Hatuez kuwafanya chchte wakiwa huko, wangekuwa anga zetu za AU....
Adhabu yao ni kibaki huko, waugulie huko, wafie huko, na ndugu zao waende huko, wakawazike huko, nyang'au hawa
Wale wa muundo mpya (mfano walimu kutoka E kwenda F ) bado kurekebishiwa, sjui km inaendana na maelezo ya barua ya November 1,2017 kuwa serikali itatoa maelekezo juu ya kundi hilo (sina hakika kama walitoa maelekezo yyte, wala vyama vya wafanyakazi sina hakika vimesema lolote hadi sasa)
Kuna tetesi kuwa wakurugenzi wameagizwa kuwaandikia barua watumishi waliopanda madaraja kwa tarehe ya 1.November,2017 na si April 2018 km ilivyoagizwa hapa juzi. Hope watalipa malimbikizo angalau ya hiyo miezi 5
Hakuna kitu km hicho, hakuna upenyo wa kuiba, elimu ishatolewa fuatilia zaidi mkuu mijadala inayofuatia kuhusu hiyo 1.5, nakuhakikishia utaprove wrong baadae.
Ni kwamba watu walishajipanga kuanza amsha'amsha ya matukio ya kuchochea maandamano ya 26.4 ambayo hayapo, tegemea vituko zaidi kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.