Search results

  1. Peacesmart

    Wafugaji Mkuranga wasimulia jinsi mifugo yao ilivochukuliwa

    Hivi haya maeneo si tunaambiwa amani imejirudia jamani? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Peacesmart

    Raia Wa Afrika Kusini Kizimbani Kwa Makosa Manne, Ikiwemo Kutumia Visa Ya Kughushi

    Kumbe hata wao wanazamia Duuh!!! RAIA wa AfriKa Kusini, Menolaos Tsampos, (61), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo kujibu mashtaka ya kutishia kwa mtandao, kuishi nchini kwa muda wa miaka minne bila kibali na kutumia paspoti yenye visa ya kugushi. Mshtakiwa huyo ambaye...
  3. Peacesmart

    Polisi wa Tz wamefikia hapa kweli!!!?

    August 9, 2017 kulikuwa na headline kutoka Mwanza ambazo zilieleza taarifa za mke wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Majengo Mapya uliopo Kata ya Mabatini, Mwanza kudaiwa kupigwa risasi na Askari Polisi na kumjeruhi. Sasa leo Majeruhi huyo Bi. Editha Lucasambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...
  4. Peacesmart

    Dume Suruali Kagoma!!

    Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Peacesmart

    Tetesi: Chuma ulete kwa wanaume tu kwa nini?, mademu wakifanyiwa was hulalamika mbaya

    Imekaaje hii issue wakichumwa wao wanakua wagwadu na mwanaume anaitwa majina yote mabaya na kuudhi [emoji15] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Peacesmart

    Hivi hii inagusa na nguo za mitumba pia?

    Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Peacesmart

    Toy la ukahaba Huko Holand

    Kweli technology inatufikisha mbali Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Peacesmart

    Bomoabomoa ya Mpanda ni vilio vitupu

    Bomoabomoa Mpanda ni Vilio Tupu, Mamia ya Nyumba Zabomolewa Wakazi wa maeneo ya Tambukareli, Mpanda Hotel na Msasani, wamejikuta katika sintofahamu baada ya Shirika la reli Mkoa wa Katavi kuwataka kubomoa nyumba zao baada ya kuvamia reli na mali zake. Zoezi hilo ambalo limezikumba kaya...
  9. Peacesmart

    Pombe sio supu, cheki hawa..!!  

    Jamaa wawili walikuwa wanakunywa pombe huku wakiongea na mazungumzo yao yalikuwa hivi; Jamaa1: Unajua mzee wangu ni Polisi? Jamaa 2: Weee kweli!? Hata mimi mzee wangu ni Polisi! Jamaa 1: John is my last name. Jamaa 2: (Akashangaa): Wow! Hata mimi My surname ni John!. Jamaa 1: I'm 19 years...
  10. Peacesmart

    Mwanamke msagaji ameniomba nimpe ujauzito ili azae mtoto

    Kuna dada mmoja nje ya nchi ambaye anataka kuja hadi hapa Sikonge ili nimtungishe mimba na hatimaye azae mtoto. Huyu mdada ni mtu ambaye ninafahamiana naye kwa miaka mingi kidogo tangu nikiishi nje ya nchi ambapo siku hizo, hakuwa au nilikuwa sijajua kama ni msagaji. Anasema yupo tayari...
  11. Peacesmart

    Mke amerudi analia baada ya kukutana na jihogo la jang'ombe

    MIMI na mke wangu tuliingia katika vita baridi. Kila siku alikuwa akinilalamikia tu, ooh mara nina kibamia, mara simfikishi basi ilikuwa ni vurugu mwanzo mwisho. Kusema kweli amani ilitoweka nyumbani. Ili kujaribu kutibu maradhi yangu, niliamua kuwa mteja mzuri wa supu ya pweza… nilimeza supu...
  12. Peacesmart

    Huu ushenzi utamalizwa lini?

    Babu amnyonyesha uume binti mzigo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Peacesmart

    Zilipendwa

    Hebu tujikumbushe kidogo.. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Peacesmart

    Bob Marley the Greatest

    They don't make them like this nowadays, Classic!!!. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Peacesmart

    Lucky Dube the Great!

    Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Peacesmart

    Makhirikhiri makirikiri

    Makhirikhiri, Haki wanawake wengi wa Afrika wameumbika haswa!... Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Peacesmart

    Wana NJENJE the Kilimanjaro band wapi?

    Eti hawa wahenga waliishiaga wapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Peacesmart

    Jeshi la Polisi: Uhalifu umepungua, ubakaji umeongezeka

    Naomba Msaada tutani wana JF, kuna hiki kichwa cha habari cha Moja ya magazeti yetu kisemacho "Uhalifu umepungua nchini, ubakaji umeongezeka!" Hivi ubakaji si uhalifu?. ============================================= Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limesema hali sasa ni shwari kwa kuwa vitendo...
  19. Peacesmart

    SAID MRISHO NA MKEWE WAANZA KUGAWANA MALI

    Yule jamaa alietobolewa MACHO na Scorpion ameamua kumaliza utata kwa kumgawia mali mzazi mwenzie...[emoji122] Chanzo GlobalPublishers.
  20. Peacesmart

    Igunga: Muuguzi Amchoma Binti Sindano ya Usingizi na Kisha Kumbaka

    Muuguzi anayefanya kazi Kituo cha Afya Kata ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Damian Mgaya (26) anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma ya kumbaka binti wa miaka 18 mkazi wa kitongoji cha Mwagala B, Kijiji cha Mwagala. Mtendaji wa Kata ya Igurubi, Ntemi James alisema uhalifu huo umefanyika...
Back
Top Bottom