Search results

  1. ECONOMY

    OPEC kupunguza uzalishaji wa mafuta, USA yagoma

    Nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC zilitangaza mnamo mwaka 2020 hatua ya kupunguza kwa kiasi kikubwa usambazaji wake duniani huku kukiwa na wasiwasi juu ya ongezeko la mfumuko wa bei. Hatua hiyo imeongeza mpasuko wa kidiplomasia kati ya kundi linaloungwa mkono na Saudi Arabia na...
  2. ECONOMY

    HOTUBA YA MBATIA YANISHANGAZA SANA.

    Habari wanajamvi hili juzi nilimsikia mwenyekiti wa NCCR Mageuzi akisema Kesi ya Mwenyekiti Wa Chadema ndugu Freeman Mbowe Haina maslahi kwa taifa. Mshsngao wangu ni kwamba je kesi zetu sisi raia wa kawaida zinamaslahi na taifa? Je mbatia alishatembelea magerezani na kujionea watu...
  3. ECONOMY

    CHADEMA na vyama vya upinzani mnataka nini nchi hii?

    Habari wanajamvi nimekuwa kwenye sintofahamu kubwa katika nchi hii ya Tanzania kwa kuwafikiria vyama vya upinzani nini hasa hitajio lao ili tuwape nchi. Kwa mfano Kipindi cha Hayati Rais Magufuli yupo hai chadema na vyama vya upinzani walikuwa wanaikosoa serikali kwamba haliichukulii kwa uzito...
  4. ECONOMY

    Athari za matumizi ya orodha (multiplication table) katika madaftari ya wanafunzi shuleni

    Ndugu wanajukwaa habari zenu. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi Tanzania nimekaa nimetafakari matumizi ya hizi orodha katika madaftari ya wayoto wetu nimegundua yana athari mbaya sana kiaalum hususan somo lenyewe la hisabati. Kwa mfano tu juzi nilimpa mwanafunzi wangu zoezi la hisabati za...
  5. ECONOMY

    Uefa

    Kama ww mshabik wa man Pia mshabik wa Juve jisemee kimoyomoyo lever yenu Ligi kuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ECONOMY

    Naombeni ufafanuzi

    *TAARIFA KWA UMMA* Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu Wateja wake wote wanao tumia mita za malipo ya kabla yaani (LUKU) kuwa, kuanzia April 2, 2018 TANESCO itahamia rasmi katika mfumo wa malipo wa Serikali ujulikanao kama Government e-Payment Gateway (GePG) kama matakwa ya...
  7. ECONOMY

    Wahenga

    *Kama umetumia kalamu (pen) hzi..* *1.BIC.* *2.BEIFA.* *3.CELLO.* *Usiseme tena #wahenga walisema,,.Sema wahenga tulisema....* *[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
  8. ECONOMY

    Siasa za Bongo zinanishangaza sana

    Habari wanajamvi.huwa mimi Nawashangaa Wanaobaki CCM Leo Ila Wakisurubiwa Wanakiponda Chama. Ila Nawashanga Zaidi Wa Upande Wa Pili Wanavyowapokea Na Kuwasafisha.kabda ya hapo walikuwa wanawasema sana
  9. ECONOMY

    Mwenyekiti wa CCM Dodoma ashangaa jina lake kutajwa kwenye list ya waliofoji vyeti

    Habari za asubuhi wanajamii forum. Leo kipindi nasikiliza magazeti radio .Nimesikia mwenyekiti wa CCM Dodoma anashangaa jina lake kutwajwa kwenye list ya waliofoji cheti cha elimu ya kidato cha nne ilihali yeye hajawahi kusoma elimu ya kidato cha nne. ========
Back
Top Bottom