Search results

  1. N

    Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

    Tupe page Mkuu, wengine tuna maeneo hayana kazi tunaweza kuwa interested
  2. N

    Ni kitu gani unakiona kama udhaifu wako mkubwa hasa kwenye mahusiano?

    Mtu akinikosea simwambii umenikosea namchunia mazima mpaka aanze yeye kuniulizauliza Ila kosa kubwa kadri ya ninavyolitafsiri mimi
  3. N

    Kwanini vijana/watoto wengi waliotumikia Altareni Leo hii asilimia kubwa sio watu wa dini wala kusali

    I second you! Na hata hao anao Refer wote ni pro Christianity Napata shaka na ground yake aliyoisimamia
  4. N

    Ndoa chungu, ndugu wamezidi, nishauri nifanyeje?

    Mmmh punguzeni roho mbaya, duniani tunapita tena kwa mda mfupi sana , Mali zote utaziacha hapahapa hutaenda nazo popote ILA ukisaidia maskini unajiwekea hazina isiyooza.
  5. N

    Ushauri kwa TV1

    Ukiwa na laptop utazifahamu tu mkuu[emoji6]
  6. N

    Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Hapana mpendwa ila dada angetumia jinsi yoyote ila si kumuonesha kaburi,mimi nilifiwa na baba yangu wakati naingia mwaka wa kwanza chuo kikuu, najua jinsi inavyouma yan unatamani mda wote ukakeshe kaburini kwa baba aiseeh! Yan ukiona mtu anapiga simu kwa baba unatamani nawe wako angekuepo. So...
  7. N

    Nahitaji ushauri, mume aliniacha kwa dharau na matusi, sasa anajirudi, nifanyeje?

    Hii comment imenitoa chozi mno,sawa baba amefanya kosa ila kwa kumuonyesha mtoto kaburi akidhani ni mpendwa baba yake amelala pale kumbe si kweli ni ukatili (samahani kama nitakwaza mtu)
  8. N

    Dah, aisee bora miss Tz angekuwa huyu!!!

    Kwa kule kusema Tz tuna unique culture ya kimasai!!?? Akakariri tena labda majibu labda. Miss Tz ni lazima awe upstairs vizuri,mwacheni mtt wa Kino mmasai wetu apumue sasa[emoji57]
  9. N

    Kumbe kutumia mtandao fulani wa simu unaendana na hadhi na kipato chako? Dada ananena..

    Sasa matusi na hasira vya nini wakati michezo hii haihitaji hasira mkuu[emoji4]
  10. N

    Ushauri kwa TV1

    Labda mie sina bandama lakini huyo pilipili hajawahi nichekesha wallahi wala huyo idrisa...tv1 nowdays inaboa hawasikilizi hata ushauri mfano hizo tamthiliya zimeshachosha,bora kujiangalizia movies za laptop huo muda
  11. N

    Nani kamponza Mama Rita Mlaki kumjibu Mange ?

    Mange anatupa fundisho kubwa jinsi ya kulea watoto wetu. Mlee mtt ktk njia impasayo kamwe hatoiacha. Maskini mama ameponzwa na mtoto wa kumzaa!
  12. N

    Tuliochaguliwa Mpwapwa TC tukutane hapa

    Mnakutana kufanya nini
  13. N

    Upi ni uwezo sahihi wa mwanaume anapokuwa faragha?

    Hii ilikua baada ya mda gani tangu uache nyeto vile[emoji4]
  14. N

    Hii ndiyo mitaa inayongoza kwa wizi na wakabaji hapa Dar

    Mswalie mtume mkuu,haya sio ya kuyaombea!
  15. N

    Maelezo ya mwanafunzi aliepigwa na walimu Mbeya

    Ni kwamba one wrong cannot justify the other...adhabu ilikua kubwa coz emotion ya mwalimu ilikua juu...ila haihitaji kuwa na degree ya saikolojia kuona utukutu WA huyo dent...mara aseme eti 'walimu wakaniuliza tuwafanyeje sasa Mie nikawajibu sijui nyie adhavu mnazopeana walimu'...hivi inaingia...
  16. N

    Enzi zangu za Ualimu na nilivyokabiliana na matukio kama ya Mbeya Day

    Najaribu kuwaza adhabu watakayopewa walimu tarajali hawa ikawa chanzo cha walimu wengine 'kuufyata' natafakari PIA na elimu za hizi shule zetu za umma hali itakavyokua. Naungana nawe mkuu,busara itumike badala ya jazba
  17. N

    Mnao penda Horror movies

    Pamoja Na kwamba horror movies nshazizoea mno ILA hizi final destination kila nikiziangalia lazima nisononeke aiseh!
Back
Top Bottom