Search results

  1. F

    Ongezeko la Posho za Wabunge ni Wizi na Dhulma dhidi ya Wafanyakazi

    ndio maana sasa hivi madaktari,maprofessor na wanataaluma wengine wanapiga kumbo taaluma zao wanageukia ubunge kwani kama kuna watu wa form4 wanapata mamilioni kwa siku tena kwa kulala usingizi na kuunga mkono hoja,kuna haja gani ya kuhangaika na chaki,kusumbuka na wagonjwa,kubaki mavyuoni...
  2. F

    Toka bungeni leo: Muswada umepitishwa... Nini hatma yake?

    wabunge wa viti maalum CCM,kama kawaida yao wanaongeza idadi ya wazomeaji,wapiga vigelegele,wasiinziaji ,waunga mkono hoja kandamizi,wajaza nafasi na sifa zingine mbaya kama hizo.
  3. F

    Bungeni: Mwigulu full mipasho, Wassira na wengine waendeleza (Nov 16)

    msiwashangae sana kazi yao kubwa ni kulala usingizi bungeni na mipasho,kama ulidhani wapo kwa ajili ya umma ndugu yangu nakupa pole sana
  4. F

    Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

    kazi ipo kwa magamba manake zamani mtaji wao mkubwa walikuwa wanawake,wanawadangaya sana lakini wanawake wa Arusha wametuonyesha kwa vitendo kuwa hawadanganyiki.
  5. F

    Anna Makinda alistahili kuongoza hoja ambayo yeye binafsi ana upande? Naomba mwongozo

    kwani yupo kwa maslahi ya wananchi au magamba?
  6. F

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    wabunge wa magamba wapo kwa ajili ya kulinda maslahi ya magamba na sio maslahi ya umma na hata humu JF kuna vibaraka wa magamba kama walivyokuwapo vibaraka wa utawala wa ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini.
  7. F

    Dodoma: Wabunge wadai nyongeza ya Posho na Mishahara yao kwa Hoja Dhaifu

    basi kama wanaona wanalipwa kidogo waandike barua ya kuacha kazi kwa umma uliowachagua na kila mmoja alipe fidia ya mshahara wa mwezi mmoja ili tufidie gharama za uchaguzi mpya.waongezewe mshahara kwa kazi ipi wanaotufanyia zaidi ya kutunyonya na kutuibia haki zetu za msingi.mbona wengi wao...
  8. F

    Zanzibar wapeleka barua UN kuvunja Muungano

    bora wajitenge ila hawana haja ya kwenda UN maana UN hawajatuunganisha
  9. F

    Kudai haki

    Hivi kudai haki ni uvunjifu wa amani?manake wanaodai haki siku zote wanatajwa kuwa wanahatarisha amani
  10. F

    Mh. Kikwete bora ulishindwa 1995

    Mwalimu Nyerere alisema ili nchi iweze kuendelea ni lazima kuwepo vitu vinne,ARDHI,WATU,SIASA SAFI na UONGOZI BORA.Sasa hapa tuna watu wa kutosha na ardhi iliobarikiwa na Mungu kwani ina utajiri wa kupindukia tatizo ni SIASA ZA MAJI TAKA NA UONGOZI MBOVU.Nawasihi watanzania wenzangu tumuenzi...
  11. F

    Tanapa ajira- who know you?? Bila kimemo huajiriwi, mh ezekiel maige unajua hilo??

    sio TANAPA tu CAG pia wawachunguze NGORONGORO CONSERVATION ndio kuna uwozo uliokubuhu kama wewe sio wa ukoo wa kigogo sahau kupata kazi ngoro*2consvation hata kama una sifa zote zinazotakiwa
  12. F

    Mgeni

    Nawashukuru sana kwa ukarimu wenu
  13. F

    Mgeni

    Habari wanaJF! Ninafuraha kujiunga ktk mtandao wa jamii naomba ushirikiano wenu
  14. F

    Mgeni

    Habari wana Jf! Ninafuraha kujiunga ktk mtandao wa jamii naomba ushirikiano wenu.
Back
Top Bottom