Search results

  1. Kifaru86

    Nimegundua mwanamke ambaye nina mpango wa kumuoa hatutawezana

    Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu...
  2. Kifaru86

    Hakuna watu wanafiki na wabaguzi hapa nchini kama masikini

    Yaani hawa watu sijui wakoje kipindi huna hela au huna issue ya kufanya hata siku moja huwezi kuona kuona simu yake akikutafuta mzungumze mpeane mawazo jinsi ya kutoka kimaisha hata ukimtafuta wewe unampa idea zako tufanyeje tutoboe maisha anakuona kama unajipendekeza kwake alafu hata ukiwa una...
  3. Kifaru86

    Ivi ujauzito huanza kujitokeza au kuonekana baada ya muda Gani

    Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
  4. Kifaru86

    Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe . Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
  5. Kifaru86

    Nimeshidwa kumuelewa mpenzi wangu kwa kuwa na huzuni na msiba usiomuhusu wakati marehemu si ndugu yake

    Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote. Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
  6. Kifaru86

    Vita vya ukraine huenda vikamfanya putin kufuata nyanyo michael gobachev 1991

    Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991 Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali...
  7. Kifaru86

    Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

    Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi mwenza anaku treat vizuli anakuheshimu anakupa upendo wote ila basi unaona ila tuu haya mahusiano...
  8. Kifaru86

    Wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui. Tatizo ni nini?

    Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi. Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora...
  9. Kifaru86

    Ilikuweje KGB wameshidwa kumpandikiza mtu wao akaiongoza Ukraine

    Huwa najiuliza kuhusu hili shirika la kijasusi la KGB la urusi ni moja katika ya shirika ambalo linasifika sana ktk maswala ya kijasusi lakini ilikuweje hili shirika wakashidwa kumpandikiza kibaraka wao akaiongoza ukraine kwa matakwa ya urusi Lakini leo hii mpka vita inatokea ukraine ina maana...
  10. Kifaru86

    Ni kitu gani huwafanya wanawake wengi walio katika ndoa kuendeleza mahusiano na ma-ex wao?

    Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani. Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha...
  11. Kifaru86

    Utajuaje mwanamke wako ameanza kukusaliti kimya kimya

    1.Ukiona mwanamke wako sio mpiga story na wewe zaidi ya wewe ndio umekuwa ndio mpiga story ili kumfurahisha yeye lakini sio yeye mpiga story akufurahishe wewe 2.Mara nyingi mwanamke wako anapenda uwe unazungumza vitu vya point na msingi na kama huna cha kuongea anakuomba tupumzike 3.Mwanamke...
  12. Kifaru86

    Never trust a woman who had sex with man before meeting you

    haya sio maneno yangu bali ni maneno ya mwana saikolojia tex william aliyoyazungumza mwaka 1947 ambaye nilikuwa namskiliza kupitia yotube tex william anasema mwanamke ameshawahi kushiriki tendo la ndoa kabla yako hawezi kuwa na mapenzi ya dhati kwako kuliko yule mtu wa kwanza aliyekutana nae...
  13. Kifaru86

    Katika mahusiano mapya ukigundua mpenzi uliyenaye hakukubali huwa unachukua hatua gani?

    Mwanamke au mwanaume yeyote anapokuwa mwenye akili timamu zilizo tulia katika mahusiano mapya kuna vitu ni lazima utavigundua kama huyu mpenzi wangu ananikubali au hapa nilipo nalazimisha huu uhusiano. Kwani utagundua huyu mtu nilie naye hanikubali Je, ukigundua mahala ulipo haukubaliki huwa...
  14. Kifaru86

    Ukichelewa kuoa hadi miaka 40 utapata shida kumpata mwanamke utayendana naye

    Kuna imani flani imejengeka kwa vijana wenye umri kuanzia 25-35 kwamba mwanaume umri wowote anaweza kuoa hata akichelewa hamna shida ataoa it's true kuoa mwanaume lakini kupata mwanamke wa ndoto yake ni ngumu sana 1. At the Age of 40 Kama atapata mwanamke mwenye umri kuanzia 29 hadi 39 hapo...
  15. Kifaru86

    Ni mbinu gani unatumia kubalance shobo kwa mpenzi wako?

    Mapenzi siku zote tunasema ni two ways directions not one way directions na ukiona upo katika penzi la one way directions ujue kuna tatizo Kiasi cha kwamba wewe ndo unajitahidi kumuonesha mwenzio jinsi unavyompenda kuliko yeye anavyoesha. Wewe ndo unajionesha umependa sana kuliko mwenzio...
  16. Kifaru86

    Nataka kufanya biashara ya Uwakala wa Tigopesa, M-Pesa, Airtel, CRDB, NMB na Selcom Services

    Wakuu nataka kufanya hii biashara naombeni mwongozo vitu vya umuhimu vya kuangalia kabla ya kuanza hii biashara Na vipi kuhusu malipo yake upande wa commission kila mweziii huwa wanalipajeee Na maeneo gani mazuli ya kufungua hii biashara
  17. Kifaru86

    Je, kuna faida gani ya kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja?

    Ningependa kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja huwa kuna faida yeyote ilee unapokuwa na mpenzi wa njee. Kama ndio hebu tueleweshane kuhusu hili jambo.
  18. Kifaru86

    Vijana jichunguzeni Mahusiano uliyonayo kama yanajenga au yanabomoa maisha yako

    Nilikuwa namsikiliza mwana saikolojia alphaxad joel kupitia yotube channel yake Katika mafundisho yake anasema mahusiano yana nafasi kubwa ya kujenga na kubomoa maisha yako Hivyo kila baada ya miezi sita unatakiwa ujitathimini kiuchumi unasonga mbele au unarudi nyuma Ni vitu gani vya...
  19. Kifaru86

    Vijana acheni kujidanganya. There's no True love without sex katika mahusiano

    Katika kitabu cha John Maxwell kiitwacho Thinking for Change kuna point alizungumzia kuhusu mahusiano ya mwanamke na mwanaume kama hawashiriki tendo la ndoa au sex hapo hakuna TRUE LOVE zaidi ya kupotezeana muda. John Maxwell anasema sex ndio chombo pekee kinachotengeneza true Love na kama...
  20. Kifaru86

    Maombi yenu wana JF napeleka posa usukumani

    Nipo njiani naelekea tabata baracuda ambapo familia ya binti inaishi nipo na mshenga wangu kuna binti tunaenda kwao kupeleka barua ya posa hiyo familia wenyewe Ni wasukuma
Back
Top Bottom