Search results

  1. CCNP Engineer

    Chips nyama 8000 Singida Hotelini

    Wewe ni mjinga? Basi likiondoka linakuja lingine. Na lingine tena. Bado watu wenye usafiri binafsi.
  2. CCNP Engineer

    Chips nyama 8000 Singida Hotelini

    Tumia akili. Sio kila safari mtu anatokea nyumbani. Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam. Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
  3. CCNP Engineer

    Chips nyama 8000 Singida Hotelini

    Sio kila safari mtu anatokea nyumbani. Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam. Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa.
  4. CCNP Engineer

    Chips nyama 8000 Singida Hotelini

    Sio kila safari mtu anatokea nyumbani. Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam. Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa.
  5. CCNP Engineer

    Chips nyama 8000 Singida Hotelini

    Sio kila safari mtu anatokea nyumbani. Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam. Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
  6. CCNP Engineer

    Chips nyama 8000 Singida Hotelini

    Sio kila safari mtu anatokea nyumbani. Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam. Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
  7. CCNP Engineer

    Chips nyama 8000 Singida Hotelini

    Wewe ni ndina! Sio kila safari mtu anatokea nyumbani. Safari zingine unatokea mkoani kikazi (mfano Musoma/Rukwa), unarudi zako Dar es Salaam. Unatoka Musoma/Rukwa saa kumi usiku, unafika Dar 11 alfajiri au kesho yake kabisa
  8. CCNP Engineer

    Msaada jamani, Sijisikii kula Hata nikila nakula kidogo saana

    Nimekunywa mtindi glass moja tu nimeshiba kabisa ndi ndi ndi. Wakati tangu asubuhi sijala msosi.
  9. CCNP Engineer

    Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

    After investing in two solid years on hustling/investment, officially CCNP Engineer I'm back to social media platforms. Wale waliokua wananikebehi kaeni mkao wa kula. BIG announcement coming soon. Stay tuned.
  10. CCNP Engineer

    Mwaka 1999 kurudi nyuma ilikuwa ngumu sana kuchaguliwa shule ya Sekondari ya Serikali. Waliobahatika walijulikana kata nzima. Je, wewe ni mmoja wao?

    Naam Naam... Form one ukifika unakutana na wenzio waliongoza mkoa/wilaya walizotoka. Wote vichwa. Mimi niliongozaga mkoa wa Shinyanga. Mshikaji nilikua nashindana nae alikua wa pili kimkoa, akaenda Kibaha. Tuliendeleza ligi watu wakawa wanasubiri NECTA ya form four waone nani atamkimbiza mwenzie.
  11. CCNP Engineer

    Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

    Last week nilikua napitia matokeo ya madogo wa form six kwa Special Schools (Mzumbe, Tabora Boys, Kibaha na Ilboru) lengo ni kuhesabu One za Tatu yaani ni za kutafuta kwa tochi... Nimeambulia kuona moja tu ya dogo wa Mzumbe alokua T.O (dogo mwenyewe PCB, sijui PCM siku hizi wamerogwa na nani)...
  12. CCNP Engineer

    Kunuka miguu: Chanzo na tiba

    Dawa ni kupanda kuvaa open shoes muda mwingi na kuvaa viatu mara chache kama mie navofanya.
  13. CCNP Engineer

    Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

    Asante. Umenikumbusha wakati naingia CoET nakuta darasani nasoma na majitu yamepata Division One za 8 huko wakati watu tumekomaa kumamake tumetoka na One za 3 kali kinoma.
  14. CCNP Engineer

    Mwongozo wa kozi za kuchagua 2018/19

    Unataka ushauriwe mara ngapi ndugu??? Tumia akili ya kawaida tu, PCB karibu wote Tanzania huwa ndoto yao kusoma MD (tena ya MUHAS). Sasa hebu imagine PCB walipata Points 3 (kuanzia dogo T.O alietokea Mzumbe), uje wenye points 4, 5 za kumwaga, 6, 7 wote wachaguliwe waishe... Unategemea huyo wa...
  15. CCNP Engineer

    Division 1 ya 9 pccb anaweza pata admission muhas au udom??

    PCCB course mpya hii... Kama ulimaanisha PCB basi size yake ni UDOM (Chuo cha Kata) tu, asijisumbue kuomba MUHAS Ni kama vile PCM mwenye point 9 kuomba Petroleum ya CoET pale, atakua anatwanga maji kwenye kinu.
  16. CCNP Engineer

    Natafuta chumba cha kupanga Mbagala

    Acha mishebeduo ya kike wewe, mtu mwenyewe choka mbaya tu.
  17. CCNP Engineer

    Baraza la mitihani latangaza Matokeo ya kidato cha sita, Kibaha sekondari yaongoza

    Ahsante Tabora Boys kwa kutoa Tanzania One (Best Student) kwa mara ya tatu mfululizo. Kimbiza kina Mzumbe, Feza, Marian hao
  18. CCNP Engineer

    Nauza mayai ya kuku wa kienyeji (halisi sio chotara)

    Wewe na e acha undina kwenye biashara za watu. Kama huna hela ya kununua acha wateja walio serious waongee mahesabu. Shaghabhala-Shatwain
Back
Top Bottom