

    DC adai talaka mbili kwa mpigo mahakamani

    Hivi Kuna MaDC wa Aina hii wapo hapa Tz na serikali yetu Pendwa,SADC inaisha lini jamani?? Maana tunatamani iishe ili twende Town tukale bata. Hawa MaDC wakumbuke uchaguzi mwakani,na newly DC watakuja kwenye hizo nafasi. Nahisi huyo mama kapiga hesabu za mwakani.
Back
Top Bottom