Search results

  1. M

    Heshima ya Mh Freeman Aikaeli Mbowe ndani na nje ya Chadema

    KUMBE WPTE MNAOCHAPANA HUMU NI CHADEMA TU!!!!!!!!<BR>NIMEGUNDUA TATIZO NI MWAKA 2013 UWENYEKITI WA CHAMA AMBAPO WENGI WANAHISI ZITTO ATAGOMBEA NA FUNUNU ZA CHINI ZINADAI SLAA ATAGOMBEA, WAKATI HUOHUO MBOWE AKITAKA AENDELEEE KUWA MWENYEKITI.<BR>&nbsp;2015 SLAA ANATAKIWA AWE MGOMBEA URAIS, WAKATI...
  2. M

    Taa ya njano yaiwakia CHADEMA

    mwalimu alisema vile kwa sababu alimjua mzee makani na mzee mtei ila mbowe kaharibu ile kitu jamani msitegemeee kipya hadi akae kando huyu mmachame
  3. M

    Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

    Mbowe ndiye tatizo kwa cdm, mnaona jamaa anavyowamaliza wanaompinga, eti kisa anataka aendelee kufanya biashara ndani ya cdm, mnakumbuka magari yake analazimisha atuuzie, anawaondoa wote wanaomkosoa, anawatumia watu tu, wakishamfanikisha anawatupa kama cond..m,huyu jamaa hafai nasikia anataka...
  4. M

    Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    mnafiki au mwelevu, weka wazi acha unafki wewe na majungu yako, najua ulichotaka kusema acha kung'ang'ania umaruufu ulioanza kuupoteza.
  5. M

    Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

    Hata wakati zitto anaandamwa na mbowe na wajinga fulani humo, tuliambiwa huwa haitwi kwenye vikao halali vya watendaji wa chama, badala yake wanakaa slaa na watu wake vipenzi. Hata sasa shibuda hakuitwa kisa mbowe anaogopa shibuda akipewa nafasi ya kuonekana kwa watanzania, atamfunika na...
  6. M

    Josephine akanusha madai ya Mbunge

    viti maalum vya akina joyce mukya na akina regia na akina rose kamili na grace kiwelu.... ni hasara tupu.
  7. M

    Post moterm: Nyakarungu na Dr Makatta uso kwa uso tena Babati

    mimi ningependa kuchangia hoja hii ya huyu dogo ila mumeiharibu kwa kuanzisha mada yenu ya ki-ccm, hebu turudi tuone uhalali wa polisi kufanya vitendo vya aina hii kila kona ya nchi. tutazame uwezo wa serikali kuchukua hatua dhidi ya wattumishi wake kama polisi kufanya kinyume cha sheria
  8. M

    Lema 'pasua kichwa' CHADEMA

    lema acha ujinga wako unachafua chama, yaani unakili kuzuia maiti wasizikwe mpuuzi sana wewe pia uhusiano wako na udom utakumaliza kisiasa, fanyia wapiga kura wako kazi za maendeleo, mbowe wala slaa hawawezi kumkemea kwami wanataka apotee wao wakidhani wanampandisha.
  9. M

    Uchaguzi wa M/kti CHADEMA mkoa wa Mbeya waahiriswa

    nani kasitisha najua kama sio nanii huyu eheheheeeeeeeee!
  10. M

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    du!!! mpaka huko, sasa makinda unapotoka.
  11. M

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    hujaelewa chochote kaaa chumbani usome vizuri maelezo na hoja yake wewe usikurupuke kujibu usichokijua....
  12. M

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    hahahahaaaaaaaaaaaaaa, huyo jamaaa anasubiri mkubwa wake amwagize tena, kama anavyofanya kwenye issue nyingne.
  13. M

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    hapo sasa unamaana gani eti wazo liwe la kichama sawa!!! ila habari za mgawanyiko kwa wale wasio kuwa tayari hilo ni upofu wa akili yako, au ww ni mmoja wao? bila shaka ww ni wa viti maalum uliyepta kwa kugawa tu.....na ndio tutawajua wanafiki hapa
  14. M

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    acha upotoshaji wa kijinga wewe, nani kakwambia cdm haina uwezo huo wa kusambaza ruzuku nchi nzima na hii ndiyo hoja mfu ya kijinga anayoweza kuleta mbowe baadae ili apate nafasi ya kuzitumia hizo posho za watu. yaani usanii wa kijinga mwaka huu hauna nafasi kabisa...cdm inapata millions ngapi...
  15. M

    POSHO: Bunge lamjibu Zitto Kabwe; atoa msimamo wake

    naomba ujue kuwa ww ni mnafiki sana, mbona huyo slaa alipiga mikelele tu na hakukataa kupokea hiyo hela na sasa analipwa hela posho kama ile aliyoipinga bungeni? mm namsifu zitto, kwani amejua cdm hasa mbowe ana tamaa ya kufidisha pesa zake alizotumia kwenye uchaguzi na kuwalipa watu aliowaita...
  16. M

    ELIMU YA Mh. NYAMBALI

    jamaa vitabu vyake viko safi kwa sababu haandiki yeye, ni watu wenye uwezo huo ndio wanafanya hivyo anawalipa mipesa...kwa upande wa vitabu viko kamili ila hata yeye ukimwambia ajibu kilichoandkwa utacheka.
  17. M

    ELIMU YA Mh. NYAMBALI

    watu wanasema alishinda kwa msaada wa john heche na wasira
  18. M

    Nape na posho za Wabunge

    sio hao wa ccm tu, hata wa cdm nao wapo nawajua wamejisikia hovyo sna ila wanaona aibu tu mzeee, wanalo mwaka huu. mahesabu yao yote ya kuezka kwa vigae kwa viposho yamezimwa mwaaaaaaaa, zitto kawapa mtihani mzee
  19. M

    Nape na posho za Wabunge

    safiiiiiiiiiiii
Back
Top Bottom