Search results

  1. kalanga1

    Kuna kinyama kinaning'inia sehemu ya haja kubwa, naombeni msaada

    Habarini wapendwa, naombeni msaada wenu, kipindi cha nyuma mimi niliwahi kusumbuliwa na tatizo la umeng'enyaji chakula, nilikuwa najisaidia choo kigumu sana, nikaambiwa na doctor kuwa nina tatizo kwenye mfumo wa umeng'enyaji chakula, chakula hakimeng'enywi inavyotakiwa, nikapewa dawa tatizo hilo...
  2. kalanga1

    Naombeni msaada wa kiafya kuhusu afya yangu

    Nisiwachoshe, mimi ni mwathirika wa ukimwi, niligundua muda tu, sasa kutokana na zile post za yule jamaa kwamba dawa ndio zinaenda kukimaliza nikamfata yeye, sijawahi kutumia ARV, nikawa tu najitahidi kula vizuri. Nilihakikisha nakula milo mingi zaid na matunda na maji mengi, bwana wee hapa...
  3. kalanga1

    Msaada wenu kuhusu android Radio za kwenye gari

    A. alaykum, za leo ndugu zangu? Naombeni msaada wenu, mimi nataka nifunge Android redio kwenye gari pamoja na zile Tv za nyuma ya siti lakini nashindwa kujua kampuni ipi ni bora na ipi ni fake, nimejaribu kwenda kariakoo nimepita kuuliza zinacheza kwenye laki na nusu hadi laki na 80. Nikija...
  4. kalanga1

    Hiki kidonda nateseka sana nikienda haja, mwenye kujua dawa ya kuharisha

    A.alaykum wakuu, ninaomba msaada wenu jamani kwani ninapitia magumu sana, niende moja kwa moja kwenye mada . Kama mwezi mmoja umepita kuna siku nilienda haja kubwa, wakati najikamua nikapata maumivu kama nimechanika na kweli kinyesi kikatoka na damu kidogo... Nilirudi nyumbani kujichunguza...
  5. kalanga1

    Ukiwa unaweka mafuta full tank inapunguza ulaji wa mafuta kwenye gari?

    Habarini wapendwa, Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada, je gari ukiwa unaweka full tank na sio ya mafuta ya buku kumi kumi inapunguza ulaji wa mafuta? Yaani kuna mtu kanishauri gari yangu niwe naweka full tank siku ikikaribia kuisha najaza tena eti nisiwe naweka ya buku kumikumi...
  6. kalanga1

    Nina maumivu ya kifua

    Habarini wapendwa, Naombeni msaada, Ni takribani miezi miwili sasa nasikia maumivu katikati ya kifua changu, yaani sehemu ambapo mbavu za pande mbili zinapokutana sjui ni nini hasa, inanitokea nikiwa nainama au nimejikunja au nikiwa nanyanyuka wakati mwingine nikiwa nimekaa tuu inatokea...
  7. kalanga1

    Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

    Habarini za jioni wapendwa, Mmoja kwa moja bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Naomba mwenye uelewa kuhusu TOYOTA BREVIS yenye cc 2490 aniambie inakulaje mafuta? Yaani nataka kujua lita moja ya mafuta inaenda km ngapi? Ahsanteni wapenzi
  8. kalanga1

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Habari wanajamvi, Nimetokea kuipenda sana gari toyota IST. Kilichonifanya niipende ni ulaji wake wa mafuta, haina gharama kwenye mafuta. Sasa swali langu je mtu akiamua kusafiri na IST kutoka DAR kwenda Mwanza atatoboa? Nisaidieni please. Kama kuna mwenye ushauri pia niambieni
  9. kalanga1

    Msaada: Nasikia kama kichomi fulani katika ya mapafu yaani kifuani

    Mwenzenu kuna kitu kinaniuma lakini sijui ni nini, leo ni weak ya pili sasa, yaani kifuani katikati ya mapafu nasikia kama kichomi flani hivi. Sijawahi kupata tatizo hilo tangu nizaliwe. Sasa juzi nipo ofisini nimekaa gafla kikaanza, kilianza kwa kasi kilikuwa kimenikamata haswaa, ikabidi...
  10. kalanga1

    Jinsi gani ya kuficha location yangu kwenye simu?

    Habari wanajamvi wenzangu, Nimepatwa na matatizo kidogo naomba msaada wenu wa haraka sana. Week kama moja iliopita nilikuwa na ugomvi na mtu ikapelekea nikamtukana sana na pia nilimwambia maneno ambayo akitumia sheria atanifunga. Sasa huyo mama kaenda police kafungua kesi, nikaitwa sikwenda...
  11. kalanga1

    Ni dua gani ya kumuombea mtu aliokudhulumu ili apate mikosi?

    Wakuu kwanza samahanini kwa kuwasumbua, Pili. Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri wenu kwa kilichonipata. Nitaenda kuwahadithia kwa kifupi sana . Mimi ni kijana wa kiislamu, naishi Dar, mwezi mmoja uliopita au mwezi na nusu nilidhulumiwa pesa tsh 2.7M ( million 2 na laki 7 ) sikwambii maumivu...
  12. kalanga1

    Namna gani ya kutunza bastola?

    Habari zenu wanajamvi, naimani mko poa sana, kwa ambao hamko poa nawaombea kwa mungu awasaidie mrejee katika hali zenu.... Bila kupoteza muda niende kwenye swali langu la msingi, kama ukibahatika kumiliki bastola kihalali na uwe na vibali vyote inajulikana kuwa ni kosa kuiweka hadharani...
  13. kalanga1

    NASHINDWA KUCHANGE EMAIL

    Habari za sikukuu wapendwa, Sorry Mbona me nashindwa kubadilisha email??? Naenda pale kwenye update email naweka email ya zamani. Naweka na mpya ila nikiupdate inakataa. Hainipi jibu lolote
Back
Top Bottom