Search results

  1. Travis Walker

    Kitabu changu cha mwanzo cha biashara

    e Ebook = 5,000 TZS, na kitabu ni $14
  2. Travis Walker

    Kitabu changu cha mwanzo cha biashara

    Habari wakuu. Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kitabu kinachohusiana na biashara pamoja na mafanikio. Kitabu hiki kimekubaliwa kuwa published on Amazon na publishers nyengine zinashirikiana na Amazon ya USA na UK. Kipo digital kwenye Amazon Kindle pia unaweza kupata kopi ya kitabu. Kama...
  3. Travis Walker

    Support my writing with your wisdom

    I've wrote a business book and published it to Amazon Kindle. I've tried to write about financial success and business. My available in digital format and also paperback (physical book). You can get your copy as just as little for $2.99. Help me to show your support, Thank you. Anyone...
  4. Travis Walker

    Hoja zinazofundua akili: Uwepo wa Mungu na dalili zake

    TUCHUKULIE KUWA HAKUNA MUNGU Ikiwa Mungu hayupo mimi, wewe na vinavyotuzunguka as a nature pia vingekuwa havipo kabisa. Na kwanini labda ninasema hivyo. Vizuri, nina hoja muhimu sana. Tuchukulie tunakubaliana na wanasayansi kuwa sisi tulikuwa nyani au sokwe kama ilivyo elezwa kwenye vitabu vyao...
  5. Travis Walker

    Ufahamu na mashaka juu ya kusafiri kwenye muda yaani Time Travelling

    With highest technology right now. Vingi utavyo tazama katika mfumo wa mwangaza na kivuli yaani video basi upo uwezekano wa kuwa ni fake
  6. Travis Walker

    Je, unajitaji website au tovuti?

    Matarsoft inatoa huduma ya kutengeneza tovuti au website kwa wafanya biashara, kampuni na kwa wajasiria mali. Biashara yako inahitajia website kuonekana professional. Pata huduma yetu kwa kutembelea tovuti yetu Matarsoft.com Au tuma barua pepe, kwenda hello@matarsoft.com Au Wasiliana nasi...
  7. Travis Walker

    I seek guidance please: Is Jesus 100% God or 100% Man?

    Unajua ndugu zangu wakiristo kuna jambo hawakulifahamu kabisa. Jesus hakuwa mungu in any way, na wala hakuwa na uwezo wakubeba uungu kwa njia yoyote kwa uhakika but alikuwa ni binaadamu aliezaliwa na mwanamke. Kwasababu before Jesus na hata kabla ya dunia, Mungu alikuwepo. Na walipita watu...
  8. Travis Walker

    Solve if you are genius.

    Yeah ni kwasabau kwa watu wengine ni rahisi na kwa watu wengine ngumu at the same time
  9. Travis Walker

    Solve if you are genius.

    X = 14,400. Sana nategua kitendawili nyuma ya pazia na ninakupa faida. Unahitaja watu 14,400 kuona bidhaa yako ili kupata wateja 720. Jee ulikuwa unalijua hilo?
  10. Travis Walker

    Solve if you are genius.

    If 5% of X is 720. Then what the number will be equal to X? The hardest and easiest mathematical equation ever.
  11. Travis Walker

    The one thing - Mafanikio ya kila kitu

    Ndio mkuu ila the one thing haijamaanisha maisha yako yote ufanye jambo moja bali imemaanisha fanya moja mpaka liishe na lifanikiwe ndipo uanze jengine
  12. Travis Walker

    Saikolojia ya mwanamke - Fahamu kuhusu mtoto wa kike

    Ni kweli lakini Mkuu usisahau kama kuna urithi wa DNA Pia.
  13. Travis Walker

    Saikolojia ya mwanamke - Fahamu kuhusu mtoto wa kike

    Saikolojia ya Mwanamke Maelezo haya yanatoa mafunzo kuhusu tabia na akili ya mwanamke wakati anapoingia katika mapenzi na mwanaume. Na hasa mwanamke anapokuwa mrembo, fahamu atakujaribu bila hata ya yeye mwenyewe kujifahamu. Ukiweza kufaulu kwenye majaribu hayo, she feels like wow na anaanza...
  14. Travis Walker

    The one thing - Mafanikio ya kila kitu

    Habari, natumai ni wazima nyote. Mimepamiss hapa Jamii Forums kwasababu nina muda mrefu sija post chochote na inatokana na maisha na ubize ila sio shida leo nimekuja na kanuni ya "The one thing". Hivi karibuni nimesoma kitabu kinaitwa hivyo "The one thing". Waandishi ni "Gary Keller" na "Jay...
  15. Travis Walker

    Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

    Mkuu bila hiyo damu mfupa usingepatikana na kama utasoma vizuri bones formation system utajua ya kwamba mifupa inakuwa baada ya stage na sio simultaneously kama unavyosema. Halafu hiyo damu haiwezi kuwa pande la nyama isipokuwa inapitia katika process ya mgando. Na ndio maana imeandikwa kuganda.
  16. Travis Walker

    Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

    Hata hivyo kitabu cha Qur’an sio kitabu cha sayansi bali ni kitabu chenye muongozo wa maisha. Lakini hiyo Camera unayoifahamu pengine isingezumbuliwa kama Ibn alhaytham ambae ni muislam asingeanzisha concept mpya ya jicho linavyoakisi mwanga katika kitabu chake kinachojulikana kama the book of...
  17. Travis Walker

    Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

    Na kwa hakika tumemuumba binaadamu kwa asili ya udongo - Quran 23: 12 Kisha tukamjaalia awe mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti - Quran 23: 13 Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika...
  18. Travis Walker

    Sayansi ya uumbaji ndani ya Qur'an/Koran: Sehemu ya 01

    Kabla hata Yesu kutoweka duniani warumi na wale wa Israel vibaraka kwa warumi walimchukia Yesu kwasababu ya kumtangaza Mungu wa kweli. Kwa kipindi hicho tukumbuke ya kwamba dola ya kirumi ilikuwa ikitawala kiasi kikubwa duniani na wao walikuwa wana kawaida ya kulazimisha watu kuabudu miungu yao...
  19. Travis Walker

    Fahamu matajiri watano (5) wenye hela ndefu duniani

    Hao Matajiri wa dunia wakubwa Mo ni billionaire mdogo sana ukilinganisha watu huko duniani
Back
Top Bottom