Search results

  1. buzitata

    Kurudisha uwezo wako wa tendo la ndoa

    Ni kweli asilimia kubwa ya wanaume wamezaliwa na uwezo wa kufanya mapenzi Tatizo kubwa ambalo naona linawasumbua watu wengi ni kukosa hisia na sio kutokuwa na uwezo Tatizo lilianzia pale ambapo tulijiona tunawahi kufika mwisho kabla ya wapenzi wetu jambo ambalo lilitufanya tuombe ushauri Kwa...
  2. buzitata

    Wanawake msiotaka kuwa single mother pitieni hili bandiko

    Wale ambao mshakuwa single Maza poleni sana Sina Cha kuwaambia zaidi ya kuwakumbusha kwamba maji yakishamwagika hayawezi kuzoleka Tena Enyi mabinti Usibebe mimba wakati upo kwenye mgogoro na mwenza wako..jiepushe kadri iwezekanavyo Usibebe mimba wakati ushajua mwenzio anakuhisia vibaya kwamba...
  3. buzitata

    Je, unakumbuka penzi lako la mbali liliishia wapi?

    Habarini Leo nimekaa nikitafakari sana juu ya mambo ya muda kidogo yaliyopita juu ya safari ya mapenzi Miaka ya nyuma lilikua ni jambo la kawaida kuwa na mahusiano na mtu ambaye hujawahi kumuona lakini ukawa na upendo naye sawa na unaishia naye jirani. Nakumbuka wakat fb,bbm,na Whatsapp...
  4. buzitata

    Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

    Habarini na poleni na majukumu Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za kwanini mwanamke anakuwa single mother. 1. Baba mtoto kukataa mimba au mtoto. Kiukweli hakuna jambo...
  5. buzitata

    Wale mnaomiliki TV za flat screen piteni hapa muokoe tv zenu

    Habarini Nitatumia lugha nyepesi Ili Kila mwenye uhitaji aweze kufaidika Kumekuwepo na matatizo mengi yanayoripotiwa na wamiliki wa hizi TV za kisasa hasa kwenye upande wa kioo ama kutowaka kabisa. Naomba niende kwenye chanzo kikuu. Chanzo kikuu kinachoharibu hizi TV ni uwepo wa umeme usio...
  6. buzitata

    Mliozaliwa kuanzia 1990 hadi 1997 someni hapa, msome Kwa umakini

    Habari zenu vijana (Mimi pia ni kijana) Kama upo ndani ya huo umri nilioutaja hapo juu nnaomba unisikilize Kwa makini hasa wale ambao wanajiona Bado ni wadogo. Sasa ivi wewe kijana upo katika umri wa kujijenga kiuchumi wewe pamoja na familia iliyopo kiunoni mwako Leo hii wewe tunakuita kijana...
  7. buzitata

    Haya ndio yanayotukera kutoka kwa vijana waliozaliwa miaka ya 90s

    Hapa nazungumzia hiki kizazi ambacho Kwa sasa ni vijana na wamezaliwa Miaka ya 90. Hawa vijana kiukweli wanakera sana Kwa matendo yao japo Wana mazuri lakini mazuri yao sio mengi kama mabaya yao Yafuatayo ndio yanayotukela kutoka Kwa hiki kizazi. 1. Wengi wao ni wavivu Inashangaza sana kuona...
  8. buzitata

    Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

    Habari zenu Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio...
  9. buzitata

    Ukweli mchungu ili uweze kufanikiwa kimaisha

    Habarin wakuu Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja. Watu wengi tunatamani Sana kufanikiwa kimaisha Ila Kuna Jambo lipo nyuma ya pazia ambalo hilo ndio kikwazo cha watu wengi kuishia kulalamika maisha ni magumu. Kwa miaka mingi tumekua tukihubiriwa kuhusu kufanya kazi kwa bidii, kutunza...
  10. buzitata

