Search results

  1. J

    Namna 5 sahihi tunazotumia kupunguza gharama za ujenzi hadi 40%

    Nianze kwa kushukuru wadau humu JF kwa mchango wao wa mawazo hadi makala hii kukamilika. Kwanza kabisa kabla hujafikiria kupunguza gharama za ujenzi unatakiwa kufahamu gharama halisi za ujenzi, Wengi wa wateja tulokutana nao, walikuwa na tatizo linalofanana, nalo ni kwamba huwa wanataka...
  2. J

    Wale wanaopenda kuzalishiwa bidhaa, wao waibrand na kuingiza sokoni karibuni

    Amani kwa wana JF woote Wabunifu Group kwa zaidi ya miaka mitano tumekuwa tukibuni bidhaa mbali mbali za kutatua matatizo tofauti ya jamii ikiwemo sabuni za miche, bleach za nguo nyeupe, sabuni za magonjwa ya ngozi, mafuta ya kupaka, Sabuni za kusafisha choo, sabuni za kusafisha tiles na vioo...
  3. J

    Faida 4 Za Kugeuza Bidhaa Au Huduma Unayotoa Kuwa Kampuni Ndogo Na Hatua Rahisi Za Kusajili Kampuni

    Business Digitalization Solution tumekuwa kwa zaidi ya miaka minne tukiwasaidia wajasiriamali wadogo kukua, yaani kutoka hatua ya mjasiriamali mmoja hadi kuwa kampuni ndogo inayotambulika. Kwa kawaida, kama mtaji wako ni kati ya milioni moja mpaka milioni kumi, basi unakuwa na sifa za kuitwa...
  4. J

    Unaitafuta Riwaya yoyote ya Legendari wa Kiswahili? Usijali...

    Tunu zetu Library tumekuwa kwa muda mrefu tukizienzi na kuboresha kazi za wakongwe wa fasihi ya kiswahili kwa manufaa ya kizazi kijacho. Baaada ya kuona maktaba nyingi hazina vitabu hivi, Tumeingia chimbo kuvisaka, kuvipitia na kuviweka mfumo wa nakala rahisi (softcopy) unayoweza kuipata kwa...
  5. J

    Natafuta Msambazaji (Dealer) wa Sabuni Za Kipande Na Sukari

    Habari wakuu. Nimeanzisha biashara ya kuuza sabuni na sukari kwa kusambaza majumbani kwa zaidi ya nusu mwaka.Sasa kwa naona mahitaji yameongezeka mno, hivyo natafuta supplier (Dealer) mwenye uwezo wa kuniuzia Sabuni za kipande na sukari kiasi cha box kumi au zaidi kwa sabuni na katoni kumi au...
  6. J

    Vifaa Vya stationery vinauzwa bei nafuu mno

    Habari wakuu, Tunabadili matumizi ya ofisi na kuuza vifaa vya ofisi vifuatavyo 1. Meza mbili za plastic - zote 140,000 (@ 70,000) 2.Viti 3 vya plastic -vyote -30,000 3.laptop ya hp - 300,000 4. Min laptop bytespeed (haikai na chaji,utabadili battery) - 120,000 5.Printer - 60,000 6...
  7. J

    Uzi Maalum Kwa Waliobakiza Materials Katika Ujenzi Au Asset Katika Project Yoyote

    Umofia kwenu!! Kuna muda unamaliza ujenzi na materials yanabaki, unatafuta wa kukurudishia gharama kdogo wakati ambapo kuna mdau anahitaji materials hayo hayo ulobakisha akamilishe jengo lake. Lakini Case ya pili, umemaliza project au kufunga biashara na Asset au materials yanapigwa vumbi tu...
  8. J

    Laptop za laki 2 na nusu zimewasili

    Wale woote wanaohitaji laptop za kuanzia laki mbili na nusu, zimekuja zipo pc 3 Sifa zake ni: hdd 80,ram 2gb,3 hours battery, warranty one year, bei tzs 250,000 Tupo Kariakoo , pia tuna tawi mbezi mwisho stand. Pia unaletewa ulipo Dar es salaam na mikoani tunatuma. Piga :0713 03 98 75 kuwahi...
  9. J

    Msaada: Naombeni kujua bei ya hii gari inatakiwa kuuza bei gani

    Habari wakuu na poleni kwa changamoto za Covid-19. Nipo kazini hapa na boss Ritesh, ana gari yake ya passo ka-import mwaka jana mwishoni ili aiuzie kampuni hii ambayo yeye ni afisa manunuzi. Sasa kampuni imeyumba kiuchumi, na Ritesh mkataba umeisha anatakiwa arudi India soon, hivyo kanipa kazi...
  10. J

