Search results

  1. J

    Malasusa ajitetea Halmashauri Kuu KKKT, akataliwa

    Sasa kanisa linataka serikali lisiwachukulie hatua Kali wale ambao hawaendi sambamba na maamuzi yake. LAKINI KANISA HUWATENGA WALE AMBAO HAWASHIKIKI KUYATEKELEZA MAAMUZI YAO. Ina maana udicteta ni ruksa kanisani na ni kosa serikalini? Yaani watu wawe na Uhuru wa kupinga maamuzi ya serikali...
  2. J

    Hivi ndivyo Makonda, Ikulu walivyomponza Askofu Malasusa kwa kumshawishi kuukana waraka na kuendeshwa kwa gari ya Ikulu

    Maaskofu siyo jukumu lao kuweka mashinikizo ya kisiasa makanisani ngoja waitwe kwenye mabaraza ya kisiasa huko huko.
  3. J

    Hivi ndivyo Makonda, Ikulu walivyomponza Askofu Malasusa kwa kumshawishi kuukana waraka na kuendeshwa kwa gari ya Ikulu

    Weeee!!! Acha kupotosha watu. Haukupokelewa na Wakatoliki wote. Sisi tuko huru kufanya maamuzi ya msingi. Siyo kila jambo ni la kila mkatoliki. Ndiyo maana hatuna mabishano yasiyofaa.
  4. J

    Hivi ndivyo Makonda, Ikulu walivyomponza Askofu Malasusa kwa kumshawishi kuukana waraka na kuendeshwa kwa gari ya Ikulu

    Sema source ya habari hii:- Maana haitoshu tu kusema " Na wanahabari wetu" Weka wazi kama ni wanahabari wa KKKT, Wa Jamii forums, wamagazeti au wanaudaku? Mbona washabiki wa mambo ya kisiasa mnashobokea sana habari hii ambayo hugawa kanisa na pia humdhalikisha Mpakwa mafuta. Kila mtu ndani...
  5. J

    We should not Pay Taxes until the 1.5Tril scum is resolved

    Anza wewe na Mange Kinambi kwanza. Sisi tunaipenda nchi yetu tunaendelea kulipa kodi ya mapato na viwanja.[emoji84] [emoji84] [emoji84]
  6. J

    Suala la kiimani: Kwanini Askofu wa RC akifa anazikwa kanisani?

    Naomba ufafanuzi kidogo Nimeona na kuhakikisha kuwa 1. Maaskofu wote huwa wanapewa FIMBO na huwa anapoongoza Ibada yoyote huishika. Hata wakifariki huzikwa nayo. 2. Maaskofu wote wana Pete huwa tunabusu tukiwa karibu nao 3. Maaskofu wote hukalia kiti kikubwa wakati wanapoongoza Ibada 4...
  7. J

    Dangote Cement Co. itaanza kutumia gesi asilia katika uzalishaji wake mwishoni mwa Mei

    Sasa basi vipimo vya kimataifa vya gesi hupimwa kwa huo ujazo wa ft 1 × 1,000,000. Ukiambiwa 20 million cub ft per day. Maana yake wanataka kila masaa 24 apate kiasi gasi chenye ujazo ft za ujazo milioni 20 kwa siku au masaa 24
  8. J

    Dangote Cement Co. itaanza kutumia gesi asilia katika uzalishaji wake mwishoni mwa Mei

    Ukiwa na Box ambalo ukilipima kwa ndani ya hilo box na kupata vipimo kama ifuatavyo:- urefu wake uwe Futi moja, Upana wake futi moja na kimo chake futi moja. Kimahesabu huwa kama ft 1 × ft 1 × ft 1. Basi ujue box hilo lina ujazo wa ft moja za ujazo. Au kwa lugha ya kingereza ( 1 cubic ft...
  9. J

    ECG Makongo na ibada ya kula nyama Ijumaa Kuu

    Katika injili ya Math:26:26 - 28 Bwana Yesu Kristu mwenyewe alifafanua hilo jambo la Mwili na Damu yake. Baada ya kuona hata wanafunzi hawakuipata hiyo dhana ya kula na kunywa kwa mwili na damu yake. Ndiyo akaumega mkate usiyotiwa chachu na kusema HUU NDIYO MWILI WANGU PIA AKACHUKUWA KIKOMBE...
  10. J

