Search results

  1. pipikijiti

    Nimejikuta nimeipenda tu hii picha

  2. pipikijiti

    Nambie hii kwako sawa tu au na wewe hauikubali kama mimi

    Yan vijana wa siku hizi wakifanya hivi siku za birthdays wanafurahi kwel,, ebu nambie we kwako hii imekaa sawa au vijana wanazingua?
  3. pipikijiti

    Davido akiseti mitambo

  4. pipikijiti

    Duniani wawili wawili

    Huyo jamaa kafanana na nan vile
  5. pipikijiti

    Bongo watu wa aina hii bado wapo?

    Ilitokea nigeria jiji la lagos,,,jamaa mmoja alingonga gari ambalo lilikuwa limepark na mwenye nalo hakuwepo na kulikuwa hamna watu eneo hilo alichonikanya akacha namba yake ya simu then akaondoka Mwenye gari alifurahi na akapost Twitter
  6. pipikijiti

    Hivi huyu jamaa ni kijana au mzee?

  7. pipikijiti

    Ilitokea nchini Syria hakika nmeuzunika sana,tuiombee amani syria

    Kwel ya tupasa tuiombee amani syria Mtoto alijua ndo anauwa masikini looh
  8. pipikijiti

    Tupoteze mawazo kidogo,,,weka caption hapa

    Ipe maelezo picha hii
  9. pipikijiti

    Unanishaurije kusafiri peke yangu safari ya km 1000

    Habarini wakuu kunasafari ambayo inabidi nisafari mapema mwanzo mwa mwaka ujao nadhani itakuwa kati kati ya mwezi januari ambayo ntatoka dsm kwenda kusin mkoani ruvuma ila Cjawahi safiri umbali huo ( 1000km),umbali mrefu nilioenda mwenyew ni km 300 Sasa napendaga sana kusafiri na kagari kangu...
  10. pipikijiti

    Naomba kujua kuhusu float za mitandao ya simu kwa mara ya kwanza kabisa zilivyopatikana

    Habarini wakuu,,Ni kwa mara ya kwana napost kwenye jukwaa ili sasa mada yangu sijui kama nmeileta sehem sahihi Mimi ninakabiashara ya kampesa,,,kwahiyo kidogo ninakaufahamu kahusu mpesa,tigo pesa,airtel money na hata halopesa,,,direct to the question; kuna siku niliwahi kujiuliza tu yani ile...
  11. pipikijiti

    Raisi akamatwa na polisi nyumbani kwake lakini aokolewa na wananchi barabarani

    Ni kati ya stori zinazotrend sana kwenye anga za kimataifa tutatizama kiufupi hapa Raisi wa zamani wa georgia hon.Mikheil Saakashvili alikamatwa na polisi nchini Ukraine ambapo amekuwa akiishi humo miaka ya sasa Bwana saakashvili anatuhumiwa kusaidia kikundi cha ugaidi nchini humo lakini...
  12. pipikijiti

    Ila Raisi wa saa hizi alikuwaga msela kimtindo

    Hon. Mugabe(93) hon. Mnangagwa (75)
  13. pipikijiti

    Picha kutoka maktaba,,,sasa hivi ni bilionea mkubwa huyu

    Ilikuwa ni miaka ya 1980s mitaa ya urusi,,,,,na sasa hivi ni bilionea mkubwa sana[emoji3] [emoji3] [emoji23]
  14. pipikijiti

    Tusimchukulie Mohamed Dewji poa... hebu cheki hapa

    Mohamed Gullam Dewji(42) ni mtanzania mwenzetu, ni kijana mjasiriamali, mfanyabiashara na ni CEO wa kampuni ya M.e.t.l group ambayo inajihusisha na uzalishaji na uuzaji wa bidhaa za vyakula mbali mbali, vinyaji, usafirishaji n.k Nmependa kuandika hii habari kutoka na maswali mengi nikihulizwa...
  15. pipikijiti

    Tukio jipya duniani

    Alafu inasemekana ngono inayofanywa kawaida ya dume la simba na jike la simba uchukua muda mfupi mpaka kumaliza yani ni chini ya dakika moja lakini kwa ngono iliyofanywa na simba hawa madume ilichukua zaidi ya dakika moja haijafahamika ni kwanini,,,, A joke: mwambieni diamond abadili...
  16. pipikijiti

    Who is the king of road?video battles

    Battle ya magari kama unavideo za battle kama hizi tupia hapa tuone who is a king of road,,wengi tunajiulizaga mfano range Rover na land cruiser ipi bora? Sasa huu uzi ni special kwa kushindanisha magari mbali mbali kama unavideo za battle ruksa kiweka wakuu,,, Mi naanza na hii,hii ilibase off...
  17. pipikijiti

    Kumbe kuna wanawake waelewa jaman

    Yan ukiwa na wanawake kama hawa raha tu
  18. pipikijiti

    Mume awekwa kwenye begi

Back
Top Bottom