    Njia rahisi ya kukamilisha Financial Report kwa wakati hata bila ya kwenda ofisini

    Kama umeaminiwa na kukabidhiwa kitengo cha fedha, nguzo kuu ya kuthibitisha proffesionalism ni kuandaa ripoti ya fedha kwa wakati. Muda wowote Line Manager wako anapotaka kujua status ya transaction zilitokea masaa yaliyopita, aone umezirekodi. Lakini, kiuhalisia ofisini, kuna interference...
  11. J

    Natafuta wa kubadilishana naye Kitanda na godoro anipe T V

    Wakuu mi nataka tubadilishane. nina kitanda kipya futi 4 kwa 6 na godoro lake nchi 6.Pia nina Pasi ya umeme na kiti cha plastic.Vipo Kigamboni, usafiri ninao. Vyote hivi nabadilishana na TV ya nchi 20 au 24 yoyote. Alokuwa tayari apige:0713039875
  12. J

    Shamba la Hekari Tano Linauzwa Morogoro Mjini

    NINI: Shamba la ukubwa wa hekari 5 linauzwa WAPI: Hekari hizi zipo kijiji cha maji chumvi kilichopo kilomita 20 toka msamvu kuelekea Dodoma, na kilomita 8 toka barabara kuu iendayo Dodoma.Kuna bara bara ya vumbi kuelekea eneo hili na kiwanda cha nyama,pia kuna visima kadhaa vya maji kijijini...
  13. J

    Kwa wanaotaka kujengewa nyumba kwa mkopo tu

    Drone Online Ads, ni kampuni ya matangazo inayowasaidia wajasiriamali na wafanyakazi kupata viwanja. Kwa sasa, imeungana na Kampuni za ujenzi,ambapo inakupa nafasi ya wewe mmiliki wa kiwanja kuanza ujenzi kwa malipo ya 25% ya thamani ya nyumba unayotaka kujenga,kisha ukamalizia deni lilobakia...
  14. J

    Chimbo La Mchanga Linauzwa

    Nini: Eneo la mchanga lenye ukubwa wa hekari 31(thelathini na moja) linauzwa Wapi: Wilaya ya Mkuranga, Kijiji ni Mwanambaya,Ukitokea Kongowe (Kupitia Kilwa Road),ni Kilometa sita toka kinapoanza kijiji hiki cha mwanambaya,eneo lipo kitongoji kinaitwa Mizugu. Utanufaikaje: Kwa kila heka moja...
  15. J

    Eneo la Mchanga mweupe linauzwa

    Nini: Eneo la mchanga lenye ukubwa wa hekari 31(thelathini na moja) linauzwa Wapi: Wilaya ya Mkuranga, Kijiji ni Mwanambaya,Ukitokea Kongowe (Kupitia Kilwa Road),ni Kilometa sita toka kinapoanza kijiji hiki cha mwanambaya,eneo lipo kitongoji kinaitwa Mizugu. Utanufaikaje: Kwa kila heka moja...
  16. J

    Heka moja inauzwa laki tano Morogoro

    Habari wakuu. Nini: Eneo la shamba lenye ukubwa wa heka moja linauzwa kwa laki tano. Wapi: Morogoro, kilomita 20 toka msamvu kuelekea Dodoma, kilomita nane toka barabara kuu iendayo Dodoma. Muhimu: Njoo ulione na kuthibitisha umiliki kwani linauzwa kwa haraka. Mawasiliano: 0713-039875
  17. J

    Nusu heka inauzwa kibada milioni mbili

    Habari wakuu. Nini: Eneo la kiwanja chenye ukubwa wa karibu ya nusu heka kinauzwa kwa milioni mbili. Wapi: Kigamboni. eneo la Kibada Muhimu: Njoo ulione na kuthibitisha umiliki kwani linauzwa kwa haraka. Mawasiliano: 0713-039875
  18. J

    Habari njema kwa wenye tatizo la ngozi

    Je umekuwa ukisumbuliwa na tatioz lolote la ngozi? Kama jibu ni ndiyo, Bongo Tech tumekuwa tukitoa ushauri wa BURE juu ya masuala ya afya ya ngozi ikiwemo kujua aina za ngozi na jinsi ya kujipima ngozi yako ili kujua kundi ulilopo. Pia tumekuwa tukipendekeza tiba ya asili ya kutatua tatizo na...
Back
Top Bottom