    Wazungu wanavyohamasisha matendo ya kishoga kupitia kwenye series za Tv

    Habari sana. Japokuwa sijawahi kushuhudia hayo maigizo. Ila najua kumekuwa na mpango mahusi ya dunia kuibadilisha kiutamaduni na kuishi maisha ya Sidoma na Gomora. Ila watu tumefungwa macho. Katika kusaini mambo ya haki fulani fulani kuna vipengele ambavyo hivyo vitu vinalazimisha kuwepo kwake...
  11. J

    Watu wa kipato cha chini tunaosafiri kwa ATCL tukutane hapa

    Kuna arguments zingine utazani zinatolewa na watu ambao sio matured. Hicho ni kitega uchumi cha nchi. Hoji kama hakileti faida siyo kujua kama wewe unaweza afford kupanda au la! Si vyote vilivyopo unatumia. Au una uwezo navyo.
  12. J

    Mama Sofia Kawawa

    UWT: 1. Bibi Titi 2. Mama Mchauru 3. 3. Mama Sofia Kawawa. Alitoa hotuba yake nzuri sana akiwa Mbeya yenye lengo la kuwahamasisha wanawake wa UWT. Hutuba yake iliwataka Wamama kushirikiana katika shughuli za kuzalisha Mali (ujasiria Mali) kwa vile wao ndiyo hubeba mzigo mkubwa wa kualea...
  13. J

    Zitto Kabwe: Rais wa CCM, John Pombe Magufuli anachukia demokrasia, anaona vyama vya siasa ni bugudha

    ZZT hakuna hata mmoja hapo aliyemwaga damu kupigania vyama vingi. Kati ya wote uliyowataja hapo juu kila mtu alipigania tumbo lake kabla ya vyama vingi kuanza. Wapenzi wa vyama vingi kihistoria ni kama akina Mtemvu, Kipaka, Kamaliza na Makaidi. Hawa wamekufa wakiwa wapinzani. Natural death...
  14. J

    Mbunge Nasari arudi tena TAKUKURU

    Sanaa hizo. Lakini haitamwacha sheria itachukua mkondo wake kwa udhalilishaji wake. Labda wakae kimya bila kudai fidia ya udhalilishaji huo. Huko nyuma ilishawahi tokea watu wakaiga kiusanii sauti ya mweheshimiwa mmoja akigawa fedha ya minofu ya samaki. Na walipeleka mahakamani kama ushahidi...
  15. J

    Tundu Lissu: Aliyevunja Mkataba wa ESCEL ni rais Magufuli

    Kama kuna watu waliyowahi kuitwa wasaliti katika taifa hili basi wa huu ambao unafanywa na huyu Tundu ni mbaya kuliko. Hata kukihifadhi kipande cha ardhi kwa ajili ya kuzikia mwili wake itakuwa ni hasara kwa taifa. Maana hana hata chembe ya haya wala huruma na watu wa nçhi hii. Mambo afanyayo...
  16. J

    Collaboration ya Magufuli, Kagame,Kenyatta, na Mseven,

    Mtoa maada nimekukubali sana. Sio lazima uweke vielezo vya kitafiti. Hata kama yanatoka katika Mawazo yako tu basi umewaza vyema. Hivyo ndivyo ilivyo. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. J

    Barrick, AGA on defensive

    Mwambieni Tundu na Mbowe watetezi wa wezi Sent using Jamii Forums mobile app
  18. J

    Video: Sema Baba usiogope, Mbowe amshukia Magufuli Adai JPM hataki ushauri

    Mbowe ujuwe hahitaji ushauri wako maana hauna nia njema na taifa letu. Kamshauri Uhuru kule Kenya. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. J

    Tundu Lissu; tuliwaambia Wakenya wakimchagua Odinga yatawakuta kama ya kwetu Tanzania

    Tundu anatafuta kiki tu hapo. Mbona wenyewe wanapigana vikumbo kule Kenya. Na hakuna wanapomnukuu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom