Search results

  1. kijumbamshale

    Halotel huu ni wizi

    Ni mara ya pili sasa inanitokea ninapoomba huduma ya kopa salio naambiwa sijakidhi vigezo na sipewi mkopo, lakini cha kushangaza nikiweka vocha nakatwa fedha ambayo sikupewa, piga customer service sasa kama wanapatikana. Huu sio uungwana kabisa!!! Ni wizi wa mchana peupe
  2. kijumbamshale

    Msaada wa touch asus zenfone2

    Simu tajwa hapo juu imevunjika kioo yeyote anayeweza kusaidia upatikanaji na fixing tuwasiliane PM
  3. kijumbamshale

    Battery ya htc one M7 inahitajika

    Simu tajwa hapo juu imekufa battery yeyote anayeweza kuipata tufanye biashara
  4. kijumbamshale

    Youtube offline videos zinakuwa saved wapi?

    Waungwana habari za uhuru/usafi day, kutokana na network zisizoeleweka nimekuwa nikidownload videos kutoka youtube kwa ajili ya kuziangalia ninapopata muda. Nimejaribu kuzitafuta kwenye simu sijazipata lakini ukienda youtube unazikuta na zinastream vizuri tu hata kama net ni dhaifu sana sasa...
  5. kijumbamshale

    Kioo cha samsung galaxy s4

    Mwenye kujua fixing ya hicho kioo inaweza gharimu kiasi gani naomba anijulishe tafadhali
  6. kijumbamshale

    Updating huawei ascend P6

    Jamani naomba msaada wa jinsi ya ku Update huawei ascend P6 kutoka android 4.2.2 kwenda 4.4.4 asanteni
  7. kijumbamshale

    Tatizo la WiFi hotspot na USB teethering kwenye HTC naomba msaada

    Wadau naombeni msaada nina simu yangu hapa HTC nimeagiza Marekani ilikua inatumia mtandao wa verizon. Simu hii wameifunga haiwezi kufanya teethering ya usb wala kutengeneza wifi hotspot wakati mimi nahitaji sana hizi huduma nifanyeje? Nb: Vitu vingine vyote viko poa kabisa.
  8. kijumbamshale

    Wale wa one plus one

    Kwa wale wenye hamu ya kumiliki OPO aka "never settle" aka flagship killer naona wamefungua dirisha la kuagiza bila invitation version ya 64gb kwa dolari 349 tu na dirisha la kuagiza litafunguliwa tar 27/10 saa 6-7 mchana kwa saa za afrika mashariki Ila hawasafirishi kuleta huku kwa hiyo...
  9. kijumbamshale

    Muziki wa kizazi kipya usiochuja

    Wanasema bongo flava ni kama Big G ukisikiliza miezi mitatu tu utamu kwisha, lakini naamini kwamba kuna bongo flava ambazo kiukweli haziishi hamu kusikiliza. Nia ya kuanzisha thread hii ni kuwaomba wadau tutupie nyimbo ambazo tunaona ni everlasting ili niweze kuzikusanya pamoja na kuzitupia...
  10. kijumbamshale

    Rooting ya simu

    Hii kitu ni nini na inafanyika vipi? Faida zake ni zipi na hasara zake ni zipi. Kwa wale wataalamu naombeni elimu.
  11. kijumbamshale

    TV inapoteza picha

    Waungwana TV yangu samsung LED 40' inawaka lakini kwa muda kama wa dakika 10 halafu inapoteza picha inabakia sauti tu tatizo linaweza kuwa nini?
  12. kijumbamshale

    Taa ya altezza inahitajika

    Taa ya nyuma ya kulia ya Altezza inahitajika kama unayo ni pm
  13. kijumbamshale

    msaada ku block number ya simu

    Kuna ndugu ananisumbua sana naomba jinsi ya kublock kupokea simu na sms zake. Natumia Iphone na blackbery mtandao wa Tigo
Back
Top Bottom