Search results

  1. Mr the dragon

    Kuna basi la moja kwa moja kutoka Mwanza hadi Ifakara?

    Kuna mwanafunzi anategemea kutoka Mwanza kwenda Ifakara naulizia kama kuna basi la moja kwa moja. Na nauli ni shilingi ngapi? Vilevile kutoka Morogoro hadi Ifakara ni shilingi ngapi?
  2. Mr the dragon

    Noti ya Billion hamsini ya Zimbabwe ina thamani gani?

    Wadau kuna hela niliiokota njiani imeandikwa 50 billion noti ya Zimbabwe ina thamani gani? Nilipoiokota sikutilia maanani sana, maana nimekuwa nikisikia story za hela ya Zimbabwe kutokuwa na thamani. Na haikuniingia akilini billioni hamsini iwe kwenye noti moja tu. Hivyo, sikuitunza ikapotea...
  3. Mr the dragon

    Kisa cha Kweli: Sitasahau nilivyopendwa na mchawi nikaishia kurogwa

    Nimeamua kushare hapa hiki kisa cha kweli kilichonitokea kwenye maisha yangu. Nikiamini wengi mtajifunza na kuburudika pia. NB: Majina ya watu na baadhi ya Majina ya sehemu yatakuwa sio halisi ili kuficha indetity yangu. Pia sio mwandishi mzuri Ila nitajitahidi kuandika kwa mtiririko mzuri...
  4. Mr the dragon

    Naomba Ushauri: Natamani kuondoka nyumbani ila nafsi inasita na ndugu hawataki

    Habari wana JF, Mimi ni mtoto wa mwisho (lastborn) katika familia yetu, nina umri wa miaka 27. Ninafanya kazi katika taasisi binafsi mkoa fulani katikati mwa nchi. Kwa sasa mimi ndio mtoto pekee ninayeishi nyumbani kwetu kwa wazazi/mzazi, kaka na dada zangu wote ni waajiriwa wa serikali na...
  5. Mr the dragon

    Wasabato acheni kuwajaza ujinga waumini wenu kipindi hiki cha COVID-19

    Naona wachungaji mmeamua ku-take advantage sababu ya huu ugonjwa wa COVID-19. Mimi ni msabato ambaye nimezaliwa na kukulia Kwenye hili dhehebu. Mojawapo ya mafundisho maarufu ya kanisa hili ni kuhusu "alama ya mnyama" ambalo msingi wake unatokana na kitabu cha Ufunuo 13 ndani ya maandiko ya...
  6. Mr the dragon

    Dawa ya Corona virus ni nzuri mno

    Sounds like this is the best medicine I ever knew [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mr the dragon

    Life is a journey.....nimemiss days of my childhood.

    Guess what!!!!!!!!!!!!!!? Nimemiss zile siku naamka asubuhi natoka nje naanza kukamua maziwa then mida ya saa mbili napata ugali mkubwa na maziwa yaliyopekechwa "masuke" kwa kisukuma.Kisha naelekea huko milimani kuchunga ng'ombe mpaka jioni ndio unarudisha mifugo nyumbani. Huko malishoni Ni...
  8. Mr the dragon

    Nini maana ya Professor na Doctor(PhD)?

    Habari zenu wadau wa JF. Hivi Ni vigezo gani hutumika mpaka mtu aitwe Proffesor au Doctor.Doctor ninayemzungumzia ni yule mwenye PHD sio hospitali. Nimeuliza hivi kwa sababu, Tanzania mtu yeyote mwenye shahada ya uzamivu huitwa Doctor(Dr). Lakini nimesoma biography ya Barrack Obama na Hillary...
  9. Mr the dragon

    Siku nilipokikataa cha ukucha.

    Since day one maraia walinimanya kwa gambe na harakati za ku exist na mali.Kuna manzi aliniletea hesabati za kidenzi nikamaindi sana.Ndio mara ya kwanza nikaenda kutafuta cha ukucha bablai nimeditate nigani. Tokea hiyo siku ikawa kama dozi kwa fasi.Nikiamka asubaa naibuka kwa sadari nachukua...
  10. Mr the dragon

    Nina shida na mwanasaikolojia anayepatikana Dodoma.

    Habari wana jamiiforums Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, nina shida na mwanasaikolojia anayepatikana Dodoma.Kwa mwenye mawasiliano anisaidie au ufahamu popote anapopatikana au wanapopatikana naomba mnifahamishe.Pia kama kuna kitengo cha serikali kinachohusika na haya masuala naomba msaada...
  11. Mr the dragon

    Ni rahisi kutimiza anachokitaka shetani lakini sio Mwanamke.

