Search results

  1. Bwana Mapesa

    Strategy nyuma ya Mbowe, Sabaya na IGP kuitwa kuwa mashahidi wa upande wa utetezi (FreeMan Mbowe)

    Habari Wanajamvi? Nilivyosikia majina ya Sabaya , IGP Siro nikasema lazima Mawakili wa utetezi have a strategy in play. Obvious Sabaya na Siro wata- turn hostile. Kwa maana nyingine ushahidi watakaotoa mahakamani hautokuwa unambeba au kumpa support Mbowe ambae kimsingi ndiye shahidi ambae...
  2. Bwana Mapesa

    Hili hapa Jeneza la Maria na Consolatha, ni la kipekee

    Mafundi Wamezungumza ni Jeneza tofauti na waliyozoea kutengeneza. Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi. RIP.
  3. Bwana Mapesa

    Yanga yalia na TFF yataka iwasaidie hali yao ngumu kifedha

    Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Mwenyekiti wa Matawi nchini, Bakili Makele, umelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uwalipe fedha zao haraka wanazozidai. Kiongozi huyo ameeleza kuwa TFF iliwakata Yanga kiasi cha pesa ambazo ni zaidi ya milioni 200 kupitia VAT baada ya kuingiza mashabiki...
  4. Bwana Mapesa

    Hili Gazeti ni kama Bombadia

    Ni mwendo wa hasara hasara...hakunaga anaetumia pesa vibaya.Kweli ujinga wa mtu ndo starehe yake.
  5. Bwana Mapesa

    Tengeneza pesa online kwa kutumia bestchange affiliate program

    Wakuu wale ambao wanania ya kutengeneza pesa mtandaoni nimekutana na hawa jamaa wa bestchange affiliates, ni rahisi kuregister na ni kweli wanalipa. E-currency exchanger listing, best rates from reliable exchangers
  6. Bwana Mapesa

    Kushamiri kwa biashara ya Ngono: Dada aanzisha vurugu baada ya kutoa huduma bila malipo

    Hayo yametokea Moshi.Dada anadai hawezi kumfanyia mtu kazi usiku kucha kisha asilipwe aamua kumng'ang'ania mteja wake . Je unadhani biashara hii haramu itakwisha? Nini kifanyike?
  7. Bwana Mapesa

    Rasmi Jacob Zuma Apandishwa kizimbani kwa ufisadi wa mabilioni

    Mashtaka dhidi ya Zuma kufufuliwa upya Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma anapaswa kusimama kizimbani kujibu mashtaka katika sakata ya muda mrefu ya kisheria inayomuandama kuhusiana na kupokea rushwa katika kadhia kubwa ya silaha. Uamuzi huo umetangazwa na mamlaka ya kitaifa...
  8. Bwana Mapesa

    Flashback : Winnie Mandela's Ex- bodygurd tells of Killings She ordered.

    In 1986 she made a speech in which she talked about achieving liberation from apartheid by using “necklaces” – a reference to the brutal murder of suspected collaborators by putting tyres round their necks and setting them alight. There was also the matter of an opulent £125,000 house built in...
  9. Bwana Mapesa

    Diamond Akutana Uso Kwa Uso na Naibu Waziri Juliana Shonza

    Mwanamuziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amekutana uso kwa uso na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo harrison Mwakyembe na Naibu Waziri Juliana Shonza kwenye kikao walichoka kwa zaidi ya masaa matatu katika ofisi za BASATA. Kikao hiki kimekuja baada ya sakata lililotokea wiki...
  10. Bwana Mapesa

    TFF yapangua tena Ratiba ya Ligi kuu, Simba na Yanga tarehe 29/04/2018

    SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi, limetoa ratiba mpya ya marekebisho ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ikionyesha mchezo baina ya mahasimu wa jadi, Simba na Yanga sasa utachezwa Aprili 29, mwaka huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Mechi nyingine zilizopangiwa...
  11. Bwana Mapesa

    Maiko Zulu - Mad President ( Official Video)

    Maiko Zulu is a Zambian musician, human rights activist and a recognized International labour organisation child ambassador to Zambia. His work both in the music industry and human rights arena is well known both locally and internationally. Wikipedia Born: Livingstone, Zambia Genre: Reggae...
  12. Bwana Mapesa

