Hii ni ishara nyingne inayoonyesha kuwa watu wamechoshwa na maigizo ya serikali iliyowakataza wapinzani wake kufanya siasa za kitaifa hadharani badala yake viongozi wa chama tawala tu, mwenezi/polepole, mwenyekt uvccm, na mwenyekit wao mkuu wanakula keki yote kisha wanajinasibu kuwa watanzania...
Ni wazi kuwa maisha kwa sasa si mazuri, cdm wanajua hilo, ccm wanajua hilo, wafanyakazi wanajua hilo, wafanyabiashara wanajua hilo, na wakulima na wafugaji wanajua hilo. (naskia wakulima wa kirosho pekee ndo wenye heri kwa sasa chini ya umahiri wa waziri mkuu aliyeamua personally kulivalia...
Kwa sababu imedhihirika wazi kuwa uwezo wa mtukufu na taasisi zake kupambana na nguli wakili msomi Lissu ni mdogo mno hasa baada ya maagizo ya mtukufu ya kutaka kumthibiti lissu kutofanikiwa mara kadhaa, nashauri sasa iwe muda mwafaka kwa mh rais kumwita ikulu mh. Tundu Lissu ili akampatie...
Tunashinda tukikimbizana na watz wenzetu, furaha yetu ni wakilala vituo vya polisi masaa 48, kisa tu wamehoji au kupinga jambo fulani, iko wapi tofauti ya wakoloni na watawala wetu?
Uzalendo umebadilishwa tafsiri na kuwa uoga au kuunga mkono kila jambo bila kuhoji!
Ni taifa gani hili...
Nimesikia kwa mara ya kwanza baada ya ajali ya basi la watoto wa lucky vicent kuwa sasa magari yanayobeba watoto yatakuwa yanakaguliwa haswaa! Hilo lilikuwa agizo la bwana Gambo.
Leo tena nimeskia morogoro nako juhudi hizohizo zinafanyika!
Tatizo ni nini haswa?
Ni siasa ya ulimbukeni wa...
Pole kwa majukumu ya utumishi wa umma.
Mh. Naomba utupie macho yako hapa: panakera sana!
Kuna hii taasisi inaitwa Pharmacy Council of Tanzania. Hatuelewi umakini wa utendaji kazi wake ukoje, ni utata mtupu!
Can you imagine watu walimaliza chuo mwaka 2015 hadi leo hawajapata usajili na hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.