Search results

  1. C

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kumpendekeza hayati Magufuli kwa hayati Mkapa

    Kusifia kuwa amefanya maendeleo huku mikono yake ikiwa ilijaa damu na dhruma ni ujinga wa kupitiliza .kusingizia unafanya maendeleo huku unavunja haki za binadamu ni upumbavu wa kupitiliza ..huyu mtu alikuwa katili mjivuni muongo .maisha hv yapo juu Sana yy Ana mchango mkubwa sana.maana ni Kama...
  2. C

    Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

    Ukiona mtu anamkumbuka dikteta jua nae alikuwa mtesi na alikuwa kwenye kundi la kutesa watu.ukweli Yule jamaa Bora Mungu aliingilia Kati alikuwa hafai alikuwa muongo tu
  3. C

    Machinga wanapangwa Dar es Salaam

    Haya ndio mazao ya uoga na siasa za Yule jamaa aliekuwa hajiamini ktk uongozi wake .ni gharama kubwa mbaya ametuachia Hilo zao la wamachinga ni bomu litkapo ripuka itakuwa balaaa
  4. C

    Nani wa kumrithi TB Joshua na kuendeleza huduma yake katika bara la wapenda miujiza na injili ya mafanikio (prosperity gospel?

    Toka lini kanisa hurithiwa na mtu .hii ndio shida ya haya makanisa ya mifukoni .kanisa ni la mungu sio la mtu sasa Joshua kafa watu kuulizana Nani atarithi kanisa huo ni ujinga mkubwa Kam kweli kanisa la tb Joshua lilikuwa la mungu Basi litadumu daima lkn km ni shetani Basi linaenda kufa soon.
  5. C

    #COVID19 Askofu Ruwa’ichi: Puuzeni maneno ya Askofu Gwajima dhidhi ya Chanjo ya Corona

    Wanaomsifia gwaji ni watu wasio na akili Wala hekima .kumsifia huyu ni kuendeleza ukichaa mwingine uliopita huko siku za nyuma ..inashangaza tz tumekuwa watu Fulani wajinga hv kupenda kushabikia ujinga ni kuacha kuhagaikia mambo ya msingi kwa taifa na jamii..ukweli huyu gwaji ni bomu lingine kwa...
  6. C

    Tukuyu: Waumini KKKT wamfukuza Baba Askofu Dkt. Edward Mwaikali

    Hapo ndipo kanisa Katoliki la mitume linapojichukulia heshima yake .upuuzi km huu haupoooooo
  7. C

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Watu kupotezwa bila kujua walipo ..kunyonga Uhuru na demekrasia .kufujuza wafanyakazi bila kuwalipa..nitamkumbuka kwa hayo jp up mengine.meeeeeeengiiiiiiii saaaaaaanaaaa
  8. C

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kunyonga demekrasia .kutesa wapinzani kunynganya hela za watu kunynganya rambirambi za tetemeko.kutopandisha mishahara kuwafukuza wafanyakazi bila kosa kuwaweka maaskofu ndani kujifanya anampenda mungu kumbe sio.kutudanganya uchumi umekua kumbe sio nk nk nk.
  9. C

    Nimeamini viongozi wengi waliishi na Magufuli siyo kwa dhati ya mioyo yao bali kwa unafiki

    Hata iddi amini anatajwa sna uganda kutajwa mtu sio kwamba ni kwa wema tu hata kwa ubaya anaweza tajwa Kila siku..ukweli nilikuwa naiona tz inaelekea shimoni kbs.siwezi sifia ujenzi wa barabara reli majumba nk wakti watu wanauawa wanapotezwa wanadhrumiwa wanawekwa magerezani.ukweli tulipotea ni...
  10. C

    Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

    Siku hizi neno uzalendo limekuwa kivuri Cha kuwaumizia watu tafsiri ya neno uzalendo ni maumivu kwa watawaliwa..eti unasema mzalendo kumbe unawazuga tu ili uwaumize noo hapana
  11. C

    Suleiman Jafo, Kanisa la Askofu Gwajima ni kero kwa wananchi waishio Mazizini Ukonga, Dar es Salaam

    Umoja ni nguvu km serikali imeshindwa he nguvu ya imma nayomimeshindwa.hv sisi watz Nani ameturooga Kila siku ni kulalamika tu tumekuwa waoga Sana .kutumia nguvu ya umma kwann tunashindwa..tuache ujinga
  12. C

    Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    [emoji849][emoji849].mbona mwendazake alikuwa anatuaminisha Kila siku kuwa uchumi wetu umekuwa hd asilimia 8.pia tulidanganywa eti ni uchumi wa Kati..
  13. C

    Kumshambulia Hayati Magufuli kunaweza ligawa Taifa na kupunguza nguvu ya CCM kanda ya Ziwa

    Hata ukienda ujerumani Kuna Mambo mazuri Sana hitlar aliyafanya uchumi wa ujerumani ulipaa Sana wakti wake lkn wajerumani hawawezi mkumbuka hitlar kwa mazuri wanamkumbuka kwa mabaya yake tu .hivyo ni vzr kutenda mema klk mabaya hili ni funzo kwetu
  14. C

    Great Awakening Africa: Madhehebu makongwe chukuaeni tahadhari

    Masanja huyu no bonge la msanii ni kijana anaeingalia pesa ilipo tu.masanja kuwa na kanisa haya ni maajabu mengine .kweli watu kwass tumekosa maarifa ya utambuzi.
  15. C

    Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

    Ukisema ni daraja kubwa kusini mwa Afrika unadanganya ndg.
  16. C

    Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

    Suala la mtu kwenda kwao ni suala la kujivunia sasa mwandishi Kama kabila haliendi kwao wewe unawashwawashwa Nini na kabila la wenzako???eti ulienda kufanya uchunguzi umelipwa nini au Nani kakulipa.naona watz kwasasa hatuna kazi zd ya umbea
  17. C

    Nigeria: Mchungaji apigwa risasi 40 bila hata moja kupenya mwilini mwake

    Tukisema madhehebu ya siku hz ni shida mnabisha oneni sasa.
Back
Top Bottom