Search results

  1. Kifaru86

    Nimegundua mwanamke ambaye nina mpango wa kumuoa hatutawezana

    Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu...
  2. Kifaru86

    Hakuna watu wanafiki na wabaguzi hapa nchini kama masikini

    Yaani hawa watu sijui wakoje kipindi huna hela au huna issue ya kufanya hata siku moja huwezi kuona kuona simu yake akikutafuta mzungumze mpeane mawazo jinsi ya kutoka kimaisha hata ukimtafuta wewe unampa idea zako tufanyeje tutoboe maisha anakuona kama unajipendekeza kwake alafu hata ukiwa una...
  3. Kifaru86

    Ivi ujauzito huanza kujitokeza au kuonekana baada ya muda Gani

    Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
  4. Kifaru86

    Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

    Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe . Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa...
  5. Kifaru86

    Nimeshidwa kumuelewa mpenzi wangu kwa kuwa na huzuni na msiba usiomuhusu wakati marehemu si ndugu yake

    Nina mpenzi wangu week mbili zilizopita aliniomba ruksa kuna msiba mtaani kwao ambako amezaliwa na amekulia kuna kijana mmoja alikuwa amefariki kwa ajari basi nikamruhusu akaenda nami pia akaniomba nimsindikize tukaenda wote. Sasa tangu huu msiba umalizike mpenzi wangu amekuwa ana huzuni sana...
  6. Kifaru86

    Vita vya ukraine huenda vikamfanya putin kufuata nyanyo michael gobachev 1991

    Sasa Kama ilivyokuwa mwaka 1991 baada ya hali kuwa mbaya nchini urusi na nchi za kisoviet kipindi cha vita baridi vilipekea raisi wa urusi na kiongozi wa nchi za kisoviet kujiuzulu mwaka 1991 Je putin huenda akajiuzulu hali ikizidi kuwa mbaya kwa kama ilivyokuwa kwa michael gobachev alikubali...
  7. Kifaru86

    Ni kwanini NATO na USA wanaliogopa kundi la Wagner Group kutokea Urusi

    Wagner ni secreat military private army ambalo limeasisiwa na KGB chini ya kachero putin na fidel casto wa cuba kwa kifupi hili ni jeshi la kukodi ambalo huwa linafanya kazi za kijeshi katika nchi yeyote pale Kwa sasa lipo syria ndio wanaopambana na islamic state na ndio jeshi linalomlinda...
  8. Kifaru86

    Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

    Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndiyo chombo kinachokupa amani ya moyo. Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi mwenza anaku treat vizuri anakuheshimu anakupa upendo wote ila basi unaona ila tuu haya mahusiano...
  9. Kifaru86

    Nini suluhisho ya mahusiano yanakunyima amani ya moyo?

    Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi mwenza anaku treat vizuli anakuheshimu anakupa upendo wote ila basi unaona ila tuu haya mahusiano...
  10. Kifaru86

    Wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui. Tatizo ni nini?

    Japo sio wote ila wana ndoa wengi siku hizi wanaishi kama maadui tatizo ni nini lakini yaani. Kuna watu wapo ndani ya ndoa lakini wakiwa ndani hawaongeleshani Kuna watu wapo ndani ya ndoa kila siku ugomvi vikao vya kifamilia vya usuluhishi haviiishi. Kuna watu wapo ndani ya ndoa wanaona bora...
  11. Kifaru86

    Ilikuweje KGB wameshidwa kumpandikiza mtu wao akaiongoza Ukraine

    Huwa najiuliza kuhusu hili shirika la kijasusi la KGB la urusi ni moja katika ya shirika ambalo linasifika sana ktk maswala ya kijasusi lakini ilikuweje hili shirika wakashidwa kumpandikiza kibaraka wao akaiongoza ukraine kwa matakwa ya urusi Lakini leo hii mpka vita inatokea ukraine ina maana...
  12. Kifaru86

    Ukraine: Wafungwa wenye uzoefu wa kijeshi kuachiwa ili wasaidie kupambania nchi yao

    Kwaiyo baada ya vita kumalizika wataendelea kutumikia vifungo vyao kama kawaida
  13. Kifaru86

    Hii tabia ya kuwatenga Watoto wa nje ya ndoa ni mbaya sana, ni kutengeneza sumu kwa watoto

    Ila watoto wa nje ya ndoa sijui huwa wanawakuwaje akigundua baba yake mzazi ni mtu mmoja masikini sana wala huwezi kumkuta anajiangaisha kumtafuta kumjua baba yake. Ila akishakuwa na fedha ndio toto utamuona anaanza kuangaika kumtafuta mjue baba yake
  14. Kifaru86

    Ni kitu gani huwafanya wanawake wengi walio katika ndoa kuendeleza mahusiano na ma-ex wao?

    Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani. Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha...
  15. Kifaru86

    Utajuaje mwanamke wako ameanza kukusaliti kimya kimya

    1.Ukiona mwanamke wako sio mpiga story na wewe zaidi ya wewe ndio umekuwa ndio mpiga story ili kumfurahisha yeye lakini sio yeye mpiga story akufurahishe wewe 2.Mara nyingi mwanamke wako anapenda uwe unazungumza vitu vya point na msingi na kama huna cha kuongea anakuomba tupumzike 3.Mwanamke...
  16. Kifaru86

    Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Haya mambo yana utamu wake ila yanakuwa machungu pale mwanamke anapokuwa na ujauzito Pale ndipo utata unapoanzia especially mwanaume kama hajajipanga kimaisha bado anaishi nyumbani
  17. Kifaru86

    Never trust a woman who had sex with man before meeting you

    IVI HUJAWAHI KUSKIA KUNA WATU WAMEOA NA WANA MAKARATASI YOTE YA NDOA LAKINI UNYUMBA WANANYIMWA LAKINI EX WAKE AKITAKA ANAPEWA VILE ANAVYOTAKA NDO MAANA TUKASEMA KUOA WEWE NI MUME MAKARATASI UNAWEZA UKAOA NA USIPEWE LAKINI EX KILA SIKU ANAPELEKEWA SABABU NDO MUME WA MOYONI ANAJUA WAPI AMEMTOA
Back
Top Bottom