Search results

  1. K

    Garca Machel aingizwe kwenye kitabu cha dunia cha Guinness

    Wanajamvi ninashauri Mama Graca Machel aingizwe kwenye kitabu cha watu waliovunja rekodi cha Guinness kwa sababu ni mwanamke aliyeolewa na marais wawili na ni mjane wa marais duniani. Nadhani hii ni moja ya rekodi kubwa duniani. Naungana na wapenda amani na uhuru kuomboleza kifo cha Mzee Mandela.
  2. K

    NIDA yapewa mkopo wa 87 bilioni kujenga kituo cha kuhifadhi taarifa za watu

    Serikaliya Jumhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa(NIDA) imepata mkopo wa masharti nafuu wa Sh. bilioni 87 KoreaKusini kupitia Benkiya Export Import ya Korea (K-EXIM). Niishukuru Serikali ya Korea na kuwaomba NIDA kukamilisha ujenzi wa kituo hicho mapema ili...
  3. K

    Sheria ya gari kugonga treni ibadilishwe

    Madereva wa treni wa treni wanatumia vibaya kinga ya kutogonga kwa kuwagonga magari, pikipiki, baskeli na waenda kwa miguu kwa kuwa wana kinga na hivyo kusababisha kupoteza nguvu kazi ya Taifa. Ninashauri treni inapogonga trafiki wapime kama wana makosa nao wafikishwe mikononi mwa sheria.
  4. K

    Tujenge reli ya treni ya umeme si hizi za kizamani

    Kama serikali ina fedha za kujengea reli kwa nini tusijenge reli ya treni za umeme ambayo ni ya kisasa na ambayo ni lazima tutaihitaji baada ya miaka michache ijayo.
  5. K

    Naibu Spika Ndugai si mzalendo

    Kitendo cha Naibu Spika, Job Ndugai kushahabikia katuni ya kukashifu Bunge iliyochapishwa na gazeti la Kenya kinaonyesha jinsi asivyo mzalendo kwa nchi ya Bunge analoliongoza.
  6. K

    Kwa nini Wizara ya Elimu istandardize matokeo ya kidato cha 4 wakati tume haijamaliza kazi?

    Nimeshangaa kusikia kwamba tume ya kuchunguza kushuka ufaulu wa kidato cha nne hajamaliza kazi yake na itatoa mapendekezo zaidi ya 130 lakini wakati huohuo tayari Wizara ya Elimu imetangaza kwamba inafanya standardization ya matokeo hayo jambo ambalo ni moja tu ya mapendekezo 130 yanayotarajiwa...
  7. K

    Prof. Lipumba ana uhusiano gani Ponda?

    Ninefungua gazeti la Mwananchi nikakutana na kichwa cha habari "Ponda bado ngangari" mbele ya hiyo headline kuna picha ya Lipumba na ndani ya hiyo habari kuna maoni ya Lipumba baada ya maelezo ya Ponda.
  8. K

    Wabunge waangalia taarifa zao kibao kwenye Vitambulisho vya Taifa

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo wamejiridhisha kuhusu wingi wa taarifa zilizomo katika Vitambulisho vya Taifa. Hii imefanyika katika ukumbi wa Msekwa mara baada ya Spika wa Makinda kuwatangazia wabunge ambao hawajachukua vitambulisho kuchukua vitambulisho vyao na ambao...
  9. K

    Precision Air acheni kunyanyasa abiria wa Mtwara

    Kampuni ya Ndege ya Precision Air ina wanyanyasa abiria wa wanaokwenda mkoa wa Mtwara. Hii nimeishuhudia mwenyewe leo abiria hao ambao walikuwa waondoke saa tatu (3) asubuhi matokeo yake wakaambiwa wataondoka saa 9 mchana mara saa 10:30 na matokeo yake wakaambiwa hakuna usafiri na kupewa vyumba...
  10. K

    Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

    Nimesikitishwa na kauli zilizotolewa na wabunge Halima Mdee (CHADEMA) na Esther Bulaya (CCM) kusema kwamba wanataka KUMNASUA Elizabeth Machael (Lulu) anayetuhumiwa kusababisha kifo cha Kanumba. Kama wabunge walitakiwa kutumia busara kwa kuacha upelelezi huru na kutoingilia uhuru wa Mahakama.
  11. K

    Joshua Nassari usiwalaghai wapigakura Arumeru Mashariki

    Sasa hivi Nassari anaomba kura kwa kubeba vichanga mbona hakufanya hivyo kabla ya kugombea?
  12. K

    Mtu anapozaa na bintiye mtoto wake anamwitaje?

