Search results

  1. YALE

    Watu wa Telecom nipeni Ufafanuzi

    Wakuu nataka kujua je ni kweli Obama alivyokuja Kipindi kile, Mitandao ya Simu ilikata kwa Maeneo aliyokuwepo Dar? Na kiaje iwe ivo
  2. YALE

    Saa za Mkononi

    Nahitaji saa za mkononi kama tano nataka kujua brand ipi ni nzuri na safe, Pia naomba nijue saa hizo zinaweza kuwa na GPS ila zisiwe smart watch, Je nta sychronous vipi majira ili saa zote ziende kwa pamoja kuanzia sekunde,dakika n.k , Zikiwa non rechargeable itakuwa vizuri pia ziwe waterproof...
  3. YALE

    Kuna Siri gani ya Lonely man na Gay Kufanya mambo makubwa.

    Nikola Tesla anasema Energy ni kitu kinachopaswa kupatikana Dunia na kuwa transferred wireless anauunda mnara mkubwa huko New york kwa ajili ya kufeed electrical energy maeneo mbalimbali bila wire Wafadhili wake JP Morgan wanagomea kum fund aendelee na Project hii ila mpaka leo haijawah...
  4. YALE

    Hotuba anazosoma Rais Awekewe Teleprompter

    Wakuu nimeangalia hotuba kadhaa anasoma mkuu Rais huwa anatumia makaratasi na Kutumia muda mwingi akiinama technology imechange kwa sasa kuna kifaa kinatumika kinaitwa Teleprompter ni kifaa kinachomfanya mtu ahutubie au asome kitu bila kupoteza attention ya kuwatazama Audience yaani hadhira...
  5. YALE

    VIP Protection.!

    Wapi kwa nchini panatolewa mafunzo ya Kulinda watu special au Muhimu yani VIP Protection Training Je hawa Public figure wetu kama Bakhersa, Mo dewji, na Wengineo walio na impact kubwa na Jamii security detail yao ikoje je inatoka Serikalini au ni Private company? Mfano Bill Gate serikali ya...
  6. YALE

    Ushauri: Kijana amka, muda hausimami

    Mwaka wa NNE huu upo Dar es salaam (Mjini). Huna ajira nyingine zaidi ya kuhudhuria semina za akina Erick shigongo (Motivation Speakers) 'How to be a rich' (Zimekupumbaza). Huna hata TOYO ya kuchora. (Huna mafanikio) Mentors wako wanazidi kufanikiwa (Wewe unafilisika kila siku) My brother,my...
  7. YALE

    Nina Mini PC Ports zake hazichaji simu

    Wakuu nina mini laptop inatunza sana chaji awali ilikuwa inacharge fresh now ukichomeka inaonesha simu iko connected ila asilimia haisogei badala yake ina discharge, Wakuu msaada
Back
Top Bottom