Search results

  1. Dit000

    Vocational teacher Mansory and bricklaying II VETA.

    habari? hivi kuna mtu amewahi fanya mitihani za utumishi anipe hints maswali yanavyokuwa? kama kuna mtu kwenye hii list kachaguliwa naomba anipe hints kidogo za maswali.
  2. Dit000

    Hisa zipi nzuri kati ya NMB na CRDB?

    Kati ya share za NMB na CRDB zipi ziko stable, kwa kipindi Cha miaka 60 ijayo kuanzia sasa hivi? na ipi itakuwa na uhakika wa kupata gawio Kila mwaka?
  3. Dit000

    Unahitaji kiasi gani cha pesa kwa maisha yako yote duniani?

    Kwangu Mimi nikipata kiasi flani cha pesa naweza kuishi duniani bila kufanya kazi yoyote na nikamudu bills zote, mchanganuo ni kama ifuatavyo; Familia ya baba, mama, watoto sita na ndungu wanne jumla watu 12. Kila mmoja atakula Milo mitatu. 5000*3*12=186,000/=. Kwa siku kwa ajili ya chakula...
  4. Dit000

    Facts about quiet people

    1.they are too much hunger,don't get them pissed off. 2.they never show their pain or how depressed they are. 3.they are shy and can not maintain eye contact. 4.they are loyal and love most in relationships 5.they are Smart in everything they do. 6.they are talkative arround the right...
  5. Dit000

    Naulizia bei za fremu za milango

    Habari wataalamu nauliza fremu za namna hii Zina bei gani?
  6. Dit000

    Wazo la uwekezaji

    Habari nimepata wazo la uwekezaji. Nimewaza hivi, nikiwa na eneo kubwa lililokandokando ya makazi ya watu halafu nikatafuta wataalamu wa ujenzi wakafanya usanifu wa shimo kubwa sana la kutunzia uchafu wa chooni . Kitu cha pili natakiwa kununua gari la kunyonya uchafu kwenye septic tank...
  7. Dit000

    Je, kuna tofauti kati ya bond fund na liquid/ukwasi kwenye uwekezaji wa pamoja (UTT)?

    Habari za usiku ndugu zangu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote mwenye uelewa juu ya uwekezaji katika taasisi ya serikari UTT. Hizi bond fund na liquid/ukwasi zinatofautiana vipi ukiwekeza huko hela yako? Na hatifungani za benkii kuu na hizi za UTT zipi ni nzuri zaidi?
  8. Dit000

    Unajua nini kuhusu Hawa watu wapole na wakaa kimya?

    Najua mambo kadhaa ikiwemo ; 1. Wanapenda amani na utulivu. 2.Si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba. 3.Wanapenda sana kunyanduana. 4.Wanafanya kazi kwa bidii sanaa. 5.Hawapendi kufokewafokewa. 6.Ni greater thinkers. Unaweza kuongezea na wewe.
  9. Dit000

    Kuna tofauti yoyote kati ya Over The Counter Market(OTC) na server za MT4 za FX brokers?

    Habari za usiku ndugu zangu, Nimekuwa nikichanganya vitu hivi viwili. mfano tanzania inataka kununua ndege marekani inatakiwa ibadili Tsh kwenda usd ili iweze kufanakisha internation trade si lazima ibadili tshs kupitia OTC network au Interbank market au kuna njia nyingine hutumia...
  10. Dit000

    What is the real meaning of 'demand and supply' in Forex market?

    habari za usiku na swali naomba wanauchumi na forex trades munijibu. Hivi, supply na demand , ni quantity of goods or services au ni number of people? mfano, mama lishe akipika chakula say wali na maharage kilo 20, then wateja wakaja wakanunua nusu ya kile chakula na nusu kikabaki, ni...
  11. Dit000

    Condition and unconditioned love

    Unapomsaidia mtu pasipo kutarijia feedback yoyote kutoka kwake ni uncondioned love/agape love, mfano unapomsomesha mchumba wako bila kutarajia kuwa baadae utamuoa, Endapo ataleta pingamizi. Unapomsaidia mtu kwa kutarajia kwamba atakuripaa baadae hiyo ni conditioned love. Sasa kuna watu kwenye...
  12. Dit000

    land cruiser 300VX engine v6 Vs land cruiser luxes 600

    naomba nipate ushauri kati ya land cruiser 300VX engine v6 na LX 600 ipi ni gari nzuri sanaa? land cruiser 300VX land cruiser LX600
  13. Dit000

    Aina ipi ya uzinzi ni tamu zaidi?

    1. UZINZI MATAWI YA JUU, mfano munatoka Tanzania mnapanda ndege munaenda China kufanyia uzinzi, au mnafanyia uzinzi kenywe hotel za 5 stars dau linakuwa kubwa kidogo kama 400,000/= kwa siku 2. UZINZI MATAWI YA KATI, mfano mnaenda kufanyia uzinzi kwenye lodge,gest za dau dogo kuanzia tsh 5000...
  14. Dit000

    Fahamu wakati ambao mwanamke huwa na ashki kali zaidi

    Nyege kwa mwanamke huwa inakuwa juu sanaa wiki mbili baada ya kutoka mwezini yaani homoni ya ESTROGEN inakuwa iko juu sanaa hadi pale siku za hatari zitakapoishaa sasa huu ni muda wa kunyanduana mpaka basi, kwani mihemo ya mwili wa mwanamke inakuwa iko juu sanaa kupelekea kuwa na hali moja na...
  15. Dit000

    Ni kweli mazingira yana affect ubongo linapokuja suala la kufanya mapenzi?

    Wanasaikologia ni kweli wanandoa au wapenzi, wakifanya mapenzi sehemu za hadhi ya chini, kama vile msituni, shimoni, chini ya vibanda vya wazi, beach sehemu ya uwazi, vichochoroni, kwenye dari, n.k mwanamke au mwanaume ni ngumu sana kuyasahau hayo mazingira hadi uzeeni kulinganisha na...
  16. Dit000

    private plate car number

    hivi kuna watu humu wanamiliki private plate namba za gari, yaani zenye majina yao?? maana mtaani kugumu kwelikweli
  17. Dit000

    mining engineering vs civil engineering

    nilisoma diploma ya uhandisi ujenzi muda kidogo sasa baada ya kumaliza na maisha kunichapa, nilijikuta nimeingia katika maswala ya uchimbaji wa dhahabu maporini katavi huko nilifanikiwa kujifunza nje ndani kuhusu madini ya dhabau sema kule tulikuwa tunachimba locally sio kama wasomi...
  18. Dit000

    Kuna watu wanaishi vizuri sana, tembea uone

    Wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za kwenye bodi unakuta wameweka zile nyeupe zina umbo kama sahani approxmetely 50cm diammeter zina mwaga murua, sofa kubwa za ngozi...
  19. Dit000

    Mwenye vitabu au tutorials za mapishi ya kienyeji anisaidie

    Mwenye vitabu au totorials za mapishi ya kienyejii ya kikabila makabila yote tz, anisaidie please.
Back
Top Bottom