Search results

  1. S

    Kuhusu NMB

    Kaka/dada Ni kweli unayongea lakini pia lazima ufahamu si wote wamesoma Tanzania ama kufanya kazi Tanzania. Swala la mshahara linatemeana na nchi. Nami ndo nipo ktk research angalau ya kuwa na namba ya makadilio ili nione kama kuna tija. Kifupi, sifanyi kazi Tanzania ninacho fahamu mishahara...
  2. S

    Kuhusu NMB

    Mkuu kwani tatizo liko wapi?
  3. S

    Kuhusu NMB

    Wanabodi nimekuwa nikiwasoma ktk janvi hili nikiwa nje ya wa uwanja, kwanza nawaomba mnisamehe kwa thread yangu ya kwanza kwa kuunza na swala la kutaka msaada. Ombi langu kuu, ni kunifahamisha tu kiwango cha mshahara NMB, kwa fani ya IT nikiwa na masters, na kauzoefu ka mwaka 1-3. Najiaanda...
Back
Top Bottom