Search results

  1. K

    Baadae ya Simba Super Cup, nimegundua Watanzania tuko Inferior sana

    Baadae ya mechi kumalizika niliona wachezaji wa kigeni wa Simba wakikumbatiana na wachezaji wa To Mazembe, wakiongea na kubadilishana mawazo. Ila kiukweli sikumuona Kokolanya, Duchu, Shabalala, Sheva, Mzamiru, hata Migomba wakisalimiana na wageni, so wangrenda hata kuchati na ulimwengu, au...
  2. K

    Ushauri wangu kwa Serikali ya Tanzania kuhusu namna bora ya kuongeza ufanisi wa utoaji huduma muhimu kwa wananchi kupitia mashirika yake mbalimbali

    Nimefikiri Sana kuhusu nanna bora ya kuongeza ufanisi wa utoaji huduma muhimu kwa wananchi kupitia mashirika mbalimbali ya Serikali. Lengo hasa na kuondoa ukiritimba unaonekana katika mashirika hayo. Leo niongelee kuhusu huduma ya umeme, maji, na hifadhi ya jamii 1. UMEME Tumeshuhudia juhudi...
  3. K

    Ihefu Sport Club yaingia ligi kuu Tanzania

    Timu ya Ihefu ya Mbarari Mbeya imepanda daraja baada ya kufungwa bado NNE kwa mbili Mjini Mwanza, ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza Ihefu iliifunga Mbao FC bado mbili bila majibu, hivyo Ihefu imefaidika Na goli la ugenini, Katibu Ihefu, Kwaheri Mbao kiboko ya vigogo, kiukweli tutaimis mbao
  4. K

    Serikali iingilie Kati Wamiliki wa Shule binafsi wameamua kuwa wababe

    Niliona clip moja Waziri wa Elimu akishauri Wamiliki wa Shule Na Wazazi waridhiane issue ya malipo ya ada, ni ushauri nzuri, lakini nimefuatilia magroup yalioanzishwa Na Shule mbalimbali wazazi wakiomba kupunguziwa ada kidogo,has a kutoa gharama za Chakula ambacho wanafunzi hawakula wakati wa...
  5. K

    Teknologia bado ina safari ndefu sana

    Habari WanaJF, Nimetafakari sana kuhusu mambo yanayoendelea yanayomsumbua binadamu sana na ambayo hayajapatiwa ufumbuzi. Kuna maradhi ya Covid 19, pamoja na kuwa hakuna chanjo, lakini binadamu anatakiwa kusubiri siku 14 ndo utambulike kama uko salama au la. Hivi kwa nini teknologia iko nyuma...
  6. K

    Faida za Ugonjwa Wa Covid 19 Duniani

    Tumekuwa tukishuhudia athari za ugonjwa huu unaosababishwa na virusi vya Corona, Sina haja ya kurudia kuzungumzia athari hizo lakini kwa ufupi tu umesababisha zaidi ya vifo 10,000 duniani had I Leo tarehe 21.10.2020 kwa mujibu Wa vyombo vya habari mbalimbali, hata hivyo janga hili kwa kwa...
  7. K

    Mawazo yangu, ushauri wangu kwa nchi yangu

    Leo nimewaza sana kuhusu namna nchi yangu Tanzania inavyoweza kuepuka janga la CORONA, nikaona hebu niyaweke mawazo yangu hapa Jamii Forum, naamini hapa kuna wachambuzi mahiri na wenye kutoa mawazo chanya, mawazo yangu yanaona kama nchi yangu haipo kisiwani, wananchi hatujajiandaa kukabiliana na...
  8. K

    Sijawahi kumkubali kocha wa Simba, Sven Ludwing

    Huyu kocha wa Simba hana jipya kabisa. Ameharimu mfumo mzuri ulotengenezwa na Uchebe. Mfumo anaoutumia unamficha Kagere. Viongozi wa Simba mrudisheni Uchebe. Hivi huyu kocha ataweza kutufanya tubaki next levels au last levels? Duh! Nasikitika sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Naomba ushauri wa kisheria katika maisha haya ya ndoa

    Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 45, ni Mkristo dhehebu KKKT, mwaka 2001 nilifunga ndoa ya Kikristo na nimefanikiwa kuwa na watoto 5, mwaka 2007 kulikuwa na mgogoro mkubwa katika ndoa uliopelekea kutengana kwa muda wa mwaka mmoja Wakati huo tulikuwa na watoto 2, wakati tumetengana...
  10. K

    Wanawake hawalingani kimalezi kwa Watoto! Mwanaume oa mke zaidi ya mmoja

    Habari wana jamii, "Dont putt all your eggs in one bucket" hayo ni maneno ya kingereza na pia yanatumiwa sana na wachumi Yana maana kuwa usiweke mayai yako yote katika kapu moja, mimi sio mchumi lakini nimetafakari sana nikaona yana maana sana hasa katika maisha ya sasa. Nina maana kwa...
  11. K

    Wazo Langu kuhusu Kanuni mpya ya mafao ya kustaafu kwa wätumishi

    Ni wazi kuwa kanuni mpya imeleta manunguniko na mfadhaiko kwa watumishi wa umma, naamini Serikali imeona na Wabunge pia wameona, kwa hali ilivyo sasa ni lazima mabadiliko yawepo, natamani mabadiliko yawe ya pande zote mbili yaani Serikali na Watumishi, mimi napendekeza yafuatayo (A) Badala ya...
Back
Top Bottom