Search results

  1. L

    Nawaota wanawake wenzangu kimahaba

    Maombi sio mpaka aende kwa wachungaji, inapendeza akitenga muda wake binafsi na kutulia uweponi mwa Mungu maana kwa wale Wakristo wanajua kabisa kuwa tunahimizwa kuomba na sio kuombewa. Omben nanyi mtapewa, ombeni lolote kwa jina langu nanyi mtapokea....na mistari mingine mingi. So asiende kwa...
  2. L

    Hivi Mwakasege anajua kuna kiingilio 5000/= kusikiliza mahubiri yake?

    nilijua ni mie tu sijaelewa! Dogo anaandika kama channel yenye scramble!
  3. L

    Majina ya walioomba nafasi za BVR cleck

    uongo tu. Haina ugumu wowote
  4. L

    Nawaota wanawake wenzangu kimahaba

    Ndoto ni kiashirio cha yale yanayotendeka ktk ulimwengu wa roho. Kuota unafanya ngono kwa namna yoyote ile ni kuwa una spiritual agent anaecontrol sexuality yako. Mambo hayo yanaimpact kubwa ktk maisha yetu ya rohoni, mwilini na pia mahusiano yetu ktk jamii huathirika vibaya kwa njia moja au...
  5. L

    Bei za gesi kupanda tar 1-7-2015

    Mbona ndio bei ya siku zote huku nilipo? Kuna wakati hyo kg 6 iliuzwa hadi 28 elfu so hakuna jipya hapo!
  6. L

    Jinsi ya kupika tambi

    Naiandaa leo aisemd
  7. L

    Akimaluz pancakes

    kama nilipo hakuna fridge wala huo ubaridi kwa mfano
  8. L

    Nataka kuacha huu mchezo nisaidieni

    itakuja tokea nimpende mtu tena kweli? I wish atokee huyo wa kumpenda kwa kweli Jerrymsigwa
  9. L

    Nataka kuacha huu mchezo nisaidieni

    Baada ya mpenz niliempenda sana kunisaliti nilijikuta nimedevelop kitu ambacho kwa sasa naona sio kizuri though i used to enjoy it! Yaani, I lyk to hurt men, to break their hearts! I allow them to fall in love with me then b4 anything happen, akiomba penzi tu.. i do just dump them! Nataka...
  10. L

    Walimu ajira mpya ogopeni CWT mtalia kama tunavyo lia sisi

    haya maneno hata mie nimeyasikia huko niliporipoti!
  11. L

    Nahitaji mrembo wa kunifanyia "massage".

    wish cud be in dar, ningejipatia hela za chee cuz am gud on that thng kwa kweli
  12. L

    Nilikuwa nasikia sasa nimekutana nayo

    Napenda kudamp watu sijui kwa nin
  13. L

    Wanawake wenye profession hizi wana tabia gani mapenzini?

    all dumb women marry engineers!
  14. L

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    watu8 au Bazazi
  15. L

    Je kuna ujanja wa kuzaa mapacha kwa kupenda?

    Kuna mahali nilisoma kuwa kuna sindano huwa zinadungwa za hormone hvo husababisha upevushaji wa mayai mawili kwa wakati mmoja. Pia kipande hcho kilisema wanawake wenye miaka zaid ya 35 hubahatika kupata pacha hata km ukoo wao hauna vinasaba vya pacha. All in all omba Mungu kwa neema zake atakupa.
  16. L

    Msaada huyu pepo atapungwaje?

    huyo spiritual ndie atakuwa anampush kupenda wanawake wenzie? sonnita
  17. L

    Msaada huyu pepo atapungwaje?

    Last week nilitoka mkoa ninaoishi nikaenda dar na kwa bahati nzuri nilikutana na mtu alienipa namba ya rafiki yangu wa kike tulisoma wote O- level na bahati mbaya tulipotezana baada ya mimi kuhama ile shule tukiwa kidato cha 3. Nilimpigia simu na alinielekeza ofisini kwake nikamfuata na...
  18. L

    Uhujumu uchumi udom

    Wapo waliorudishiwa elfu 20 zao ingawa kwa kuchelewa so be patient...
Back
Top Bottom