    Julius Malema : Let them go to Australia and be poor

    Racists must go to Australia – but should leave the keys to their equipment and property behind, said EFF leader Julius Malema during a Human Rights Day rally in Mpumalanga on Wednesday. "A racist country like Australia says…'EFF wants to kill white farmers – they must come to Australia',"...
  13. Bwana Mapesa

    Karren Mcdougal cries , Apologizes for Donald Trump Affair..I was a different girl back then

    Playboy Playmate Karen McDougal got emotional talking about Donald Trump, and although she admits she knew it was wrong ... she says the 2 were in love. The 1998 Playboy Playmate of the Year sat down with CNN's Anderson Cooper ... and got misty-eyed talking about her alleged affair with Trump...
  14. Bwana Mapesa

    TLS yamvimbia Mwanasheria Mkuu wa Serikali, yatangaza uchaguzi kufanyika kwa kanuni za zamani

    Chama cha Wanasheria cha Tanganyika Law Society (TLS) kimesema uchaguzi wa viongozi wa TLS utafanyika kwa muongozo wa kanuni za zamani na si mpya ambazo zimetolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Kauli hii imetolewa katika kipindi ambacho wanachama kadhaa wa chama hicho wamejitokeza kutangaza...
  15. Bwana Mapesa

    A boy from Tandale - Album Launch live perfomance

    Ilikuwa zaidi ya Burudani, now nimejua wazi why uzinduzi ulifanywa Kenya.
  16. Bwana Mapesa

    ALHAJ Dkt Sulle: Mkeo/Mwanamke ni chombo cha kukustarehesha.

    Ndo hivyo yaani, kazi yake moja tuu ni kukustarehesha.Sio sijui kupiga deki, mara kufua, kupika, mkeo akikukatalia hana dhambi. Ni ajabu kumuacha mkeo kisa mbishi kupika, sijui hanifulii, hizo si kazi za mkeo. Swali langu ni Je kama mkeo anafanya kazi ni most likely anastarehesha mwanaume mwingine?
  17. Bwana Mapesa

    Hata kuku hufia kifuani, haya ndio mapenzi

    Nilidhani wale wadada wanaoangukiwa na wazee wakati wa mambo yetu ni kwetu tu binadamu. Leo imemtokea Jogoo wangu live, bahati nzuri nimewahi kurekodi tukio. Halafu imenionyesha jinsi gani wadada walivyokuwa hawana msaada hasa mwanaume anapopatwa na hali kama hii, angalia hilo koo hapo...
  18. Bwana Mapesa

    Kiusalama wa Rais, Je hii ni sawa?

    Habari WanaJf, Leo nilikuwa naangalia live ufunguzi wa benki ya CRDB tawi la Chato, katika kipengele cha burudani kuna kikundi cha ngoma za asili wakati kinatumbuzi alitokea bwana mmoja miongoni mwa washereheshaji ambae alikuwa na muonekano kama wa jini au kichaa, mwili mzima amejipaka vitu...
  19. Bwana Mapesa

    Beatrice Shimeda: Rais Magufuli nisaidie, nasubiri kufa tuu

    Hayo ni neno ya Mama Beatrice Shimeda (54) , mkazi wa Kibamba.Mama huyu amepatwa na maradhi ya ajabu ambayo kama jitihada za kumsaidia hazitofanyika basi mguu huu unaweza kupelekea kupoteza uhai wake. Ameishi na maradhi haya kwa muda wa miaka 21 sasa, anatakiwa kwenda kupata matibabu India ila...
  20. Bwana Mapesa

    Jerry Muro Mtani kaishangilia Simba leo, nimeshangaa?

    Ameanza kuizoea soka , kaishangilia Simba. Je wewe tafakari chukua hatua. Tafadhali hatununui shabiki, Poleni vyura wazee, na ile mvua sijui pakoje hapo KATI maeneo ya Jangwani.Maana pale taifa mzee Baba wakuitwa Benjamini alimleta hihoo lakini mafuriko yalisimamisha mechi.Laleni salama
Back
Top Bottom