Search results

  1. fogoh2

    Simbachawene aelekeza kusimamisha mishahara ya viongozi walioshindwa kusimamia Watumishi kutekeleza zoezi la PEPMIS

    #HABARI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Juma Mkomi kusimamisha mishahara ya viongozi walioshindwa kuwasimamia watumishi wao kujisajili na kujaza mipango kazi yao katika Mfumo...
  2. fogoh2

    INAUZWA Nimehamishwa kikazi, nauza vitu vya ndani

    Kama uzi unavyosema, nimehamishwa mkoa kikazi nauza vitu vyangu vyote vya ndani; sofa, friji, kitanda, magodoro, TV, meza ya TV. Vitu vyote vipo Kigamboni Kibugumo. Sofa 200,000 Tv solarmax 32" 250,000 Showcase 70,000 Cherehani mpya haijatumika hata maramoja 250,000 Magodoro matatu yote...
  3. fogoh2

    Nauza gari yangu alteza

    Nauza gari yangu kali sana used like new,alteza cc 1990 haina kipengele hata kimoja unawasha unaenda mkoa wowote.bie naanzia 5.5mil maongezi kidogo yapo.gari ipo sinza vatican . 0752649984
  4. fogoh2

    Nina laki 8 nahitaji laptop nzuri

    Iwe na RAM kuanzia 12, SSD au HDD kuanzia 500, HP au Dell, kuanzia 8 generation. Iwe na graphics cad, ikiwa mvidia itapewa kipaumbele.
  5. fogoh2

    Mzani KG 10 unauzwa

    Njio uchukue mzani wa Kg 10 ,kwa bei ya kutupa 120,000 tu.mzani ni mpya kabisa. Location kigamboni mji mwema. 0752649984
  6. fogoh2

    INAUZWA Mzani wa kilo 10 unauzwa kwa bei nafuu

    Nina shida na hela,nauza mzani wangu mpya wa KG 10.bei 120,000 tu. Location Kigamboni Mjimwema.
  7. fogoh2

    Hodi Mtwara

    Naingia Mtwara jioni hii kwa ziara ya kikazi siku tatu naomba kujuzwa lodge nzuri gharama isizidi 35,000 pia sehemu nzuri ya kupata bia mbili tatu ,kamziki katamu na wadada wazuri ambao sio wachoyo na hawana roho mbaya.
  8. fogoh2

    Mama anauma jamani

    Wadau Nimempoteza Mama yangu mzazi alfajiri ya leo katika hospitali ya Bombo Tanga. Mazishi yatakuwa kesho saa saba mchana wilaya Muheza kijiji cha Kwemsala. Kwa walio mkoa wa Tanga maeneo ya karibu nitafurahi sana tukiungana pamoja msibani kunipa moyo katika kipindi hiki kigumu sana sana...
  9. fogoh2

    Nahitaji container 40ft

    Nahitaji container mbili za 40ft pesa ninayo cash .njoo na ofa yako NB.nahitaji leo 9/5 /2019
  10. fogoh2

    Visiwa vya Zanzibar vyakubwa na uhaba wa nishati ya Mafuta

    Tangu jana mpaka muda huu kisiwa Zanzibar kuna uhaba mkubwa wa nishati ya mafuta Shughuli za uzalishaji wa bidhaa zinazotegemea nishati hiyo zimesimama kwa muda Sent using Jamii Forums mobile app
  11. fogoh2

    BMW X5

    Gari Aina ya BMW X5 inauzwa a gari ipo kwenye Hali nzuri ,inatumiwa na Mwanamke ,inauzwa kwa kuwa haitumiki Sana hivyo kukaa bila kutumika inaweza ikasababisha matatizo madogodogo .Bei ni milioni 23 tu maongezi yapo. Kwa waliokuwepo seriously waje PM tuyajenge.
  12. fogoh2

    Nahitaji mkopo wa laki 3 kwa riba

    Hellow wana jamvi nina shida ya dharura ambayo nimeona nije humu ili niweze kupata mkopo wa shilingi 300,000 niweze kuitatua na nitarudisha mwisho wa mwezi kwa riba ya shilingi 50,000 zaidi .mimi ni mtumishi wa umma kwenye taasisi moja wapo ya serikali hapa mjini Dar es salaam .kwa aliyetayari...
  13. fogoh2

    Ahsante Mungu

    Namshukuru Mungu leo tar 9/5 nimetimiza miaka 33 kamili wengi wamepotea kabla hawajafika huku na walikua na ndoto nyingi,wote ambao tumefika huku tukiwa na afya njema tuungane kumshukuru Mungu .Pia furaha yangu kubwa nimetimiza kigezo anachokitaka inna morata kwani ndio ilikua kigezo pekee...
  14. fogoh2

    Nauza laptop yangu bei poa

    Nina problem flani nauza laptop yangu HP, ram 4 ,64bit,core i5,500HD . Laptop ni nzima haina tatizo lolote. Nipo Dar. Bei 350,000 karibuni sana
  15. fogoh2

    Natafuta wataalamu wazuri wa kuchimba visima

    Naomba msaada kwa anayefahamu wataalamu wazuri wa kuchimba visima wawe na kampuni inayoeleweka.site ni Dar es salaam -Magomeni. Njoo pm au weka namba nitakupigia
  16. fogoh2

    Mtu anaposema 'Mimi' anamaanisha nini au nani?

    Habarini za muda huu, niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu bila kupata jibu hivi mtu anaposema mimi anamaanisha nini. Je ni mwili wake wote Hisia zake Ufahamu wake Roho yake Lakini mbona katika hayo yote manne kwenye kujimilikisha hutumia neno vyangu, yani...
Back
Top Bottom