I heard they abandoned talks and ran to complain to uncle Sam! So what happened? Uncle Sam must have yold them to resume talks otherwise they wont get anywhere! What a shame!
This is one of the most foolish threads I have ever read in JF. Portraying January Makamba as a paragon of virtue is not only insane but it is also an affront to ordinary Tanzanians. Please spare us the spin. We have more problems without it.
Ndugu Idios, sio viongozi tu wanao ishi kana kwamba hakuna tatizo nchini. Watanzania tulio wengi tunaishi kana kwamba hakuna tatizo katika sekta ya afya. Msumbiji walipandisha bei ya mkate tu, na nchi ikatikisika. Hii ni nchi pekee duniani ambayo watu wake hawaoni tatizo bidhaa muhimu kupanda...
Hao wapya ndo watakuja na vifaa na madawa ambayo sio feki? Kwa nini tunajifanya hatuelewi madai ya madaktari? Mbona hali ya hospitali zetu iko wazi kwz kila mmoja kuona? Kupotosha huku kwa wazi kunatusaidia nini?
Do you mean there are no Tanzanians who could fix it? Please give us a break! It is perceptions such as these that lead some Tanzanians to conclude that you are very arrogant. Wish you well.
Mbona inasemwa hapa wazi kwamba 'kauwawa kinyama'. Sasa haya mambo ya 'Mungu ametoa,Mungu ametwaa' yanatoka wapi? Tujifunze kutomsingizia mungu mambo yetu ya oyo ovyo!
Right Sir/madame! I agree with you and I am very sorry for what has happened to the two MP's. The whole story has a mark of bestiality not humanity. I pray for their quick recovery of the MP's and hope that if and when the culprits will be found, they will receive the punishment they deserve...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.