Search results

  1. 6

    Sekretarieti ya Ajira/serikali itupe ufafanuzi kuhusu hili la ukosefu wa ajira katika taasisi za serikali

    Wewe nae si unakazi utulie unapofanyia hiyo kazi waachie wengine nao watafute huko unapotaka kwenda
  2. 6

    Hili lina ukweli kuhusu waliopata 49-45 written interview ya TRA?

    Hizo gharama za kwenda kufanya hizo oroo watawalipia? Nonsense kama ni kweli
  3. 6

    Mbunge Neema Lugangira(Viti Maalum) ashauri Biashara za Mtandaoni kuanza kutozwa Kodi

    Tatizo jinsi mnavyo wakilisha maoni yenu mnafanya watu wadhani kodi ni adhabu na hizi iwapo iwapo zenu
  4. 6

    Hili suala la Bongo Zozo kujipenyeza kila mahali hadi chumbani kwa baba limekaaje?

    Mbona hujamtajia ni nani wanaitengeneza?
  5. 6

    Inadaiwa abiria wanaosafiri kutoka Nyamisati kwenda Mafia wamekwama bandarini kwa siku kadhaa wakisubiri usafiri

    Hawapewi majibu kwahiyo hamna mwenye jibu toka Jumatatu hadi sasa narudia kwa herufi kubwa TATIZO HALIJULIKANI
  6. 6

    Inadaiwa abiria wanaosafiri kutoka Nyamisati kwenda Mafia wamekwama bandarini kwa siku kadhaa wakisubiri usafiri

    Nasikia watu wameamua kuunda vikundi vya upishi ili kukidhi gharama za maisha.
  7. 6

    Inadaiwa abiria wanaosafiri kutoka Nyamisati kwenda Mafia wamekwama bandarini kwa siku kadhaa wakisubiri usafiri

    Kuna abiria wanaosafiri kutoka Nyamisati kwenda Mafia wamekwama bandarini tangu Jumatatu hadi leo wakisubiri usafiri na hakuna sababu za msingi zinazotolewa, watu wanaambiwa wasubiri. Sasa wasubiri hadi lini na mazingira ya kule ninyi mnayajua? Watu wana watoto wachanga kule, wahusika mko wapi...
  8. 6

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Ukiona mtu anatoa majibu hayo ujue upo walakini
  9. 6

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Hatuwezi tukawa tunafanya mizaha katika maswala haya kila Mtanzania mwenyesifa ya kuitumikia nchi yake katika nafasi mbalimbali provided amefata taratibu basi naaitumikie nchi sio mizahamizaha hii halafu tunatazama tuu
  10. 6

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Kwanini mamlaka za juu zisiingilie swala hili?kwani haiwezekani au hawana taarifa? Nawaliohusika wote wachukuliwe hatua kali kwa mujibu wa sheria hii ni nchi yetu sote
  11. 6

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    No body knows bro, ni kama unavyocheza biko tuu
  12. 6

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Mtaishia hivihivi, subiri ikitokea nyingine ukafanye tena halafu uje tena na mawazo ya hamuziwi kufaulu wote....ukiulizwa huo ufaulu unaanzia ngapi unaweza kujibu?
  13. 6

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Mungu/MUNGU sio mungu
  14. 6

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Endeleeni kusuport ujinga tuu
  15. 6

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Kitu ambacho si sahihi hata kidogo majina yaliyopatikana kwa mfumo ule yakakubali mpangilio ule wa herufi za majina
  16. 6

    Matokeo ya mchujo TAKUKURU: Let's be honest with each other

    Kuna watu walianza saa saba mzee
  17. 6

    Kuitwa kazini-PCCB

    Mungu/MUNGU sio mungu
  18. 6

    Kuitwa kazini-PCCB

    Mungu/MUNGU sio mungu
  19. 6

    Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Tulia andika vizuri don't panic,ujumbe wako umeshaupata hayo mengine utajua wewe na mumeo
Back
Top Bottom