Dr.Slaa alitaka kupiga picha tu watu wamuone.Hayo maisha ya Rais wa Iran alianza kuyaishi kabla ya urais.Slaa anaishi maisha ya kifahari nyumbani mtaani anatuongopea ndo maana analipwa posho kuuubwa.Usilinganishe kichuguu na mlima bwana
umeona kaka eeh.bora hata wewe uwaambie maana wamekuwa kama wamerogwa.hawasikii.cdm hamna kitu.2015 ni lowasa bora wajue kabisa wasije kusema zimechakachuliwa
Ndio kaka hata mi nimeona sasa hivi cdm wanahaha wameanza kutumia gazeti lao kuwadanganya watz.mara watumie compyuta kuonyesha umati wa watu ilhali si kweli lakini jana ndo wametoa kali kwa kumsingizia mh.ngonyani.wamekwisha sasa wanahaha.ismail
Ufisadi sasa umehamia chadema?wanaka kununua mitumba!kweli rangi ya kinyonga sio rahisi kuijua mpaka awe kwenye mazingira flani kama hayo ya pesa kwa mbowe na lema.tafakari
Tatizo la CDM ni lao wasizingizie CCM kwani pale kuna umwinyi;kuna wanaojionna wao ndo wenyewe na mvurugaji wa CDM ni MBW kwani anafanya udikteta na zito anaimamia haki htaki kuburuzwa.MBW anajenga MTANDAO wakati anajua mtandao umeshaua CCM utaiua CDM pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.