Search results

  1. Mzee Chapuuka

    Polisi mtaacha lini Rushwa?

    Salaam wanaJF, Leo mida ya asubuhi nimekuwepo central kufuatilia namna ya kumdhamini mfanyakazi mwenzangu aliekamatwa Kwa kesi ya madai. Sasa nimepeleka barua ya kumdhamini toka Kwa Afisa mtendaji. Kilichofuata hapo nikaanza kuzungushwa ili mradi nitoe fedha jamaa angu aachiwe wakati dhamana...
  2. Mzee Chapuuka

    Nakerwa na masharti ya kuingia hospitali ya Bugando

    Kichwa cha habari chahusika Kikukweli walinzi wa pale Geti kuu la kuingia hospital ya Bugando wanakera mno hata kama wanafuata taratibu zilizowekwa na hospital Kimsingi hospital ni sehemu ya kupeana faraja sasa linapokuja suala la kukaguana ovyo ovyo kana kwamba mtu amebeba madawa ya kulevya...
  3. Mzee Chapuuka

    Mwanza limepita Tetemeko sijui wenzetu Kagera wako salama

    Wakuu dakika 5 zilizopita ,kuna tetemeko dogo la ardhi limepita mjini Kati mwanza hapa Ghorofa nliyopo limetetemeka kiaiana na wafanyakazi kuingiwa na hofu Sijui ndugu zetu Bukoba wamepona manake ukiona tetemeko mwanza basi jua limetokea Bukoba Tujuzane wana BK mpo salamaa au mwafwaaaa
  4. Mzee Chapuuka

    Ndege wafananao huruka kundi moja

    Huwa najiuliza inakuaje mkuu JPM tangu aingie madarakani rafiki zake ni maraisi wenye skendo mbovu katika nchi zao,karibu viongozi wote wakuu wa nchi waliotembelea bongo wanaskendo mbovu katika nchi zao 1.Kagame ana skendo ya kuminya demokrasia na Uhuru Kwa wapinzani nchini kwake 2.Mfalme wa...
  5. Mzee Chapuuka

    Ajira za dharura 15 elfu zimepotelea wapi?

    Salaam wana JF, Siku kadhaa nyuma niliona taarifa kwamba serikali ipo mbioni kutangaza ajira 15 elfu za dharura ili kujaza upungufu wa watumishi waliotumbuliwa kwa vyeti feki cha ajabu hadi sasa hakuna taarifa nyingine au zile zilikua sound tu za serikali kama kawaida yao. Tujuzane! NB...
  6. Mzee Chapuuka

    Anakaa kimya, nikimtafuta tu kizinga hicho

    Hivi nyie kina dada wa mjini tena maeneo ya uswazi hii tabia mtaacha lini, mkioneshwa kupendwa mnaleta mapozi utadhani mnatoka mboga Saba. Simu hampigi hadi mpigiwe na mkipigiwa mnaanza kueleza shida zenu lukuki je usingepigiwa hizo shida ungeeleza saa ngapi. Kuna haka kasichana kangu yani...
  7. Mzee Chapuuka

    Ni sahihi mwanaume kubadili dini yake na kufuata dini ya mchumba wake?

    Mada tajwa yahusika, Siku hizi kumekua na mtindo wa watu kubadili dini na kufuata zile za wapenzi wao ili hatimaye wafunge ndoa. Siku za nyuma tuliona wanawake ndio hubadili dini na kufuata dini za wapenzi wao. Ila siku hizi wanaume nao hubadili dini na kuwafuata wachumba ( wake zao) wao,Je...
  8. Mzee Chapuuka

    Msaada:Dawa ya kuondoa makengele masikioni

    Salaam wanaJf Jamani msaada ,mwenzenu Jana nlikula bia nyingi Sana na kucheza bakulutu hadi alfajiri Sasa hapa nlipo naandamwa na makengelee masikioni yani sisikiii fresh Si mnajua yale makengelee yanayosikika masikioni baada ya kunywa dozi ya malaria hasa Krorokwini Sasa anaejua dawa ya...
  9. Mzee Chapuuka

    Karibuni tusherehekee ushindi wa Yanga hapa Villa Park

    Wakuu tupo hapa tunakula castle bariiidi huku live band ikiendelea Watoto wazuri wapo karibuni tule burudani muruaaaaa
  10. Mzee Chapuuka

    Manispaa ya Ilemela hii barabara hamuioni

    Ni jambo la aibu Sana Kwa barabara inayoelekea kwenye makao makuu ya wilaya na manispaa ya Ilemela Buswelu Kuwa mbaya kiasi hiki Hasa hapa maeneo ya shule ya msingi Gedeli yani ni mashimo tupu tena makubwa Je viongozi wa manispaa hamuyaoni Haya mashimo Hata kama mmeanza kutengeneza hii...
  11. Mzee Chapuuka

    Kisa elfu 30 kagoma kuja ghetto

    Mada tajwa yahusika Leo nlikua na miadi na baby wangu yule wa kunipunguza uzito na yeye mwenyewe aliniambi ukitoka Job nishtue Nlipotoka job nkamwambia natangulia ghetto akasema poa mi najiandaa Kabla sijafika home msg inaingia ,"Sweet nna shida ya elfu 30 nikopee AF mi ntakurudishia mpnz"...
  12. Mzee Chapuuka

    Nimeamini: Kugegeda mfululizo/Mara Kwa mara kunapunguza uzito

    Mada tajwa yahusika Nlikua naskia skia Tu ukipenda kugegeda kila Siku unakonda na kupungua uzito Hii theory nimeamini sasa baada ya kupungua uzito kama kilo 3 hivi Nimefululiza kumgegeda mchepuko wangu Kwa takribani wiki 2 goli za kutosha Ila juzi nimepima uzito nimepungua toka kilo 70 hadi 67...
  13. Mzee Chapuuka

    10 milioni napata nyumba ya size/ramani gani?

    Nawauliza wataalam wa Ujenzi nikiwa na milioni 10 naweza jenga nyumba ya ukubwa gani Mnijuze.
  14. Mzee Chapuuka

    Tumshauri jamaa yangu huyu

    Wakuu salaam Ni kwamba nina rafiki angu ambae nlisoma nae leo asubuhi kanipigia simu na kuniomba ushauri kwangu na hata Kwa wadau wengine wa huku Jf Rafiki angu huyu ana mwanamke wake ambae amezaa nae mtoto mmoja Ila now wanaishi mbalimbali japo ni mikoa ya jirani Sana Mama mtoto wa huyu jamaa...
  15. Mzee Chapuuka

    Nimeamini kwa sasa Watanzania hatuko huru, nimekamatwa kisa kunywa bia kabla ya saa 10

    Wakuu salaam, Naandika Uzi huu Kwa uchungu na hasira baada ya kuachiwa mida hii kutoka selo Central. Ni hivi, mimi napiga mishe zangu tu sio muajiriwa wa serikali wala nini.. Sasa jana mida ya saa 9 kasoro nikaona niingie bar flani hapa Mjini Mwanza nipate moja moto moja baridi. Ile naagiza...
  16. Mzee Chapuuka

    Kesi za kubakana

    Wakuu salama Jamanii mwenzenu nna miezi kadhaa sasa sijasikia kesi za watu kubakwa Si kwenye TV,Radio,mtaani au gazeti Je ni kwamba watu wameokoka au bwana Pombe Magu kawanyoosha hadi wabakaji na sasa wanasoma namba Najiuliza Tu.
Back
Top Bottom