Search results

  1. ECONOMY

    Hata kama kazi inaendelea. Mbona hatuoni miradi mkakati mipya zaidi ya kujikongoja kumalizia miradi aliyoasisi Hayati Magufuli?

    Yaani huanzishe miradi mingine ndio afya hiyooo.hii yenyewe tu tunajuta
  2. ECONOMY

    ACT Wazalendo kuzindua makao makuu mapya

    acheni mfano kanda ya pwani ofisi iko wapi?
  3. ECONOMY

    Maxence Melo: Hakutakuwa na haja ya visimbuzi vingi tena baada ya miaka 5

    Sasa huo ukabila wa nini kwenye mambo ya msingi? Kwani wewe huwezi kuongea mpaka utaje kababila la mtu?
  4. ECONOMY

    JPM aliweza Live!,Je! SSH anaogopa nini?

    Rais hapaswi kudeal na kesi za mtu mmoja mmoja ndio maana SSH akifika anamhoji mbunge au mkuu wa mkoa hawa ndio walioshika mahitaji ya sehemu zote.Shida za mmoja mmoja mwananchi inabidi asiwasilishe kwa viongozi wa ngazi ya chini.kama hajatimiliziwa mahitaji yake sasa hivi kuna media nyingi sana...
  5. ECONOMY

    Kumbe ACT-Wazalendo wamepanga nyumba ya Maalimu Seif

    Chadema ni kama vile waganga wa kishua vile
  6. ECONOMY

    Baadhi ya vituko vya wana CCM ya Magufuli vs CCM ya asilia

    Wewe mbona uchaguzi wa 2020 mliuharibu kama unaongea ni sahihi?
  7. ECONOMY

    Waziri Makamba pigia kampeni mkaa wa mawe na siyo gesi ya Rostam Aziz

    Yaani sisi tutumie mkaa wa mawe?
  8. ECONOMY

    Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

    Kwa hiyo wewe wapinga kukauka kwa mito?
  9. ECONOMY

    Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

    Inchi hii inawatu wanafki na waongo kabisa .mtu unaongea bila wasiwasi eti mradi umesuswa? Kwani hayati aliucha katika asilimia ngapi? Miongoni mwa dalili ya afya ya akili kumchukia mtu bila sababu.wewe unamchukia mama bila sababu za msingi. N.B acha chuki za kidini,kikabila,na kikanda.
  10. ECONOMY

    Chato Hospital Legacy ya Hayati Magufuli inazidi kusambaa, pamoja na jitihada za kuipotezea

    Kwani bandari ya bagamoyo iliyopigwa chini ilikuwa ni mali yake binafsi?
  11. ECONOMY

    Ziara ya Rais Ruto: Yule Mkalimani achukuliwe hatua za kinidhamu!

    Mawasiliano gani? Kwani huyo mkalimani alikuwa anatumia radio?
  12. ECONOMY

    Juhudi zipi za kidiplomasia zilitumika kuizuia vita ya Kagera?

    Mwili wa milton obote uliletwa uganda?
  13. ECONOMY

    Juhudi zipi za kidiplomasia zilitumika kuizuia vita ya Kagera?

    Na hizo ndizo sababu zilizomponza.Wanaomsema Idd Amin vibaya swali la kutumia tu akili wangejiuliza wangetambua ukweli."KAMA IDD AMIN ALIKUWA ANAKULA NYAMA ZA WATU,ALIKUWA AKIUWA WATU,SLIKUWA AKITESA WALEMAVU.JE KWANINI MPAKA ANAFARIKI HAKUWAHI KUPELEKWA MAHAKAMA YA UHALIFU YA KIMATAIFA (the...
  14. ECONOMY

    Juhudi zipi za kidiplomasia zilitumika kuizuia vita ya Kagera?

    Mwisho wa comment yako unasema umesikia eti.sasa hapa unaleta habari za kusikia?
  15. ECONOMY

    Uhuni: Korosho sasa kusafirishwa kwa malori kwenda bandari ya Dar es Salaam

    Kama meli inayobeba hizo korosho ipo Dar na pia mfanyabiashara mwenyewe ndio kaamua kutumia bandari ya Dar.sasa wewe inakuuma nini? Kwani korosho hazijanunuliwa?
  16. ECONOMY

    OPEC kupunguza uzalishaji wa mafuta, USA yagoma

    Opec wana roho mbaya sana
  17. ECONOMY

    OPEC kupunguza uzalishaji wa mafuta, USA yagoma

    Nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC zilitangaza mnamo mwaka 2020 hatua ya kupunguza kwa kiasi kikubwa usambazaji wake duniani huku kukiwa na wasiwasi juu ya ongezeko la mfumuko wa bei. Hatua hiyo imeongeza mpasuko wa kidiplomasia kati ya kundi linaloungwa mkono na Saudi Arabia na...
Back
Top Bottom