Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na wananchi kuhakikisha jamii na Mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa salama.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali Duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya bidhaa za Tanzania, biashara, uwekezaji, utalii na tekbolojia nchini.
Rais Samia ametoa pongezi...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikisha zinaunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 10, leo Aprili 19, 2024.
https://www.youtube.com/live/h8L3SNRSR0U?si=qvKhhc51kozgQi_y
Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina amesema Serikali haiwezi kuendelea kuvumilia Wizi, Ufisadi, Rushwa na Mateso kwa watanzania yanayokea...
Kufuatia tukio la kuanguka Jengo la Ghorofa mbili katika eneo la Magogoni, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa (Mb), amezielekeza Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Bodi ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) na Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB)...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeikabidhi Kampuni ya TBEA ya nchini China kandarasi ya kuanza ujenzi wa laini ya kusafirisha umeme kutokea Kituo cha kupozea umeme 'Chalinze Substation' mkoani Pwani hadi Dodoma ikigharimu Sh Bilioni 510.
Akizungumzia kandarasi hiyo Aprili 17, 2024 akiwa...
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 9, leo Aprili 18, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=Gp8bHGqD8Pk
https://www.youtube.com/watch?v=fgS_7suPjm0
Mbunge Francis Mtinga: Watendaji wa Kata Waajiriwe na TAMISEMI, si Utumishi.
Amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024 kutambua Jitihada zake za Kuendeleza Mageuzi ya Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi-4R.
https://youtu.be/k_A0yON0ZXg?feature=shared
Rais wa Jamhuri...
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.
Serikali imesema kuwa imeweka kiwango maalumu cha ushuru wa forodha wa dola 500 za Marekani kwa kila tani moja ya ujazo kwenye mafuta ya kula kutoka nje ya nchi ili kulinda uzalishaji wa ndani.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha...
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=44Vf4dT7NOw
Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema Watanzania wanaliamini Bunge, na kuna vitu vimekuwa vinazungumzwa lakini havichukuliwi kwa uzito wake na...
https://www.youtube.com/watch?v=ezJ5n2FzdlY
ZUNGU: MGAMBO WANAWANYANYASA MACHINGA NCHI NZIMA
Naibu Spika Mussa Azzan Zungu amesem Asilimia kubwa ya Mgambo wamekuwa wakinyanyasa Wafanyabiashara Wadogo (Machinga) bila kujali wanafanya biashara katika mazingira halali, amesema hayo Bungeni, leo...
CAG amewasilisha Ripoti hii Kwa mujibu wa Kifungu cha 143 (4) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Kifungu cha 28 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418, kuhusu Ukaguzi wa Ufanisi kwa kipindi kinachoishia tarehe 31 Machi 2024
MUHTASARI
Taarifa hii ya jumla ya...
Ripoti ya mwaka ya ukaguzi wa Tawala za Mikoa na Setikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418.
Ripoti hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi na...
Ripoti ya mwaka ya ukaguzi wa Serikali Kuu kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418.
Ripoti hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi na mapendekezo ya hatua za...
Taarifa ya Jumla ya Mwaka kuhusu ukaguzi wa miradi ya maendeleo imetolewa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, sura ya 418.
Taarifa hii inawasilisha matokeo ya...
Taarifa ya Jumla ya Mwaka kuhusu ukaguzi wa mifumo ya TEHAMA kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, sura ya 418.
Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi...
Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili.
Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa tarehe 5/5/2024, katika Viwanja vya Mwami Ruyagwa, Kata ya Gungu katika Manispaa ya Kigoma Ujiji...
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Naibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.