Hawa watafsiri sheria wetu wana matatizo sana au pengine uelewa wao sio wanalazimisha (mahakimu,majaji na wazee wa mahakama),Mokiwa tunaambia kadharau mahakama sawa lakini huwa (majaji,mahakimu) wanatumwa cha kufanya kwani DOWANS haina pingamizi mahakama kuu mitambo au mali yoyote isiguswe mpaka...
Wana JF nimekuwa nikifuatilia kipindi cha dk 45 ITV ambacho kimekuwa kikilenga mahusisi mahojiano na baadhi ya watendaji serikali espicially mawaziri na wastaafu wa serikali ya MAGAMBA,binafsi natatizwa na hiki kipindi kimelenga nini hasa,je ni product ya dhati ITV au nimpango wa serikali ya...
nawapa pole wafiwa wote,MUNGU mkubwa haki itapatikana tu,NDUGU WATANYANIA WENYANGU NATOA RAI HATUNA HAJA ZA KUENDELEA KUIVUMILIA SERIKALI KATILI KAMA HII MIAKA MI4 NI MINGI MNO WANAWEYA TUUWA WOTE TUAMKE WAKATI NI HUU!
majeshi huvaa sare kwa sababu za kiusalama,wanagharamiwa na kodi za wananchi pia wapo kambini,CDM ni makamanda wa ukombozi wa pili kwa watanzani,sare za mapambona zipo mioyoni mwa wanachama na wakerekwetwa wa ukombozi,na hizo unazotaka zipo zinauzwa na si kwa viongozi tu!
nampongeza Dr wa ukweli mana tusingejua kilichojiri,BAE wapo sahihi,tulishuhudia fedha za econimic stimulus package makampuni uchwara ya pamba walivyochota fedha kwa kisingizio cha kuyumba uchumi waziri mkuu bungeni kapata kigugumizi kueleza hilo,hizo fedha zipewe NGOS directly au zitumike...
Suala si malipo, naaangukia upande wa uhalisia wa jambo husika. CDM bado ni kichanga kisera na mikakati, naguko lake laja muda si mrefu; mnatumia muda mwingi kuwajadili akina Nape. CDM mlianza vizuri kwa hoja zenye shibe, hatahivyo baadaye HASWA baada ya ujio wa Nape na hoja zake, mkatoka nje ya...
Tulishuhudia mbwembwe za Gavana na JK wakizindua noti mpya mwishoni mwa disemba 2010 na kutujuza kuwa Jan 2011 noti mpya tayari zitakuwa kwenye mabenki,WaJF NAOMBA mnijuze kunanini mpaka leo takribani miez sita kila noti zipo mbilimbili,why??
kichefuchefu,TANZANIA tunakwenda wapi,tutavumilia mpaka lini.nani wakututatulia kero zetu hizi,bila umeme wa uhakika kila kitu bei juu,Watanzania wenzangu tumefika mahala pakukataa usanii huu,maisha yetu yanaangamia taifa la kesho hakuna,TUVUMILIA MPAKA LINI?
ulikuwa usanii wa mwaka,nilihisi anaweza kuwa alitumia mlango nyuma kuweza kumbukumba ktk swala kama hilo ili tu aweze kurudisha imani yake kwa jamii kwani BWM kutuibia sana,kuna taarifa za kiintelijensia jamaa kutoka china walioshiri kujunga kujenga uwanja {injinia alishongwa after rais wa...
kuna mdau alitoa data za takukuru,kati ya kesi 40,000 na ushe wameshitaki kesi 6,000 ,400 zimesikilizwa wameshinda 44,mada ilikuwa umaskini tanzania ni Laana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.