    Nimesoma gazeti la Rai la leo kuna habari kwamba kuna mwanamume mmoja alimpachika mimba binti yake na amejifungua mtoto. Ninajiuliza huyo mtoto anamwita Babu au Baba?
  13. K

    Jerry Muro usipokee Tuzo ya Mwandishi Bora 2009

    Ninamshauri Jerry Muro asipokee tuzo ya Mwandishi Bora wa Mwaka 2009 aliyopokwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa sababu walimhukumu kabla ya hukumu ya Mahakama jambo ambalo ni udhalilishaji wa hali ya juu.
  14. K

    Watanzania hawataki Katiba Mpya wanataka kujikwamua kwenye umasikini

    Hivi sasa jambo linalopigiwa kelele ni Katiba mpya. Binafsi ninaona kwamba hili suala ni la kisiasa zaidi na si la msingi kama kupambana na kuondoa umasikini, ujinga, ukosefu wa umeme, maji na huduma za afya. Hivyo ninaomba wanasiasa wajikite kutafuta umasikini na njaa walizonazo wananchi.
  15. K

    CHADEMA wanafanya adabrakadabra

    Imeelezwa Bungeni kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanafanya adabrakadabra, yaani wimbo wa mazingaombwe (kiini macho) kwa wananchi ili waamini wanayosema wakati si kweli. Wabunge waliochangia wanasema baadhi wa wanaCHADEMA ni madalali wa siasa waliofadhiliwa kuvuruga amani...
  16. K

    Wabunge kuweni serious

    Wabunge wengi hawapo makini na hawafuatilii masuala nyeti kama sheria ya ununuzi yanayowasilishwa bungeni na badala yake wamekuwa wakipiga stori ndani ya Bunge na kugeuza na kugeuza sehemu hiyo kama kijiwe.
  17. K

    Maneno ya Pinda yametia

    Wakati wa Bunge la bajeti wabunge wa CHADEMA isipokuwa Shibuda waligoma kuchukua posho za vikao, katika maswali ya papo kwa papo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipoulizwa kuhusu suala la posho kusitishwa alisema ni la kisheria na wapo wabunge wa CHADEMA wanaozitolea macho na wanataka ziongezwe...
  18. K

    'Rais' Miss Utalii ameiaibisha Tanzania!

    Nimesikitishwa kusoma na kuona habari katika picha katika gazeti la Mwananchi la leo ukurasa wa saba (7) Rais wa Miss Utalii, Gidion Chipungahelo akipigana na mmoja wa Majaji wa Shindano hilo kwa kutaja mshindi tofauti. Miss Utalii kama lilivyo shindano hilo ni moja ya njia za kutangaza utalii...
  19. K

    Kilio cha Nape kisipuuzwe

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesikika akisema kwamba kuna watu wanataka kutoa roho/kumuua. Kimsingi mtu mzima hawezi kutoa malalamiko hayo hadharani kama hakuna dalili au taarifa za kuumwa sikio kuhusu suala hilo. Ni vyema Jeshi la Polisi wakafanya kufuatilia taarifa hizo.
  20. K

    Kujiuzulu kwa Ngeleja ndio suluhu ya mgao wa umeme?

    Vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali ya leo vinasema "Zitto, Makamba wamkalia kooni Ngeleja" kimsingi wabunge hao wanataka Waziri huyo wa Nishati na Madini ajiuzulu kwa kile wanachosema kwamba ameshindwa kutatua tatizo la mgao wa umeme. Mmoja akisema maoni yake si ya kulenga kufikiriwa...
Back
Top Bottom