Search results

  1. J

    Sam Maela anastahili African Journalist Award 2013?

    Mi mwenyewe namkubali sana huyo jamaa
  2. J

    Kibanda - Sio Ufisadi, Ni Urais 2015

    rostam angekua na Power amgekimbia nchi. Fikiria kabla ya kutenda mzee, mchango wako hafifu. Tafakari
  3. J

    Kesi ya Rwekatare polisi yakwaa kisiki; mahakama yachefuliwa na mwenendo wa kesi?

    jichi la tak* cunyamaze tu naona kama jicho lako linatema harufu ya kin*esi
  4. J

    Tamko la Maaskofu kuhusu uchinjaji na hali ya mwelekeo wa kisiasa nchini

    acha kulazimisha upande wako kichwa mbovu. kwanini unataka kuelekezaatokeo ya uchunguzi kama unavyotaka wewe ch....z. Hata kuuawa kwachungaji unataka kuwatoa waislam. ajabu! Tatizo jina lako.
  5. J

    Kamishna Chagonja aruhusu polisi washughulikiwe

    Hapa kuna bomu linatengenezwa, tena kubwa balaa!
  6. J

    Hawa warembo wa Jeshi la nchi gani ??

    1954 unanishangaza, kuhusisha chadema na urembo. Mmh hawa watakuwa ma body guard wa gadafi!
  7. J

    Elections 2010 PICHA: Kikwete alivyofunika jana huko Mwanza

    lets 31 oct, ng'ombe atakavyotaga, simply mkuyu utakavyoangushwa na panga! chadema ndiyo mpango mzima!
  8. J

    Kulikoni mwananchi ya leo tarehe 27/10/2010

    HAMNA JIPYA HABARI LEO, MBONA MSIANDIKE GHARAMA ZA MATUNDU YA VYOO AHADI ZISIZOISHA ZA dr KIKWETE, BADALA YAKE MNAANDIKA HABARI ZILIZOKUFA! MHARIRI HEBU TUMIA TAALUMA YAKO KUAPROVE HABARI MPYA NA MOTOMOTO.
  9. J

    Kulikoni mwananchi ya leo tarehe 27/10/2010

    There will be always negative attitude towards chadema in habari leo and daily news coz kikwete owns them, so don't ask anymore, you have all you need to know. Mwananchi is the only true and hero in tz hottest news. Big up mwananchi, big up the citizen, keep it up!
  10. J

    Elections 2010 Mgombea CCM aliyempiga OCD naye akamatwa

    Hii inakuaje kisheria, is that mean shibuda will not be in a campaign rally until the ellection day? If it happens he win the ellection, will his candidacy be elligible? Wadau nisaidieni.
  11. J

    Kwa wanaofuatilia muvi za Kibongo.

    like you name, faithful. unadhani wangapi tanzania hii wanaojua kiingereza. market yao kubwa iko bongo na wengi ni waswahili waliokosa fursa ya kusoma kama, hebu toa upuuzi wa mvuto and be real F..ful.
  12. J

    Elections 2010 Nilikuwa mkereketwa wa CHADEMA lakini nimejitoa

    haki ya nani kama kuna mtu kaishiwa ni huyu. kama kuna mwa JF anayefaham kiwango cha elimu ya huyu jamaa naombeni muiweke hapa. ana uwezo mdogo sana wa kufikiri.
  13. J

    Elections 2010 Dr Slaa ITV Live sasa

    najionea huruma kodi yangu inavyotumika vibaya!
  14. J

    Elections 2010 Dr Slaa ITV Live sasa

    i hate tido na tbc yake.
  15. J

    Elections 2010 Dr Slaa ITV Live sasa

    hivi tbc inajisikiaje inaposaport uchuro!
  16. J

    Elections 2010 PICHA: Dr. Slaa aiteka Shinyanga

    kazi ndiyo inaanza, lets c.
  17. J

    wakuu nisaidieni kwa hili maana linanipa tabu sana!

    Hiyo inawezekana, lakini inategemea na mahitaji ya mkurugenzi. Kama mkurugenzi ana upungufu katika idara ya mipango, uchumi au sehemu yoyote na kuna mtu mwenye sifa hizo, anamchukua, anaendelea kulipwa kama mwalimu lakini anafanya kazi ya mipango au idara yoyote anayofiti wakati taratibu za...
  18. J

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    Labda Professor anaweza akaamsha ari, lakini asije kuwa kama Msola kwani tulijua anzijua shida za wanafunzi vyuoni anaweza akasaidia zaidi pale alipochaguliwa na Mh. Kikwete kuwa waziri wetu, look at what happened, ndiyo amekuja kutumaliza kabisa na board ya ke y mikopo yenye masharti kibao...
  19. J

    Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

    HIlo ndiyo swali la msingi haswaa. Tunao waalimu wa kufundisha vyuo vipya, wakati sasa hivi tu vijana wanaofanya vizuri kwenye masomo yao wanang'ang'aniwa na vyuo walivyosomea, that means huko mtaani hawapo watu wenye sifa zao! Zaidi sana vyuo haviangalii hata uwezo wao katika kufundisha...
Back
Top Bottom