    Juzikati hapa nilisafiri na manzi mmoja kwenda Dodoma kufanya field practices.Huyo manzi mwenyewe huwa sina mazoea nae sana nikiwa chuo.Ilitokea tu nikakaa nae siti moja bahati nzuri zaidi sehemu tuliyokuwa tunaenda kufanya field ni sehemu moja nje kidogo ya Dodoma mjini. Njiani nimepiga nae...
  12. Mr the dragon

    Holiday season is a cheating season

    Jana nikiwa nimetulia home kuna sister mmoja jirani yetu alinipigia simu mida ya tano.Nilivyoenda akawa anaongea vitu sivielewi hanyooshi vizuri maelezo nikamsoma psychologically anataka company yangu ukizingatia mmewe ni hustler hatulii home Mara nyingi na mkewe jamaa anakua mbali kusaka...
  13. Mr the dragon

    Undani wa point pendwa ya Sarajevo assassination.

    "Sophie! Sophie usife ishi kwa ajili ya watoto wetu".yalikuwa ni maneno ya mwisho ya Archiduke Franz Ferdinand tarehe 28 June mwaka 1914 akiwa anakata roho baada ya kupigwa risasi.Akimtaka mkewe asife ili alee watoto ambaye naye alikuwa anahangaika kukata roho kwa kupigwa risasi.Ombi lake...
  14. Mr the dragon

    Tukumbushane mistari iliyomhusu Babu Seya na Papii Kocha.

    Leo December 9 2017 siku ya kumbukumbu ya uhuru wa Tanzania bara.Rais wa jamhuri ya muungano ametoa msamaha kwa Wanamziki Nguza Viking Maarufu kama Babu Seya na mwanaye Papii Kocha. Hapa ningependa tusijadili kesi,hukumu au msamaha ila tutupie mistari tunayoijua iliyoimbwa na wasanii inayomhusu...
  15. Mr the dragon

    Nimekoma kuikosoa Biblia hapa JF

    Mimi ni member ambaye sina umaarufu wowote hapa JF.Lakini siku chache zilizopita nimekuwa mpinzani mkubwa wa vitabu vya dini hasahasa Biblia nikidai ni kitabu cha uongo na cha kufikirika. Lakini Jana usiku Mwenyezi Mungu Mungu kanionyesha muujiza kuhusu Biblia ndio maana nimekuja hapa kuomba...
  16. Mr the dragon

    Leo nimeamua kuwapa ukweli wazee wa nchi hii.

    Kwanza nieleweke nia sio kuwavunjia heshima ila nikuwaweka sawa pindi wanapotunyoshea vidole juu ya maadili yetu na wao wajiangalie makosa yao. Wazee wamekuwa wakitulalamikia vijana wa Leo kwamba hatuna maadili ila mimi nikiwaangalia naona wao wazee ndo hamna kitu mara Mia ya sisi. Hawa wazee...
  17. Mr the dragon

    Leo nimeamua kuwapa ukweli wazee wa nchi hii.

    Kwanza nieleweke nia sio kuwavunjia heshima ila nikuwaweka sawa pindi wanapotunyoshea vidole juu ya maadili yetu na wao wajiangalie makosa yao. Wazee wamekuwa wakitulalamikia vijana wa Leo kwamba hatuna maadili ila mimi nikiwaangalia naona wao wazee ndo hamna kitu mara Mia ya sisi. Hawa wazee...
  18. Mr the dragon

    Toka vita ya vietnam mpaka rais kujiuzuru kwenye mission impossible.....Watergate scandal (3)

    Wiki kadhaa baada ya tukio hilo, wavamizi hao wa ofisi ya kamati ya uchaguzi ya chama cha democratic Horward Hunt alimpatia Barker film ili wazisafishe na wazikuze picha zake.Mwanzoni Barker hakujua ni picha za nini lakini alikuja kuduwaa alipokuta ni picha zilezile walizozichukua katika tukio...
  19. Mr the dragon

    Young Killer ndani ya ulimwengu uliopita na Young D mtu mzima.

    Jana nikiwa naangalia kipindi cha Friday night Live niliwaona young killer na Young D mmoja akionyesha ukomavu na utu uzima huku mwingine akiendelea kuishi kwenye ulimwengu uliopita. Nitakuwa sijakosea endapo nikisema beef haina mchongo katika mziki wa sasa.Maana zama zimebadilika hiki sio...
  20. Mr the dragon

    Mbinu za kuwa katika mahusiano na mwanafunzi na ukabaki salama.

    ONYO:kuwa katika uhusiano na mwanafunzi wa shule ya msingi na sekondari ni kosa kisheria na kwa usawa huu wa magufuli unaweza kwenda jela miaka thelathini please do it at your own risk. Mapenzi ni something crazy unaweza mpenda yeyote bila kujali ni mwanafunzi, Mwanajeshi, Usalama wa...
Back
Top Bottom