Search results

  1. Jandaruma

    Miziki isiyo ya maombolezo yapigwa marufuku Mwenge, Dar es Salaam

    Nakumbuka msiba wa Nyerere niliwahi kamatwa kisa kama hicho kupiga nyimbo zisizo kuwa za MAOMBOLEZO🔈🔉🔊🔇
  2. Jandaruma

    Rais Rafiki wa Rais wetu

    Professor mzima anamtuma kufuata miti shamba huyo sio rafiki bali kijakazi tuu
  3. Jandaruma

    Upotoshaji ushauri wa Rais: Hospitali ya mkoa yawapa barakoa za vitambaa madakari - eti ndivyo Rais ameagiza!

    Naomba hospitali ya rufaa ya mkoa wa PWANI ya TUMBI ikemewe na kuwajibishwa vikali kwa upotoshaji huo wa hatari utakaosababisha rais wetu avunjiwe heshima. Waziri wa afya nenda Tumbi ukahakiki hilo!
  4. Jandaruma

    Moja wapo ya hotuba bora za Mzee Mkapa: Ushupavu wa Uongozi 31 Julai, Jumanne 2007

    Unapokuwa na hotuba ndefu zenye vitu vizito basi ni vizuri uwe na kipaji cha kuwavutia watu kuendelea kukusikiliza ili walau mengi ya yale unayopanga kuwasilisha yafike.
  5. Jandaruma

    Maalim na Lipumba walifitinishwa na Mtatiro

    Ok. 💪💀👂
  6. Jandaruma

    Wapenzi wa samaki njooni hapa

    Hapo kuna PWEZA hao wenye midomo mirefu wanaitwa VIDAU huyo mwenye madoadoa anaitwa CHEWA hao waliochanganywa hapo kuna MKUNDAJI na NG'AMBANGUMU hao wawili juu waitwa PONO nahao wawili wa chini siyo Tuna bali ni BAKEM
  7. Jandaruma

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Nimetafuta Emoji ya BUNDI nimekosa 🐧🐤🐥🐦
  8. Jandaruma

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Hiki kipimo hakimpi dhana nzima kuwa hapendwi? Inamaana hata wanyonge wamekuwa mabeberu?
  9. Jandaruma

    Uandikishaji Wapiga Kura 2019: Baadhi ya hoja za wasio tayari kujiandikisha ni hizi...

    Hiki kipimo hakimpi dhana nzima kuwa hapendwi? Inamaana hata wanyonge wamekuwa mabeberu?
  10. Jandaruma

    Waraka wa onyo kwa waganga wa Jadi nchini

    Kwa jinsi hali inavyo kwenda naona sasa Wachawi mnataka kutwaa Madaraka ya uongozi kwa Nguvu. Na kwakuwa hamja kemewa, mnaweza kutoa maagizo mengine mkazuia watu Kuoa, kucheka, kwenda makazini, kufanya ibada na mengine mengi maana mmeanza kunogewa kutoa matamko yenu.
  11. Jandaruma

    Mawakili wa Serikali wadai ndege inayoshikiliwa Afrika Kusini ni ndege inayotumiwa na Rais Magufuli

    Yani unadaiwa mkopo na Benki, wanakamata nyumba ili uizwe kufidia deni. Unajitetea eti hiyo nyumba anakaa pia mama yako ambaye ni mgonjwa, na ndani kuna mazindiko ya ukoo wenu hivyo watapata tabu sana mkiipiga nyumba mnada. Halafu mke wako anajitokeza na kusema mume wangu katoa hoja nzito...
  12. Jandaruma

    Waraka wa pongezi kwa Makaburu wa Afrika ya Kusini

    Mwisho nasikia kuna Wanasheria wamekuja huko Afrika kusini wakitokea Tanganyika. Kama mlivyo shikilia Ndege hata hao pia washikilieni tuu wasirudi huku itapendeza. Hao ndio wanao tubambikia sisi raia wema Kesi za Bandia ili tuteswe magerezani.
  13. Jandaruma

    Madumu ya petrol zaidi ya 200 yakamatwa na polisi yakiwa yamefichwa kwenye makazi ya watu mjini Morogoro

    Wale wanaofanya biashara ya kuuza mafuta kienyeji hapo hasara na chamtema kuni watakiona!👈👉
  14. Jandaruma

    Polisi yaingia rasmi kwenye siasa

    Aiseeh!!
Back
Top Bottom