    Uzi maalum kwa wale tunaoshindwa kufanikiwa kimaisha hata tukipata hela zinayeyuka

    habarn wakuu Katika maisha suala la kufanikiwa (kuwa na maendeleo) huwa lina mambo mengi sana, kuna wakati unaweza kupata pesa nyingi Ila linapokuja suala la kuwekeza ili pesa ijizalishe au kuwa na vitu fulani huwa kuna changamoto zake jambo linalopelekea kuendelea kuishi maisha yale yale Nije...
  11. buzitata

    Elimu ya bure kwa wanaosaka kazi mitandaoni

    habarn wandugu Ngoja niende kwenye mada direct Kumekua na KAZI nyingi zinatangazwa Sana mitandaoni na nyingi zinakua no nje ya nchi, kutokana na uhaba was ajira pamoja na ukosefu was hela watu wengi wamekua wakihamasika na matangazo yanayotolewa mitandaoni Matapeli wengi wanatumia makampuni...
  12. buzitata

    WanaJF tukutane hapa kuna kikao cha dharula kidogo

    TUMECHEZEWA VYA KUTOSHA
  13. buzitata

    Wanaume tukutane hapa kuna kikao cha dharula

    Unapata Mtoto Mzuri, mrembo ana elimu yake nzuri, anajiheshimu, ana kazi nzuri na pesa anazo. Wewe hutaki unataka tako! kama sio bangi ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
  14. buzitata

    Wanaume wenzangu tokeni nje ya box

    Habarn wandugu Guyz ngoja niende Moja kwa Moja kwenye mada Nimeona wanaume wengi wanaumizwa na mapenzi even me, tunaumizwa kwa kujua au kwa kutokujua Kama tunaumizwa Hawa wanawake saiv sio Kama wale wa zaman so unapokua na mwanamke tafadhari Sana kuwa makin, naomba nitilie mkazo hapa WANAUME...
  15. buzitata

    UFAFANUZI JUU YA KINONDONI

    Habarn wandugu Naona kuanzia wiki iliyopita watu wamekua wakiwasakama Sana wanaume wa dar kisa Hawa vijana wetu kutoka KINONDONI Kwanza kabisa naomba niwatoe hofu wakaz wa dar,. Kipolisi hakuna wilaya ya kinondon Bali Kuna mkoa wa KINONDONI😁😁😁😁. Ukiaply matrix ya kawaida, chukua zile wilaya...
  16. buzitata

    Muendelezo wa maisha ya ubaharia

    Habarin wandugu Leo nmeona nijibu maswali machache ambayo yaliulizwa kwenye thread yang ya Jana na nitaelezea Mambo mengine machache kidogo Namna ambavyo kazi inavopatikana Kuna njia nyingi ambazo mtu anaweza akazifuata mpaka akaweza kuajiliwa kwenye meli Hapa naelezea njia niliyoitumia...
  17. buzitata

    Leo ningependa kushare nanyi juu ya haya maisha ya Baharia

    habar zen wandugu Leo ningependa kushare nanyi juu ya haya maisha Baharia ninayemzungumzia hapa ni Yule anayefanya kazi kwenye meli Kufanya kazi kwenye meli Kuna changamototo nyingi Kwanza zinaanzi namna ya kupata kazi pia kazi yenyew huwa inachangamoto kidogo Nakumbuka first time nilipata...
  18. buzitata

    Huyu ndiye mwanamke anayeumiza watu hovyo

    Habarin wanna jamvi Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja Kila mwanaume anaumizwa na mapenzi ila tunatofautiana ukubwa wa maumivu. Maumivu hayo tunaweza kusema ni ubatizo wa Moto yaani hautokei Mara kwa Mara na ukiona unaumizwa kila mara ujue una kasoro. Kuna wanawake ni wajanja na werevu...
  19. buzitata

    Kumuacha mpenzi unayempenda inauma sana

    Habarn wandugu Tuendelee kukoment sasa
  20. buzitata

    Ni bora kuwa kicheche kuliko yanayonitokea

    Tuendelee sasa
Back
Top Bottom