Search results

  1. slimdaddy

    SHOBO ZA MASTAA WETU KWA WASANII WAKUBWA MITANDAONI

    kama hilo bichwa hapo juu linavosema sitaki nikwepesh kwepeshe maneno ni mda sas nimekuwa nikijiuliza juu ya wasanii wetu wa hapa tz katik mtandao wa instagram ni vigumu sana ukiweka comment kweny post yake akakujibu labda uwe umemtukana ndo utajibiwa bila ya hivo hawajib cjui ndo hawasomi me...
  2. slimdaddy

    msaada namna ya ku burn window kwa ashampoo9

    samahn wakuu naomb msaada,nielekezwe namna ya kuburn hii copy ya window nime ihifadhi kweny pc xax nimejaribu nimeshidwa natumia ashampoo9
  3. slimdaddy

    Nimenusurika kususiwa mke wa mtu

    Habar za muda huu wadau, Kama kichwa kinavosema, nimekaa nimefikiria kuna siku nilikiwa nimesafiri nimetok nje ya mkoa ninaoishi, sasa nikiwa huko nilikaa kama wiki tatu, ila kuna siku nipo nimetulia sehemu baada ya mishe zangu nikaona simu inaita ile nimepokea ilikuwa ni simu ya jirani yangu...
  4. slimdaddy

    iphone8 vs samsung s8

    kwa akina dad ambao mlikubali kuachia bikra zenu ili mradi na ww umiliki smartphone aina ya tecno p3[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nakupa polee xana mana i phone 8 na s8 ndo zinakujaaaaaa[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32] RUKSA kama ni girl kuchangia uliachia bikra yakk kwa ushawish...
  5. slimdaddy

    Watalaam wa window installation pls msaada

    husika na kichwa,nlikuwa naplay game ya gta xax ikasumbua ikanibid niformatt hard d na kuinstall window7 ultmate lkn kwa sas nikifungua ile game ya gta inanambia can not find enough available video memory naomba msaad juu ya hilooo tafadhali ntashukur nikifanikiwa pia na sound driver...
  6. slimdaddy

    weye ufahamu pc game

    habar za ucku huu wadau nina omba msaada kwa wale ambao wanaweza wakawa wanaelewa juu ya tatizo hil,nkikuwa nmeinstall gta nikacheza mda flan nka istpisha xax betri ilipoisha chaji ikaizm pc so nikaiwasha ikawa inawaka lkn inazuiliwa na ile game so nkaifomatt pc then nka install window ila kwa...
Back
Top Bottom