Search results

  1. Jamaldini kassimujr

    Zilipendwa

    igwe lele le igwe igwe lele le Jina la msanii silijui msaada mwenye kujua
  2. Jamaldini kassimujr

    Jinsi ya ku hard reset kishkwambi

    WANAJAMVI ASSALAMUALAIKUM Kwa ufupi mimi ni raia mwema ambae napenda kujifunza kila kitu lakini pia ni mtu wa simu janja na huku bush wananiaminia kwamba siwezi shindwa. Sasa leo nimeletewa kishkwambi mwalimu amebadilisha pattern na amesahau nimejaribu 1. Power up bottom 10 sec imegoma. 2...
  3. Jamaldini kassimujr

    Wapenzi wa NBC Premier League, nini kifanyike tupate ladha halisi ya mpira?

    LICHA YA KUWA NA UDHAMINI MZURI WA BENKI YA NBC NA WADHAMINI WENGINE. Lakini mbona bado hatuipati radha halisi ya mpira hususa ni kwa hizi timu zetu ambazo tunategemea zifanye mapinduzi Nini kifanyike wadau ?
  4. Jamaldini kassimujr

    Wimbo wa maombolezo na faraja kwa muda wote

    Ukiachilia mbali nyimbo nyingi za maombolezo katika kipindi cha misiba pia nyimbo za faraja na kujenga tumaini jipya ambazo umezisikiliza. Embu jaribu na hii ya DIZASTA VINA - MWANAJUA ALAFU UTUPE MREJESHO
  5. Jamaldini kassimujr

    Wataalamu wa kuingiza magemu ya PS kwa flash disc

    Mi ni muhitimu wa kada ualimu. Nimemaliza chuo mwaka 2019 nipo tuu mtaani. Napatikana mkoani nimeona kuna fursa ya kuweka games hapa tunapoishi, nipo tayari kuwa mwanafunzi wa hii kitu na ikiwezekana mwisho wa hii wiki ninaweza kufanya safari ya Dar. Kama kuna mtaalamu wa hivi vitu nipatie...
  6. Jamaldini kassimujr

    Msaada TUTANI kuhusu ps2

    Nimenunua flash disc 32 gb nimeweka game Cha ajabu ni kwamba kila nilihitaji kucheza hizo game hazisomi nikienda kwenye zile file nayaona nikiselect inasema "This isn't Efl" Ni ipi solution ya hii error
  7. Jamaldini kassimujr

    Misemo ya wazee wa Pwani

    Kuna wakati huwa ni muumini mkubwa wa mchezo wa bao la kete kuna kuwa na vimaneno vya kufundisha pia na kufurahisha pia kufikilisha Mfano TUNZA MACHOZI YAKO KWANI HATA FURAHA INAYAITAJI (hapo mtu kashafungwa mabao matatu na linaloendelea pia amebanwa) Toa nawewe msemo wako uliowahi kuuskia au...
  8. Jamaldini kassimujr

    MSAADA TUTANI

    Nimesikia kuhusu fixed account za nmb hivi ni kwamba ukisha jaza izo fomu pesa inaondoka kwenye account au itabakia humo na hauta weza kuifanyia matumizi
  9. Jamaldini kassimujr

    ONGEA NA MWANAO BY NASH MC

    ONGEA NA MWANAO-MAALIM NASH .Hii vitasa Moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Video Bora ya Kwanza ya hip hop mwaka huu
  10. Jamaldini kassimujr

    Azam fc fahari ya Chamazi

    Mwanzo mzuri mwaka huu Prince dube 69,89 Ingizo jipya
  11. Jamaldini kassimujr

    R. I.P Langa

    MIAKA SABA BILA LANGA RAFIKI #MKULUNGWA SIO PANTHER KAMA WAO
  12. Jamaldini kassimujr

    R.I.P Nkurunzinza 4bars hip hop fans

    BENDERA KWENYE MAGOTI NENDA KAMANDA KIFO KIPO NAWEWE SIO KWANZA MUHIMU TUMUACHIE MUNGU AKUWEKE HALIPO PANGA .M.A.P NKURUNZIZA
Back
Top Bottom