Search results

  1. D

    Nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi kwa wilaya ya Kibaha

    Habarini wapendwa. Nina kiwanja maeneo ya vikawe wilaya ya kibaha chenye ukubwa wa sqm 686 na ramani ya jengo nishachorewa na architecture yenye chumba master, sebule, choo public na baraza ya mbele na nyuma sasa wadau nauliza taratibu za kupata kibali cha ujenzi zikoje na gharama zake...
  2. D

    Hivi hili la kuzuiwa kusubiri abiria kwa bodaboda wa mtandaoni limekaaje?

    Leo nipo zangu maeneo ya Muhimbili nimepaki na boda yangu nasubiri request wanakuja jamaa wawili wakiwa na boda na kuanza kuniuliza unamsubiri mtu au mimi nkawajibu no nasubiri request kwakuwa mimi napakia abiria kwa njia ya mtandao. Wakaanza kusema ooh inabidi tukukamate kwa kuwa nyinyi...
  3. D

    Rais kaamua kuleta mabasi ya mwendokasi mapya kabisa?

    Nimepita katika U Turn ya Shekilango kurudi Ubungo nimekutana na msululu wa mabasi ya mwendokasi mapya kabisa yakitokea njia ya Mbezi kurudi town. Hakika Mama yangu Rais Samia matunda ya kazi yako nayaona na Mungu akulinde katika kila hatua yako.
  4. D

    Kazi ya mafuta ya transfoma

    Habari waungwana.Niende ktk hoja hapo kipindi cha nyuma nilikuwa nikiona transfoma zilizoharibiwa kutokana na watu kugema mafuta yake sasa swali langu ni jee hayo mafuta yana kazi gani na yana thamani gani hadi kufikia watu kurisk maisha yao kwa ajili ya kuyaiba?
  5. D

    Je, trillioni 10 zinatoka wapi kukamilisha trillioni 34 za Bajeti?

    Habari wanachama wa JF, Swali langu mimi ni kuwa bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 ni trillioni 34 na pointi kadhaa sasa najiuliza hadi utawala wa Hayati Magufuli R.I.P, makusanyo ya kodi kwa mwezi ni trillioni 2 ambako ndani ya mwaka mzima ni trillion 24 tena hapo bila kushuka kwa...
  6. D

    Chemba ya majitaka round about ya Mwenge kuelekea TRA jirani na Mwenge Sokoni ni kero kubwa sana

    Kwakweli hii chemba imekuwa kero sana kwa watumiaji wa hiyo njia kwani mara kwa mara inazidiwa uwezo na kupelekea maji taka kutoka katika mfuniko wake na kusambaa katika barabara na kuleta kero kubwa na hatari ya kupata magonjwa ya mlipuko kwani maji yenyewe ni meusi na yananuka sana ukizingatia...
  7. D

    Naombeni ushauri: Je, ninunue kiwanja kilichopimwa na kisichopimwa?

    Habari wadau, Binafsi nimeamua mwaka huu nami nimiliki eneo maana naona umri unazidi kuyoyoma sitaki kuja kuwa historia huko mbeleni. Mada ya huu uzi ni hivi nimeenda kuangalia kiwanja tuanze na kisichipomwa ni kuwa kinauzwa millioni 3 lakini mwenyewe anapokea hata 2M na nyingine kidogo kidogo...
  8. D

    Msaada: Kwa wenyeji wa minada ya kuku Singida na Tabora

    Habarini wana JF, Mimi nataka nianze kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka ktk hiyo mikoa niwalete Moro. Nauliza kwa wanaofahamu sehemu zenye minada ya kuku huwa ni maeneo gani na hufanyika siku gani na jee vipi kufikikika ktk hayo maeneo pamoja na unafuu wa bei pamoja na ubora wa kuku...
Back
Top Bottom