Search results

  1. E

    Kazi ja jwtz lini kwa proffessionals zinatoka lini????

    Mie bado sijaelewa, hao wa ndani una maana ni wale ambao tayari wapo jwtz au jkt?
  2. E

    hupendi nini?

    Sipendi wanaokula hovyo hovyo wakati kuna vituo vya kula misosi, halafu wakati mwingine wanakula mamsosi ya gharama na hamna karibu kwa majirani zao. sijui huwa hawajui kama wengine mle kwenye mabasi hawana hata senti tano ya kununulia maji. wakiibiwa huwa wakwanza kulalamika wakati wenyewe...
  3. E

    Waliochaguliwa jwtz kupimwa ukimwi kesho j5

    Jamani mambo ya jeshi ni noma, ukienda una HIV, automatic unajiua mwenyewe kwani pamoja na kupima ila bado baada ya miezi mitatu ukiwa depo bado tena utarudia kupima na hapo shughuli ndiyo huwa pevu. Kama unaona unaonewa nenda hata mafunzo ya mgambo utaona cha moto.
  4. E

    Us embassy na vioja vya baadhi ya wafanyakazi

    Yawezekana pia unamakosa ya kutokuwa makini, kwani interview yako ya kwanza ndiyo hiyo ya kupigiwa simu na ulionyesha udhaifu wa kutokutambua makosa kwa uharaka na kumsahihisha aliyekupigia simu. Ila usikate tamaa riziki yako ipo tu yawezekana Mungu amekuepusha na inshu za ajabu.
  5. E

    Job application

    Wanajf ni vizuri tukawa tunaelimishana pale tunapokosea na sio kupondana tu! Ila naimani kama jamaa angekuwa na uchu wa kazi asingeandika hivyo, yawezekana anamsaidia jamaa yake tu kutafuta kazi! Next time sidhani kama ataandika hivyo tena.
  6. E

    Kazi JWTZ

    Vizuri kwa kuuliza wanajf. Nachofahamu ni kuwa nafasi za jeshi hutolewa kupitia mshauri wa mgambo katika ofisi ya kila mkuu wa wilaya. jaribu kufanya followup kwa sasa maana ndiyo kipindi chake kutoka japo nimesikia nafasi za JKT tayari zimetoka kupitia hao jamaa mshauri wa mgambo wa kila...
  7. E

    Hivi kituko gani unakikumbuka ulikifanya wakati mdogo

    Mimi nakumbuka nikiwa darasa la kwanza, Mother mmoja jirani alinituma chumbani kwake nikamletee chupi mwanae. Mie nilipofika chumbani kwake nikabugi mahesabu nikadhani kanituma chupi yake na kumpelekea. Weee nilikula bakora za kutosha!
  8. E

    Video mpya ya Obama akitangaza kifo cha Bin Laden!!

    Ha ha haaa! Kama kafa basi Gaddafi naye wamekaribia kumuua.
Back
Top Bottom