Search results

  1. starboy09

    Mwalimu wa physics na chemistry anahitajika haraka

    Kama una degree ya ualimu na masomo yako ya kufundishia ni Physics na Chemistry kuna kazi ipo manispaa ya musoma.,njoo Pm nikupe maelekezo
  2. starboy09

    Natafuta kazi, nipo Musoma

    Habari wakuu,mimi ni graduate wa ualimu kutoka chuo kikuu cha Dodoma mwaka 2016. Nina uwezo mzuri sana wa kufanya kazi ya aina yoyote ile ukiachana na ualimu.Kama uko Musoma na unahitaji Mtu wa kumuajiri naomba unisaidie.Natanguliza shukrani
  3. starboy09

    MSAADA: ROOTING

    naomba msaada wa jinsi ya kuroot samsung J2 tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. starboy09

    ROOTING SAMSUNG J2

    msaada wa kuroot samsung J2
Back
Top Bottom